Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Yah ndo yeye kacheza Uchizi Sana Humu Ndani
Drama ilipoanza ilikuwa sijaipa full attention mara naskia sauti moja familiar balaaa.

Dah! Yaani kuna baadhi ya actors wa Korea ukisikia sauti tu unamjua kuwa ndiyo yeye.
Huyu ni mmoja wa miongoni mwao. JALJA, chingu!
 
Yule Dogo Mpelelezi ndani ya hii tamthilia (plan B) ni [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91], nasema itafute ni motoooooo.
 
Umelala Sasa??
 
Usingizi Muda Mwengine Ahutaki Kabisaa Kutokea, Nahisi Tulikesha Wote Japo Sikuwa Humu.
 
Ji Sung And Han Ji Min To Star In New Fantasy Romance Drama
ji sung na han ji min kwa pamoja wamethibitisha kukubali offer ya kuigiza kwenye drama inayokwenda kwa jina la "Knowing Wife” ambayo itaonyeshwa na kituo cha TvN.
ji sung ataigiza uhusika wa Cha Joo Hyuk ambaye ni mfanyakazi wa benki na han ji min ataigiza uhusika wa seo woo ambaye ni mama wa nyumbani.

 
Actor So Ji Sub has been confirmed to be starring in a new drama!
mwanamuziki na muigizaji So Ji Sub amethibitisha kushiriki kwenye drama inayoitwa Terius Behind Me ambayo inategemewa kuonyeshwa na kituo cha MBC.
hii itakuwa ni drama yake ya kwanza kushiriki baada ya miaka takribani miwili kupita tokea ashiriki kwenye drama inayoitwa oh my venus.
Project yake ya mwisho ilikuwa ni movie ya the battlership island.
baadhi ya drama na movie alizoshiriki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…