Kuna Page Nilishwahi andika kuhusu Hii Ishu ya kupumzika lol!! Anatumika Sana. Ana Ishu kibao Yaani.
Sina jinsi Tuuh Maana na Ela pia Tunataka, Ila Hmmmm!!!!
Awa we Subiri Tuuh Siku Tuuh wale Maboss Zao Watakuja Kutoa yalojiri.ni ukweli au ni stori za vibaraza vya kahawa vinavyopatikana soompi
Omo Omo.Mbona mm huniambiagi nipumnzike?
Ni kujitoa Uko Mpaka Kupendeza Uko.Wamependeza mpaka nawatamani [emoji4][emoji4]
Hahaha! Chinguyaaa.Naimani Zile Bilioni Ziko Tyari kutumiwa!
Hapa namuachia aminas. Mimi mwenye roho/moyo mwepesi najiweka pembeni mapemaaa.3/3/2018 = first episode
grand prince drama
aigoooooo nataka nione vita ya wana ndugu wawili wanapojikuta wanamgombania msichana mmoja.matumaini yangu itakuwa ni zaidi ya stori ya wang lin kwenye king in loves drama.
Khantwe noona jo sang wook anakusalimia na je ushauri wangu umeanza kuutekeleza?
Eoddaesseyo!???Hahaha! Chinguyaaa.
Omo Omo.
Mie, hmmmm!!!!
Hizi drama za mishikaki (love triangle) stori zake ndio zile zile (yaani una-predict kirahisi kabisa).We si unapendaga Three Ama!???
Unaanza ikimbia hiii!???
Aigooooo!!!
Aniyo.
Gwenchana. Nilipitiwa Mianhee.
Ndugu yako yupi!????Ulimficha wapi ndugu yangu?