Gyeoul
JF-Expert Member
- Jan 28, 2015
- 3,758
- 5,365
Hmmmm!!! Bibi We Bado Tuuuh!!!Aigoo am so jealous...[emoji13] [emoji13] ila nitajibana hivyohivyo kama kamimba na mimi nitabeba wee siwezi kumwachia hivihivi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hmmmm!!! Bibi We Bado Tuuuh!!!Aigoo am so jealous...[emoji13] [emoji13] ila nitajibana hivyohivyo kama kamimba na mimi nitabeba wee siwezi kumwachia hivihivi
Kwanza ye Si Abakie na Min ho Wake.![]()
ikiwa umemkusudia jo sang wook napaswa nikutahadharishe ya kwamba mume wa mtu pia ni sumu, ila nashindwa kuelewa kwa nini sumu hazikuletei madhara yoyote kwako kwa sababu umeshatia fitina kwa wenzako wawili ninaowafahamu
pia ulitaka kumpindua aminas kwa lee seung gi ila bahati nzuri ukahairisha mikakati ya mapinduzi,
- bae suzy
- liu yi fei
nakuomba umuachie mwanadada Cha Ye Ryun afurahie ndoa yake hususan kipindi hiki cha ujauzito.
Huyu wa mwisho. Kweli tenaHmmmm!!! Bibi We Bado Tuuuh!!!
aigoooooooo basi huu ni muda muafaka wa kumfanya jo sang wook awe wako cha kufanya mpelekee kahawa,chakula, nguo za kujihifadhi na hali ya hewa ya baridi kila siku kwenye film location ya grand prince drama, naamini atamsahau mama kijacho kama atavutiwa na matunzo yako.Aigoo am so jealous...[emoji13] [emoji13] ila nitajibana hivyohivyo kama kamimba na mimi nitabeba wee siwezi kumwachia hivihivi
Unamalizaga Wewe, Ila atuchekeni Mi Mwenyewe nawawili nimewaongeza Kwenye list,Huyu wa mwisho. Kweli tena
Mbona Mwanaumeaigoooooooo basi huu ni muda muafaka wa kumfanya jo sang wook awe wako cha kufanya mpelekee kahawa,chakula, nguo za kujihifadhi na hali ya hewa ya baridi kila siku kwenye film location ya grand prince drama, naamini atamsahau mama kijacho kama atavutiwa na matunzo yako.
![]()
Drama mbaya haijapata kutokea kwenye ulimwengu wa kdrama. [emoji23] [emoji23] mtazamo wangu ilaKuna Alowahi Ona Hii Drama Ya Mirror of the Witch au kwa jina lengine inaitwa Secret Healer!???
Ubaya Wake kwenye kona Gani!??Drama mbaya haijapata kutokea kwenye ulimwengu wa kdrama. [emoji23] [emoji23] mtazamo wangu ila
Unanipa mbinu za kuiba mume wa mtu siku nikimwagiwa tindikali uje unisaidie[emoji23]aigoooooooo basi huu ni muda muafaka wa kumfanya jo sang wook awe wako cha kufanya mpelekee kahawa,chakula, nguo za kujihifadhi na hali ya hewa ya baridi kila siku kwenye film location ya grand prince drama, naamini atamsahau mama kijacho kama atavutiwa na matunzo yako.
![]()
Kina nani hao ninong'onezeUnamalizaga Wewe, Ila atuchekeni Mi Mwenyewe nawawili nimewaongeza Kwenye list,
Hata sijui yan. Nilijaribu kujishawishi niangalie nilishindwa kabisaaUbaya Wake kwenye kona Gani!??
Production Ama Story!??
Nataka anza iangalia Japo Nimekutana Na Neg Comments Kama Zako lakini Wengi wanasema Ni Nzuri Kati ya wachacheHata sijui yan. Nilijaribu kujishawishi niangalie nilishindwa kabisaa
Heee Shouger na Kuogopa Sa ivi Ata kukutajia.Kina nani hao ninong'oneze
Nataka anza iangalia Japo Nimekutana Na Neg Comments Kama Zako lakini Wengi wanasema Ni Nzuri Kati ya wachache
Hahaa iangalie bwana ila mimi sikuipenda kwa kweli hata kuimaliza sikumalizaNataka anza iangalia Japo Nimekutana Na Neg Comments Kama Zako lakini Wengi wanasema Ni Nzuri Kati ya wachache
Kweli!???Achana nayo ni drama mbaya sana. Najuta kupoteza mb zangu
Hao wanamuziki wachukue tu mimi sinaga hata mzuka nyimbi zao nasikiliza za chibu tuHeee Shouger na Kuogopa Sa ivi Ata kukutajia.
Japo Mmoja Mwanamuziki, Naimbiwa mpka Nasisnzia.
Umeona eeh?Achana nayo ni drama mbaya sana. Najuta kupoteza mb zangu
하하하 하아아 wakorea wanamaliziana mahakamani, kama kuchukua mke au mume wa mtu unamwagiwa tindi kali basi angemwagiwa lee byung hun baada ya kucheat japo kuwa alishinda kesi.Unanipa mbinu za kuiba mume wa mtu siku nikimwagiwa tindikali uje unisaidie[emoji23]