Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kuna ingizo jipya kabisa inaitwa Should we Kiss First na Short.
Short & hiyo nyengine ndo kwanza nazisikia kutoka kwako!

Leo hadi majogoo nalipa deni zote kuanzia Admiral Yi, Hwayugi, Mother, Cross, Misty, Short,na hiyo Should We Kiss First bila ya kuisahau Waikiki!

Pamoja sana.
 
Nahisi leo macho yataomba poo
Short & hiyo nyengine ndo kwanza nazisikia kutoka kwako!

Leo hadi majogoo nalipa deni zote kuanzia Admiral Yi, Hwayugi, Mother, Cross, Misty, Short,na hiyo Should We Kiss First bila ya kuisahau Waikiki!

Pamoja sana.
 
Love Uyu Suho, Namkubari Sana Ni kati ya Kijana Ambaye kimuonekano Yupo Vizuri Upstairs Japo Wanasema Ni Kutokana Na familia Alotokea Yuko na Hekima Sana
( Maelezo Ayahusiani Na Quote).
 
Waikiki Namooleeee Ushaanza Iangalia!???
Ndio nimeishusha ep ya 1 tu kuicheki & nimeiangalia nusu hadi sasa.

Pale drama inapoanza (wapo ghetto jamaa anakoroma ile mbaya) nimemuona kuna lead kama MORI.
Ndiyo yeye?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…