Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

ni ukweli au ni stori za vibaraza vya kahawa vinavyopatikana soompi
han-hyo-joo-lee-jong-suk-w.jpg
Awa we Subiri Tuuh Siku Tuuh wale Maboss Zao Watakuja Kutoa yalojiri.
 
3/3/2018 = first episode
grand prince drama
aigoooooo nataka nione vita ya wana ndugu wawili wanapojikuta wanamgombania msichana mmoja.matumaini yangu itakuwa ni zaidi ya stori ya wang lin kwenye king in loves drama.
95898860e4f270386245691a0869798adf7874c6485f05de00a24001a74a5b262657b7a8.jpg

Khantwe noona jo sang wook anakusalimia na je ushauri wangu umeanza kuutekeleza?
4azWWG.gif
 
Kuna kitu kinaitwa whisper...kama unapenda korea drama zenye mishe mishe full kizungumkuti basi tazama whisper ahjumma na ahjussi
 
3/3/2018 = first episode
grand prince drama
aigoooooo nataka nione vita ya wana ndugu wawili wanapojikuta wanamgombania msichana mmoja.matumaini yangu itakuwa ni zaidi ya stori ya wang lin kwenye king in loves drama.
95898860e4f270386245691a0869798adf7874c6485f05de00a24001a74a5b262657b7a8.jpg

Khantwe noona jo sang wook anakusalimia na je ushauri wangu umeanza kuutekeleza?
4azWWG.gif
Hapa namuachia aminas. Mimi mwenye roho/moyo mwepesi najiweka pembeni mapemaaa.
Kiroho Safi.
 
We si unapendaga Three Ama!???
Unaanza ikimbia hiii!???
Hizi drama za mishikaki (love triangle) stori zake ndio zile zile (yaani una-predict kirahisi kabisa).

Mfano:- Kwenye "The King Loves" nilisoma plot yake ambayo ni hii.

Won (Siwan) is a crown prince of Goryeo. He has a pretty appearance, but he also has a lust for conquest. He is best friends with Wang Rin (Hong Jong-Hyun) who comes from a royal family and is his bodyguard. Beautiful Eun San (Yoona) appears in front of the two young men. She is the daughter of the richest man. The three become good friends, but things change after Wang Won and Wang Rin both fall in love with Eun San.

Sasa hapo kwenye red si ndiyo nikaona huu (drama) utakuwa moto wa kuotea mbali lakini mwisho wa siku, ndio yale yale! Pumbavu zao.
 
Back
Top Bottom