Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Nimeangalia movie ya INNOCENT DEFENDANT, nimeishia pale jamaa akitoroka jela. Nitapata wapi muendelezo wake? Mwenye nayo anisaidie.
 
Can't wait for this Aisee
d92412b0e4b3267c7dd950fd5b486b12.jpg

16a9a9dcc46072816958b10d485b57a4.jpg
 
Thanks, Sante Sana na Kila Unayemzania Mzima Kumbe Hamna Kitu.

Mi Nilijua Yule Mama Mtoto Atakuwa Afadhali Kumbe Nae Pumba Lol!

Nilichopenda Kwao Ni Jinsi Wanavyopendana,Wanavyopeana Moyo Na Kufurahi Kila Mwenzao Anapofanikiwa. Na Wanjuana Wote Mambo Yao, Ni kitu kizuri Sana Wanafanya Au Kuonyesha Licha Ya Uchizi Wao.

Kuna Kitu Najifunza Sana Kwenye Hii Drama.

Yeah ni kweli wote ni vichaa lakini wanapendana na kushirikiana sana, drama ni comedy lakini inafundisha pia kama Lee Yi Kyung na mahangaiko yake yanachekesha sana lakini pia anafundisha tusikate tamaa.safi sana hii drama aisee.yule mama naye na hip hop yake dah. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yaani,Niliumia Mbavu APA Acha Tuuuh.
Baada ya kuambiw Ajuh Rap Akaanza kuwasusia na Kuwalisha Mkate Siku Mzima.

Nilipenda Ple Walipom surprise kwa kumwandalia Party ya Mwanae,Dah! Nilijikuta Natoka Naye Machozi,Ilinigusa Kiukweli.
Yote ya Yote Ni Drama Kali Sana Hii Sana
 
EMPTY Monkey Anakuita Uku..
Ndo Nini Icho Ufanyacho Ngoja Nami Nitakukimbia Tuuh, Nasubiri Tufungue Bby Class Letu.

(Bogoshipo Ma Chingu).
 
Ngoja nishushe episode 1 kwanza si kwa masifa haya. The Immortal Yi Soon Shin naimaliza wiki ijayo then napita na hii naona mnaipa promo sana.
Yaani,Niliumia Mbavu APA Acha Tuuuh.
Baada ya kuambiw Ajuh Rap Akaanza kuwasusia na Kuwalisha Mkate Siku Mzima.

Nilipenda Ple Walipom surprise kwa kumwandalia Party ya Mwanae,Dah! Nilijikuta Natoka Naye Machozi,Ilinigusa Kiukweli.
Yote ya Yote Ni Drama Kali Sana Hii Sana
 
images.jpg
wakuu nahitaji hii drama lakin jina lake ndo shida...inaelezea historia ya baekje lakin ugum unakuja nikitafuta baekje cioni so naona inajina jingine...naomba msaada wenu
 
Yaani,Niliumia Mbavu APA Acha Tuuuh.
Baada ya kuambiw Ajuh Rap Akaanza kuwasusia na Kuwalisha Mkate Siku Mzima.

Nilipenda Ple Walipom surprise kwa kumwandalia Party ya Mwanae,Dah! Nilijikuta Natoka Naye Machozi,Ilinigusa Kiukweli.
Yote ya Yote Ni Drama Kali Sana Hii Sana

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]dah kile kisasi chake cha kuwalisha mikate ni noma,Yaani hadi kumuandalia party ya mtoto ile naona washaanza kumchukulia kama familia naye moja. Na ile scene ya mwisho episode ya 4 anagombana na Dong Gu akamvunjia yai usoni yaani dah nilicheka hatari.
 
Imebidi tu nije hapa. Currently naangalia Good Doctor ( yes nilikuwa nimeiweka kiporo). Damushin sunbae hivi unaweza kunitafutia namba ya huyu Dr Kim jamani nataka nihamishie majeshi kwake.
 
2017-08-24_12-33-57.jpg

ikiwa umemkusudia jo sang wook napaswa nikutahadharishe ya kwamba mume wa mtu pia ni sumu, ila nashindwa kuelewa kwa nini sumu hazikuletei madhara yoyote kwako kwa sababu umeshatia fitina kwa wenzako wawili ninaowafahamu
  • bae suzy
  • liu yi fei
pia ulitaka kumpindua aminas kwa lee seung gi ila bahati nzuri ukahairisha mikakati ya mapinduzi,
nakuomba umuachie mwanadada Cha Ye Ryun afurahie ndoa yake hususan kipindi hiki cha ujauzito.
 
Aigoo am so jealous...[emoji13] [emoji13] ila nitajibana hivyohivyo kama kamimba na mimi nitabeba wee siwezi kumwachia hivihivi
 
Back
Top Bottom