Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Nimeangalia Cross ep ya 1 mara paaap! Ishafika mwisho.

Sasa nikabaki kujiiuliza hii ep ya 1 mbona kama imemaliza fasta ndani ya dakika 5 tu.Hihihi!
Hapa sibanduki hadi kieleweke.
Aigooooo.
As Always Bogoshipo Chingu.
Episode 2 Itakuwa Umemaliza Kwa Dakika 2.
 
ahsante sana kwa maelezo yako yalioshiba, nimelazimika muda huu niitafute hadi episode ya 10 lakini sijui nitaanza kuiangalia muda gani, nina viporo mpaka vyengine kwa uchoyo wangu nimeamua kuvichimbia shimo haliyakuwa paka, kuku na bata wote wapo wanahitaji chakula.
uchoyo ni adui mkubwa sana wa maendeleo kuliko ujinga.
 
Komawao,
Nalazimika Kuiangalia Hwarang Coz Ya Huyu BinaAdam Hyung Coz Nayo nilikuwa Naikimbia Tuuh.
Ulisema ulishawahi Soma Article kuhusu hii Drama IPI iyo.!?
 
Komawao,
Nalazimika Kuiangalia Hwarang Coz Ya Huyu BinaAdam Hyung Coz Nayo nilikuwa Naikimbia Tuuh.
Ulisema ulishawahi Sema Article kuhusu hii Drama IPI iyo.!?
aigooooo noona umenikumbusha mbali sana, kumbe bado mwenye duka ananidai deni la hwarang kuanzia episode ya 18, kweli kukopa harusi lakini kulipa matanga.
eottokkeee.
niliwahi kusoma article kuhusiana na strong woman dobong soon kwenye official thread ya soompi tokea mwazoni mwa 2017, nakumbuka niliwahi kuidownload hadi episode ya 3 lakini baadae nikazifuta bila ya kuiangalia.
 
leo ni mwendo wa movies, the battlership island ni movie inayozungumzia tukio lililotokezea wakati wa ukoloni wa wajapani nchini korea ambapo zaidi ya wakorea 400 walilazimishwa kufanya kazi za uchimbaji wa makaa ya mawe kwenye kisiwa cha hashima jambo lilipelekea waamue kutoroka kwenye kisiwa hicho.
je wataweza kutoroka wote mbele ya wanajeshi wakorofi kutoka japan?
aigooo mimi sijui kwa sababu ndio kwanza naihifadhi kwenye kimeo changu muda huu.

song joong ki
so ji sub
lee jung hyun
http://kissasian.ch/Drama/Battleship-Island/Movie?id=34689
 
Waeee!?? Hukuwa Umeielewa!???
 
Iko na Sub!??
 
watanzania ambao nafsi zetu zipo joseon leo tuongeze vocabulary kwenye bongo zetu, si unajua tumeambiwa tutafute elimu japo kuwa mashariki ya mbali.
aigoooo
eottokkee
omo omo omo
gwenchanah
mian hae
n.k
maneno yote hayo yameshakaa kwenye bongo zetu.

 
Sunbae kumbe upo
 
Aigooooo vitu vyangu hivyo.
 
Waeee!?? Hukuwa Umeielewa!???
  • mimi mpaka muigizaji anivutie mnooo ndio niangalie drama
  • au mtu anisifie ili niwe na ari ya kwenda kuitafuta, kwa kuwa umeshanisifia basi nakuahidi nitaiangalia strong woman dobong soon.
 
Hii movie niliwahi ona katika website flani ikipigiwa promo. Ngoja nayo nitaishusha usiku wa manane
 
  • mimi mpaka muigizaji anivutie mnooo ndio niangalie drama
  • au mtu anisifie ili niwe na ari ya kwenda kuitafuta, kwa kuwa umeshanisifia basi nakuahidi nitaiangalia strong woman dobong soon.
Anhaaa Okay.
Ivi hili neno la "Nisifie" ni Una Likosea Ama!???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…