Gyeoul
JF-Expert Member
- Jan 28, 2015
- 3,758
- 5,365
Lee Jung-Eun
Ni Kati Ya Wakongwe Wa Korean Drama and Movie Si Mkongwe Kivilee, Inaonyesha Ameanza Act Mwaka 2009
Ila Amecheza Sana Movie Kuliko Drama.
Ila Ni Kati Ya Mama Bora Sana Katika Act Zake
Mara Nyingi Huwa Ana Act Uhusika Uso Na Shida Ukilinganisha Na Yi Sook
Drama Zake Nilizoangalia Ni Pamoja Na Fight for My Way, While You Were Sleeping, Remember, Weightlifting fairy Kim Bok-Joo.
Na Ata Katika Battleship Island Amecheza Umo.