Damushin Siisifiii Ila Ina Iyo Sifa Kipindi Kile Inaonyeshwa Niiliipaga Kisogo Japo ilikuwa Inafanya Vizuri Sana Sana Nazani Ni Drama Ilokuwa Inaongoza Kwa Rating Kwa Wakati Ule.
Niliiweka Kiporo Nikasema Kuwa Lazima Niitazame Nimeanza Jana Mpaka Sa Ivi Nipo Episode Ya 12 Ina Episode 16.
Nimecheka
Damushin Mpaka Mbavu Zauuma Now Ndo Naelewa Kwa Nini Ilipendwa Vile Kwa Nini Mashabiki Bado Wanatamni Hii Couple ya ParkPark Iendeleee Mpaka Leo.
Ni Bonge Moja La Drama Ina Kila Kitu Mule Ndani Kila Kitu Yaani..Itakufanya Siku Zisonge Kwa Amani Kidogo Kwa Kipindi Utakachokuwa Unaangalia..Ni Kucheka Mwazo Mwisho Yaani..
Imeifanya Siku Iende Poa Kiukweli Ndani na Nje Ya Nafsi.
Itafute
Damushin Puleeeez Iangalie Then Uje Apa Puliiiiiz Chingu.