Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!



Anyeonghaseyo.

Drama Bora Ya Mwaka Imeisha na Imeanza Drama Bora Nyengine Ya Mwaka.

 
aminas

nisaidie link ya site nzuri ambayo naweza angalia series online chief
 
Mcd u Moree,

Kuna Ishu Inanifanya Nakuwa Sipatikani Kidogo Ila Nipo.

Niliwamis Umu Ndani Lol!

Damushin Bogoshipo
daebak yaani huwezi kuamini hii notification yako nilipoiona nimeifungua faster kama shambulizi la wasiojulikana, aigooooo hata kama ungelinitukana pia ningefurahia siku ya leo, unajua kuna maandishi mangapi nimeyafuta kwa sababu nimekosa kuona notification zako?
kila wakati nilibaki kujiuliza hivi lile andiko langu nililiokuwa nawaomba matajiri muwape nafasi celebrities wetu wawatangazie biashara zenu limemkera noona.

karibu tena
aleumdaun agassi
 
Aksante Kwa Huu Upendo Sikuwa Najua Etii.

Sikosehi Kuwaita Familia yangu Kiukweli Mpo Kama Ndugu Kwangu Watu awataelewa Kwa Hili Ila Nyie Ni Zaidi Ya Chingu Kwangu.
Wengine Apa tunavalue Ata Upendo Mchache Mnaotuonyesha.

Kamsahmnida Chingu.
 
LOL! Nilidhani nawe ulikuwa unalipa kisasi maana si kwa kupotea huko.

Anyways, karibu tena kijiweni my chingu!
Lol! Siwezi Fanya Ivyo Japo Nilitaka kidogo Uniongopee Kama Umenimic Hahahahah!!

Aksante Sana Ma Lavuli Chingu.
 
beautiful lady jin se yeon ananirudisha kwenye starehe yangu baada ya siku 30, asilimia kubwa ya wapenzi wa korean drama wanamchukia huyu dada na wanasema uwezo wake wa kuigiza ni mdogo ila ngoja nimuangalie vizuri kwenye grand prince,
cha kushangaza wanaomchukia zaidi ni wasichana.​
kumbe Yoon Shi-yoon ndiye aliyeigiza uhusika wa kim tak gu kwenye drama ya king of baking.
grand prince episode 2 loading........
 
Ata Suzy Wengi Walembeza Wakati Anaanza Kuigiza Ata Ile Drama Ya Gu Family Book Wengi Walimsema Kuwa Akuigiza Vizuri Ila Leo Yupo Wapi...
Ni Chuki Tuuh Za Wasichana. Japo Ni Episode 1 Ndo Nimeangalia Na Bado Sijamaliza Ila Anaonekana Yupo Poa.
 
Sunbae, kumbe huyo noona ndiye muhusika mkuu kwenye Grand Prince?
Sura yake sikuwa nimeitazama vizuri ila hilo smile limerudisha kumbukumbu kwa kweli! LOL!

aminas,
Naamua rasmi kufuta uamuzi wangu wa kutoiangalia hiyo drama. Huyo noona namkubali kupita maelezo.
Baadhi ya dramas alizoshiriki ambazo nimeziona ni "Doctor Stranger" & "The Flower in Prison".
 
Ulikuwa Hutaki Iangalia?
 
aigooooo kumbe nilikuwa nakosa burudani kwa kipindi cha mwezi mmoja, hii waikiki drama inakufanya usahau dhiki zote za maisha zilizo mbele yako, naandika comment hii muda huu nikiwa naangalia episode ya kwanza.
wajinga watatu katika ubora wao uliotukuka pamoja na mtoto wao............
hahahahahahaha nimeangalia dakika ya 40 lakini nimeshacheka mara 20.
halafu kwa taarifa zilizotoka jana ni kwamba waikiki imeongezwa episode 4 zaidi hivyo basi itakuwa na jumla ya episode 20.
huyu mjinga aliyevaa nguo nyekundu ananifurahisha sana pale anaposhindwa kufahamu lugha ya ishara.
 
Sunbae,
Fanya kuangalia eps zilizobaki hutojutia. Idiots watatu wamekutana humo ni full kuvunja mbavu! Nipo ep ya 8.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…