Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Nmejaribu kusearch sijapata nahc ilo jina co lake analtumia tuu uyo anaetafsiri ila nahc inaitwa athena sema ndo ciipat yan
Mbona ipo mimi nimeipata.
37d62c2ee34475ec3bc44f391bd12644.jpg
 
Ewaaaa family ya Korean drama thread,
Nawaletea recommendation mpya kali
[HASHTAG]#Black[/HASHTAG] knight
cc. Amina
 
vlcsnap-2018-02-07-08h23m11s032.png

Eulachacha Waikiki JINA Lenyewe Ni Shida..
JTBC Huwaga Aikosehi Kwenye Comedy Drama.
Ingizo Jipya Ilo Inaonyeshwa J3 Na J4 Kila Wiki

Sijaiona Bado Ila Nimeangalia Baadhi Ya Scene Zake Ni Ya Kuvunja Mbavu Kama Unahitaji Pia Kutuliza Ubongo.

DTx6tbhVwAA289U.jpg
 
Back
Top Bottom