EMPTY
JF-Expert Member
- Dec 14, 2011
- 979
- 1,195
Cross & Misty hizo tayari wiki iliyopita niliziangalia.Vipi kuhusu Misty, Cross
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Cross & Misty hizo tayari wiki iliyopita niliziangalia.Vipi kuhusu Misty, Cross
Cross & Misty hizo tayari wiki iliyopita niliziangalia.
Short & hiyo nyengine ndo kwanza nazisikia kutoka kwako!Kuna ingizo jipya kabisa inaitwa Should we Kiss First na Short.
Short & hiyo nyengine ndo kwanza nazisikia kutoka kwako!
Leo hadi majogoo nalipa deni zote kuanzia Admiral Yi, Hwayugi, Mother, Cross, Misty, Short,na hiyo Should We Kiss First bila ya kuisahau Waikiki!
Pamoja sana.
Hakuna jinsi si unajua tena utawala wa Anko.Nahisi leo macho yataomba poo
Love Uyu Suho, Namkubari Sana Ni kati ya Kijana Ambaye kimuonekano Yupo Vizuri Upstairs Japo Wanasema Ni Kutokana Na familia Alotokea Yuko na Hekima SanaEXO And CL Attend Press Conference Ahead Of PyeongChang Olympics Closing Ceremony
On February 21, EXO and CL shared their thoughts at the press conference for the closing ceremony of the 2018 PyeongChang Olympics.
![]()
Baekhyun commented, “We prepared a lot for year-end shows, but we felt that we had to prepare more than those award shows. It is a great honor, but we also practiced feeling a lot of burden. We are excited at the thought of showcasing great performances.”
![]()
Suho added, “Not a single EXO member existed during the 1988 Olympics, and now I cannot believe that we are taking the stage at the closing ceremony for the 2018 PyeongChang Winter Olympics. While watching the opening and closing ceremonies in other countries, I thought that it’s really incredible to go on that stage. Now that EXO is doing so, it is a new feeling, and I think tears might fall after we complete our performance.”
When asked about Russian figure skater Evgenia Medvedeva who has expressed her love for EXO, Suho revealed that they sent her a signed album. He also gave the supportive message, “I hope you will compete healthily without any injuries.”
On which athletes they want to meet, Suho shared that he wants to meet skeleton racer Yun Sung Bin. Chanyeol mentioned curler Kim Young Mi, drawing laughter as he explained, “My mother’s name is Lee Young Mi, and they keep on calling the name Young Mi, so I was reminded of my mom a lot.”
![]()
The closing ceremony for the PyeongChang Olympics will be held on February 25 at 8 p.m. KST.
Oppa[emoji2] [emoji2]Mm ni Sunbae kabisa
Kulikoni!???
Nina mdogo wangu mwenye jina kama lako hivyo basi kuanzia leo uniite "Oppa". LOL!
Kwanza Zile Billions Zetu Zipo!??Nina mdogo wangu mwenye jina kama lako hivyo basi kuanzia leo uniite "Oppa". LOL!
Ndio huamini au? Lete tigoPesa nikurushie japo ya bando!Kwanza Zile Billions Zetu Zipo!??
Waikiki Namooleeee Ushaanza Iangalia!???Ndio huamini au? Lete tigoPesa nikurushie japo ya bando!
Ndio nimeishusha ep ya 1 tu kuicheki & nimeiangalia nusu hadi sasa.Waikiki Namooleeee Ushaanza Iangalia!???
Yah ndo yeye kacheza Uchizi Sana Humu NdaniNdio nimeishusha ep ya 1 tu kuicheki & nimeiangalia nusu hadi sasa.
Pale drama inapoanza (wapo ghetto jamaa anakoroma ile mbaya) nimemuona kuna lead kama MORI.
Ndiyo yeye?