Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Hmmmm!! Kama Itawezekana Lakini..
kila tendo unalolikusudia kulifanya linatokana na nia yako uliyojiwekea noona.Ni kweli si jambo rahisi kuacha kulifanya jambo ulilokwisha lizoea kulifanya kwenye maisha yako,lakini hupaswi kuangalia nyuma na unachotakiwa ni kusongesha mbele gurudumu lako la maamuzi, mdogo mdogo leo nimetimiza siku ya 5 bila ya kuangalia korean drama.
 
Lee_Seung-gi_at_the_premiere_for_%22Love_Forecast%22%2C_17_January_2015_01.jpg

ni muda mrefu sana sijaisikia sauti ya lee seung gi (ballad prince) anapoimba, ngoja nijliwaze na huyu fundi, si unajua hakuna lugha nyepesi zaidi kuielewa kama lugha ya muziki?
aigoooooo huhitajiki kwenda kwa ras simbaa kujifunza.lee seung gi ana vipaji vingi sana anaweza kuigiza na pia ni muimbaji mzuri sana, muda huu ninammisi kwenye kuigiza kwa sababu ya mapumziko yangu ila siwezi kummisi kwenye kuimba.

It's my girl.
A strange story yet
saying I love you
I want and I blame.
Let's break up.
Good lie
I love you from now on.
that kind of person
I'll give it all.
I go to the army.
Invite me
Razor blade
Will you marry me
delete
Make love
You in me
grumbling
Shout
Moth dream
please
shrift
tear
He's a friend.
Smile boy
Melody
Go out travel
Like the first time
one more time
Dating
To J
father
Why ...
In your memory
 
vlcsnap-2018-02-07-08h23m11s032.png

Eulachacha Waikiki JINA Lenyewe Ni Shida..
JTBC Huwaga Aikosehi Kwenye Comedy Drama.
Ingizo Jipya Ilo Inaonyeshwa J3 Na J4 Kila Wiki

Sijaiona Bado Ila Nimeangalia Baadhi Ya Scene Zake Ni Ya Kuvunja Mbavu Kama Unahitaji Pia Kutuliza Ubongo.

DTx6tbhVwAA289U.jpg

Nimeangalia episode ya kwanza ni full vituko yaani,nimeidownload na ya pili nataka kuiangalia baadaye.Iangalie ukipata muda imetulia sana.
 
kila tendo unalolikusudia kulifanya linatokana na nia yako uliyojiwekea noona.Ni kweli si jambo rahisi kuacha kulifanya jambo ulilokwisha lizoea kulifanya kwenye maisha yako,lakini hupaswi kuangalia nyuma na unachotakiwa ni kusongesha mbele gurudumu lako la maamuzi, mdogo mdogo leo nimetimiza siku ya 5 bila ya kuangalia korean drama.
Mcd Ya.
Bogoshipo Chinguya.
 
Lee_Seung-gi_at_the_premiere_for_%22Love_Forecast%22%2C_17_January_2015_01.jpg

ni muda mrefu sana sijaisikia sauti ya lee seung gi (ballad prince) anapoimba, ngoja nijliwaze na huyu fundi, si unajua hakuna lugha nyepesi zaidi kuielewa kama lugha ya muziki?
aigoooooo huhitajiki kwenda kwa ras simbaa kujifunza.lee seung gi ana vipaji vingi sana anaweza kuigiza na pia ni muimbaji mzuri sana, muda huu ninammisi kwenye kuigiza kwa sababu ya mapumziko yangu ila siwezi kummisi kwenye kuimba.

It's my girl.
A strange story yet
saying I love you
I want and I blame.
Let's break up.
Good lie
I love you from now on.
that kind of person
I'll give it all.
I go to the army.
Invite me
Razor blade
Will you marry me
delete
Make love
You in me
grumbling
Shout
Moth dream
please
shrift
tear
He's a friend.
Smile boy
Melody
Go out travel
Like the first time
one more time
Dating
To J
father
Why ...
In your memory

Tuungane kwa Hili.
 
leo ni mwendo wa movies, the battlership island ni movie inayozungumzia tukio lililotokezea wakati wa ukoloni wa wajapani nchini korea ambapo zaidi ya wakorea 400 walilazimishwa kufanya kazi za uchimbaji wa makaa ya mawe kwenye kisiwa cha hashima jambo lilipelekea waamue kutoroka kwenye kisiwa hicho.
je wataweza kutoroka wote mbele ya wanajeshi wakorofi kutoka japan?
aigooo mimi sijui kwa sababu ndio kwanza naihifadhi kwenye kimeo changu muda huu.
75ab880c-add2-40bb-b271-70cff395e217.jpg

song joong ki
so ji sub
lee jung hyun
http://kissasian.ch/Drama/Battleship-Island/Movie?id=34689

Hii movie hautakosea ukiiangalia stori yake inavutia sana,najua wapenzi wengi wa drama wamevutiwa na kina So Ji Sub na Song Joong Ki kwenye hii movie lakini mimi nimeiangalia kwa sababu ya Hwang Jung Min huyu jamaa huwa hakosei movie zake aisee nimecheki kama asilimia 90 ya movie alizoziigiza na zote zimenivutia.
 
Tuungane kwa Hili.
hakuna ubishi lee seung gi anaweza kukanyaga sehemu walizopita magwiji kama vile park hyo shin, kim bum soo, jo sung mo, lee seung chul, yim jae bum, the one, lim chang jung n.k
cha kufurahisha zaidi bado ni mdogo sana hivyo basi ana muda zaidi wa kufanya makubwa kwenye muziki.heshima kwake mwanamama lee sun hee kwa kuweza kuthamini kipaji chake.
as.jpg
 
Seung GI Kanifanyaa Nimpende Sana Uyu Mama
Na Nisikiiavyo Uyu Hana Mtoto Right!???
Seung Gi Ndo Kama Mwanae!!!
 
hakuna ubishi lee seung gi anaweza kukanyaga sehemu walizopita magwiji kama vile park hyo shin, kim bum soo, jo sung mo, lee seung chul, yim jae bum, the one, lim chang jung n.k
cha kufurahisha zaidi bado ni mdogo sana hivyo basi ana muda zaidi wa kufanya makubwa kwenye muziki.heshima kwake mwanamama lee sun hee kwa kuweza kuthamini kipaji chake.
as.jpg
Queen of Female Vocalists au
National Diva.
 
Go Hyun Jung Announces Departure From “Return drama”
kufuatia taarifa rasmi iliotolewa na kituo cha televisheni cha SBS ya kuamua kuachana na muigizaji go hyun jung ambaye alikuwa anashiriki kwenye drama ya return kama lead actress hatimae leo hii IOK company ambayo inamsimamia go hyun jung nao wametoa taarifa rasmi kuhusiana na sakata hilo.
taarifa imeandikwa
Hello. This is IOK Company. We apologize for our late official statement. We would like to offer our sincere apology to the viewers for having caused so much concern when ‘Return’ was receiving so much love
kulitokezea utofauti mkubwa wa kimawazo kati ya production team na go hyun jung jambo lililopelekea mgogoro mkubwa na inasemekana go hyun jung alimpiga PD ila mwenyewe amekanusha taarifa hizo,baada ya kukaa na kutathmini kwa umakini suala hilo mteja wetu amechukua maamuzi ya kutokuendelea tena kufanya kazi na
hivyo basi kuanzia sasa go hyun jung hatashiriki tena kwenye drama hiyo ambayo inaonyeshwa siku ya jumatano na alhamisi.
Go-Hyun-Jung-Soompi.jpg

kwa taarifa zaidi
 
Park Jin Hee’s Reps And SBS Respond To “Return” Casting Reports
baada ya mwanamama go hyun jung kuchukua maamuzi ya kutokuendelea kushiriki kwenye drama ya return taarifa zilizozagaa kwenye vyombo mbali mbali vya habari siku ya jana nchini korea ni kwamba muigizaji park jin hee ndiye atakayeigiza nafasi ya go hyun jung.
lakini leo hii Elefun Entertainment ambao wanamsimamia park jin hee wameamua kutoa taarifa rasmi kuhusiana na suala hilo na kusema ya kwamba ni kweli park jin hee amepewa ofa ya kushiriki kwenye drama ya return lakini hakuna maamuzi yoyote yaliyofikiwa.
ikumbukwe ya kwamba mwezi uliopita mwanamama park jin hee alitangaza ya kwamba ni mjamzito na hivyo basi anataka kutumia muda wake zaidi kushughulika na afya yake kuliko kufanya shughuli za uigizaji.
Park Jin Hee ameshiriki kwenye drama kama vile giant, oh my geumbi, fermentation family
park-jin-hee-xpn.jpg
 
Naona umerudi kwa kasi ya Vodacom 4G
 
Queen of Female Vocalists au
National Diva.
daebak anastahili, achana na lugha kwangu mimi ni zaidi ya mariah carey.
lakini kuna mama mmoja anaitwa lee eun mi naye ni balaa, sauti yake ni powerful na akiimba full hisiaa
aigooooooo wakorea ni wabishi mnooo.
PYH2017042637810034100_P2.jpg
 
Seo_Yi-Sook-p02.jpg

Naimani kuna Watu Wanelewa Kipaji Cha Uyu Mama
Seo Yi Sook
Huwa Mara Nyngi Anact Kama Mama Na Kama Court Lady, Anakaa Kila Kona Unayomuweka
Nilimkubari Kwenye Empress Ki, Rebel na Ata The Heirs .
 
Back
Top Bottom