Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

22780509_126820024684752_8798383438235922056_n.jpg


22815563_126818194684935_2379533096792897959_n.jpg
 
kwa wale wapenzi wa korean movies ingizo jipya la historical movies inaitwa The age of blood. sijaiangalia lakini kwa mujibu wa comment za wachangiaji wa mtandao wa kiss assian inaonekana ipo vizuri.hii itakuwa ni movie yangu ya pili ya korea kuiangalia mwaka huu baada ya fabricated city ya ji chang wook
http://kissasian.ch/Drama/The-Age-of-Blood/Movie?id=35866
The_Age_of_Blood-p01.jpg

Jung Hae-In - Kim-Ho
Kim Ji-Hoon - Lee In-Jwa
Jo Jae-Yun - Do Min-Chul
Lee Won-Jong - Man-Suk
Ryu Tae-Joon - King Yeongjo
Ulivyoangalia hiyo Fabricated city subtitle yake ilikuwa iko fresh? maana mie naona haikuwa official ile subtitles wakati naangalia.
 
bibi yangu mzalia bibi ameniambia humu ndani kuna mtu ananichawia ndio maana likizo yangu naisogeza mbele kila siku, lakini nikimjua huyo mtu adhabu yake ........................................
Nabora Aendelee kukuchawia Tuuh!
 
leo ni mwendo wa movies, the battlership island ni movie inayozungumzia tukio lililotokezea wakati wa ukoloni wa wajapani nchini korea ambapo zaidi ya wakorea 400 walilazimishwa kufanya kazi za uchimbaji wa makaa ya mawe kwenye kisiwa cha hashima jambo lilipelekea waamue kutoroka kwenye kisiwa hicho.
je wataweza kutoroka wote mbele ya wanajeshi wakorofi kutoka japan?
aigooo mimi sijui kwa sababu ndio kwanza naihifadhi kwenye kimeo changu muda huu.
75ab880c-add2-40bb-b271-70cff395e217.jpg

song joong ki
so ji sub
lee jung hyun
http://kissasian.ch/Drama/Battleship-Island/Movie?id=34689
Hii nilikuwa naisubiri kwa muda mrefu ila ajabu ilivyotoka nimekuwa mvivu kuangalia movie.
 
noona huko kwenu munalima danggeun,gam ja, yang pa.
leo munivumilie bangi niliovuta ni kali sana kuliko stimu za mbwa kichaa.
27332252_10155340691707379_1936434154250431399_n.png
 
bibi yangu mzalia bibi ameniambia humu ndani kuna mtu ananichawia ndio maana likizo yangu naisogeza mbele kila siku, lakini nikimjua huyo mtu adhabu yake ........................................
Adhabu yake anilipie mimi ticket ya kwenda na kurudi S. Korea
 
Nimepata shida kudownload monkeyflower, nlikua natumia drama fire na dramanice...msaada site nyingine
 
King Gwangaeto.
Humo kuna Goguryeo, Houyan, Baekje ile nchi ya sosouno aliyekuwa mke wa Jumong, kuna wazee wa pori Mohee, Shila na nchi zingine.
Sterling aitwa Prince Damdeok.
Unakutana na Ko Un aliyeigiza Taeso kwenye Jumong.
Hiyo kitu ni ya kijijini huko. Humo ni full Mapanga, mishale.
Hii kitu unasahau hadi kula.
 
King Gwangaeto.
Humo kuna Goguryeo, Houyan, Baekje ile nchi ya sosouno aliyekuwa mke wa Jumong, kuna wazee wa pori Mohee, Shila na nchi zingine.
Sterling aitwa Prince Damdeok.
Unakutana na Ko Un aliyeigiza Taeso kwenye Jumong.
Hiyo kitu ni ya kijijini huko. Humo ni full Mapanga, mishale.
Hii kitu unasahau hadi kula.
Ndugu acha kunikumbusha kabisa. Hii kitu ilinifanya baadhi ya milo ikanipita bila ya kula kabisa. Mfano baadhi ya siku katika milo ya usiku ilinipita kabisa yaani sikuweza kula kipindi niko na hii Drama. Ilikuwa ni bora ni sile lakin drama hii niitizame kwakwel ubora wake ule ingekuwa na zaidi ya episodes 1000 kabisa.! Ukitoa drama ya Jumong basi The Great King Gwanggaeto ndio drama iliyo nifanya nichelewe kulala siku nyingine kuto kulala kabisa yaani nakesha nayo kabisa. Ukitaka ufaidi na Kufurahia drama hizi za Historical inakupasa unashusha episodes kama 50 hivi kisha unaanza kuangalia mdogo mdogo, sio unadownload episodes 3 alafu unatulia kama wiki kisha ndio uendelee hapo utaichoka mapema.

The Great King Gwanggaeto drama yangu bora kwa mda wote baada ya Jumong. Prince Damdeok alikuwa mwanaume kabisa aliwaonyesha mataifa kadhaa kwamba taifa la Goguryeo jinsi lilivyo na nguvu katika jeshi na kidipromasia. Kundi la Mohe likiongozwa na Chief wao Kim Kyu Chul liliona moto wake mpaka wakasurrender. Shila, Houyan, Baekje wote walitambua kazi ya Damdeok ilivyo kuwa.
397f3826684cfb4b4f41a37f3bf3b0f9.jpg
 
Now it's a big way to take a bath in the bathtub and don't fight in the bathtub, but it's a good time to take a bath between them.! Song il Kook 2014. Duh! Mda mrefu sana aisee
896991ec0ab8fc200df0acd9d936b6df.jpg
 
We are already dead Chosan Garrison has been annihilated.! The enemy is strong. Their army is incomparable in size, and they are armed with fast steed and long spears. But we have neither sufficient troops nor sufficient weapons. And above all, there are no backup forces. But that is not the cause for our annihilation. The main cause of our destruction is fear that lives in our hearts. No one forced us to sacrifice our lives. We decided ourselves to stay here and protect this place.! It's not too late. Those with fear, those without will to fight, leave this island now. Remember. Those who fear for their lives will die, and those willing to die for victory will live. Yi Soon Shin.

Maneno hayo aliyatamka mwaka 1587 kipindi akiwa Captain katika Kisiwa cha Nok-dune. Ilitokea baada ya wanajeshi wake kuingiwa na uoga juu ya Barbarians walio kuwa wengi na wenye nguvu kijeshi. Ilipelekea mpaka mwanajeshi mmoja kuota ndoto akiwa amevamiwa na hao Barbarians hali hiyo ilizua taflani katika kambi. Basi ndio akawahusia ujumbe huo. Ikumbukwe kuwa wanajeshi walio kuwa wakilinda kisiwa cha Nok-dune wakiongozwa na Captain Yi Soon Shin walikuwa wachache mno hivyo kupelekea kuwa na woga pamoja na wasi wasi. Kuhusu akili Mashaallha Yi Soon Shin alijaliwa kwa kweli, aisee huyu mtu alikuwa na akili kwa kweli. Tafuta Drama ya The Immortal Yi Soon Shin ndio Utaelewa kuwa mzee alikuwa na akili sana.
 
Back
Top Bottom