Ulivyoangalia hiyo Fabricated city subtitle yake ilikuwa iko fresh? maana mie naona haikuwa official ile subtitles wakati naangalia.kwa wale wapenzi wa korean movies ingizo jipya la historical movies inaitwa The age of blood. sijaiangalia lakini kwa mujibu wa comment za wachangiaji wa mtandao wa kiss assian inaonekana ipo vizuri.hii itakuwa ni movie yangu ya pili ya korea kuiangalia mwaka huu baada ya fabricated city ya ji chang wook
http://kissasian.ch/Drama/The-Age-of-Blood/Movie?id=35866
Jung Hae-In - Kim-Ho
Kim Ji-Hoon - Lee In-Jwa
Jo Jae-Yun - Do Min-Chul
Lee Won-Jong - Man-Suk
Ryu Tae-Joon - King Yeongjo
haikuwa nzuri sana ukilinganisha na subtitle za kwenye dramaUlivyoangalia hiyo Fabricated city subtitle yake ilikuwa iko fresh? maana mie naona haikuwa official ile subtitles wakati naangalia.
Sasa Apo Unasifiwa Wewe au Iyo Drama!???aigooo usahihi wake inakuwaje?
Nabora Aendelee kukuchawia Tuuh!bibi yangu mzalia bibi ameniambia humu ndani kuna mtu ananichawia ndio maana likizo yangu naisogeza mbele kila siku, lakini nikimjua huyo mtu adhabu yake ........................................
hahahahahaaa nimecheka sana, ila bibi yangu mzalia bibi hajawahi kushindwa hivyo basi mchawi wangu ajidhihirishe kabla bibi hajafanya mambo yakeNabora Aendelee kukuchawia Tuuh!
Hii nilikuwa naisubiri kwa muda mrefu ila ajabu ilivyotoka nimekuwa mvivu kuangalia movie.leo ni mwendo wa movies, the battlership island ni movie inayozungumzia tukio lililotokezea wakati wa ukoloni wa wajapani nchini korea ambapo zaidi ya wakorea 400 walilazimishwa kufanya kazi za uchimbaji wa makaa ya mawe kwenye kisiwa cha hashima jambo lilipelekea waamue kutoroka kwenye kisiwa hicho.
je wataweza kutoroka wote mbele ya wanajeshi wakorofi kutoka japan?
aigooo mimi sijui kwa sababu ndio kwanza naihifadhi kwenye kimeo changu muda huu.
song joong ki
so ji sub
lee jung hyun
http://kissasian.ch/Drama/Battleship-Island/Movie?id=34689
Adhabu yake anilipie mimi ticket ya kwenda na kurudi S. Koreabibi yangu mzalia bibi ameniambia humu ndani kuna mtu ananichawia ndio maana likizo yangu naisogeza mbele kila siku, lakini nikimjua huyo mtu adhabu yake ........................................
Jaribu Kissasian au Drama3s.Nimepata shida kudownload monkeyflower, nlikua natumia drama fire na dramanice...msaada site nyingine
Ndugu acha kunikumbusha kabisa. Hii kitu ilinifanya baadhi ya milo ikanipita bila ya kula kabisa. Mfano baadhi ya siku katika milo ya usiku ilinipita kabisa yaani sikuweza kula kipindi niko na hii Drama. Ilikuwa ni bora ni sile lakin drama hii niitizame kwakwel ubora wake ule ingekuwa na zaidi ya episodes 1000 kabisa.! Ukitoa drama ya Jumong basi The Great King Gwanggaeto ndio drama iliyo nifanya nichelewe kulala siku nyingine kuto kulala kabisa yaani nakesha nayo kabisa. Ukitaka ufaidi na Kufurahia drama hizi za Historical inakupasa unashusha episodes kama 50 hivi kisha unaanza kuangalia mdogo mdogo, sio unadownload episodes 3 alafu unatulia kama wiki kisha ndio uendelee hapo utaichoka mapema.King Gwangaeto.
Humo kuna Goguryeo, Houyan, Baekje ile nchi ya sosouno aliyekuwa mke wa Jumong, kuna wazee wa pori Mohee, Shila na nchi zingine.
Sterling aitwa Prince Damdeok.
Unakutana na Ko Un aliyeigiza Taeso kwenye Jumong.
Hiyo kitu ni ya kijijini huko. Humo ni full Mapanga, mishale.
Hii kitu unasahau hadi kula.