Papaa Gx
JF-Expert Member
- Oct 10, 2016
- 11,097
- 17,929
Hii nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni DramaHii nini?
Ilo ndo SwaliNafahamu ni Drama.
Ipi sasa?
Ilo ndo Swali
Inaitwa Eulachacha Waikiki Inaonyeshwa JTBC
Nawe Pia Ubarikiwe.Shukrani kwa jibu lako, ubarikiwe mkuu.
mwenye movie inayoitwa love me again naomba anisaidie kuipata nimeitafuta mitandaoni ckuipata
Ongoing drama ishaisha?Aya wale wa Ongoing Drama kuna ingizo jipya ndio kwanza ipo episode ya kwanza inaitwa Short.
Ongoing drama ishaisha?
Yani kuna drama uliniambia unaangalia ni ongoing,ndiyo nauliza imeshaisha au bado?Mkuu bado sijaelewa kusudio lako ujue
Yani kuna drama uliniambia unaangalia ni ongoing,ndiyo nauliza imeshaisha au bado?
ni wazo zuri sana ila panatakiwa pawepo na utayari wa kufanya kazi ya uwekezaji na washauri wazuri kwenye suala la masoko, wengi wetu tunataka utajiri bila ya kusacrife akili zetu na mitaji yetu.kuna baadhi ya wasanii kwa umaarufu waliokuwa inashangaza sana kuwa mpaka leo bado umaarufu wao haulingani na kipato chao.fikiria huu ni mwaka wa ngapi celebrity kama wema sepetu,ali kiba, wapo onfire kwenye media lakini cha kusikitisha hawana mbele wala nyuma.![]()
Sijuhi Nimeonaje, Ila Najua Wasanii Wengi Wa Nje Wanafanya Hiki Kitu.
Izo Ni Bidhaa Za SHINEE Male Group, Moja Ya Member wake Ni Marehemu Jonghyun, Wanacomeback Yao FEB Hii Ambayo Itaanzia JAPAN Au Kwa Maana Nzuri Wanaconcert Feb Hii Itakayofanyika Japan Sijajua Kwa Ticket Kama Nazo Ni Sold Out Ila Izo Bidhaa Apo Juu Ni Sold Out Kabla Ata Ya Concert Wanatengeneza Ela Uku Na Uku Kila Kitu Kwao Ni Kutengeneza Ela .
Wasanii Wetu Labda Wangejaribu Kufanya Kitu Kama Ichi,Kinaweza Kisifanane Hivi Lakini Labda Kichukue Ata Theluthi Ya Hii Kitu Kinaweza Waongezea Kipato Kidogo kwa Ubongo Wangu Lakini