Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

2017-08-24_12-33-57.jpg

ikiwa umemkusudia jo sang wook napaswa nikutahadharishe ya kwamba mume wa mtu pia ni sumu, ila nashindwa kuelewa kwa nini sumu hazikuletei madhara yoyote kwako kwa sababu umeshatia fitina kwa wenzako wawili ninaowafahamu
  • bae suzy
  • liu yi fei
pia ulitaka kumpindua aminas kwa lee seung gi ila bahati nzuri ukahairisha mikakati ya mapinduzi,
nakuomba umuachie mwanadada Cha Ye Ryun afurahie ndoa yake hususan kipindi hiki cha ujauzito.
Kwanza ye Si Abakie na Min ho Wake.
We Kwa Seung Gi Tungekabana.
 
Aigoo am so jealous...[emoji13] [emoji13] ila nitajibana hivyohivyo kama kamimba na mimi nitabeba wee siwezi kumwachia hivihivi
aigoooooooo basi huu ni muda muafaka wa kumfanya jo sang wook awe wako cha kufanya mpelekee kahawa,chakula, nguo za kujihifadhi na hali ya hewa ya baridi kila siku kwenye film location ya grand prince drama, naamini atamsahau mama kijacho kama atavutiwa na matunzo yako.
bw82o8Q.jpg
 
Mbona Mwanaume
 
Unanipa mbinu za kuiba mume wa mtu siku nikimwagiwa tindikali uje unisaidie[emoji23]
 
Unanipa mbinu za kuiba mume wa mtu siku nikimwagiwa tindikali uje unisaidie[emoji23]
하하하 하아아 wakorea wanamaliziana mahakamani, kama kuchukua mke au mume wa mtu unamwagiwa tindi kali basi angemwagiwa lee byung hun baada ya kucheat japo kuwa alishinda kesi.
min-jung_byung-hun_wedding9.jpg

“Every relationship has problems but you don’t throw it away when it’s not working. You fix it, just like how everyone used to fix their telephones and television sets. These days, people just throw them away and buy new ones.”

maneno ya mwanadada lee min jung alipokuwa akihojiwa na vyombo vya habari miaka miwili iliopita
 
Back
Top Bottom