DAEMUSHIN
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,428
- 120,464
Breaking: Actor Jo Min Ki Found Dead
kwa mujibu wa taarifa ni kwamba wa kwanza kuuona mwili wa marehemu alikuwa ni mke wake na ndipo akaamua kuita polisi.
polisi hawajapata ushahidi wowote wenye kuonyesha ya kwamba jo min ki ameuliwa hivyo basi kuwepo uwezekano wa jo min ki amejiuwa lakini polisi bado wanaendelea na uchunguzi.
kupitia kampeni ya me too mnamo tarehe 20 february ndio zilipoanza shutuma za unyanyasaji wa kijinsia kwa jo min ki wakati alipokuwa ni professor wa chuo kikuu cha cheongju na licha ya kuwa alikanusha shutuma hizo lakini siku chache baadae muigizaji Song Ha Neul na wenzake walianza kusimulia matukio waliofanyiwa na jo min ki walipokuwa ni wanafunzi.
kwa mujibu wa taarifa za kituo cha polisi bwana jo min ki alipaswa kuhudhuria kituo cha polisi siku ya tarehe 12 machi kwa mahojiano juu ya kesi zinazomkabili.
Khantwe noona, aminas noona, EMPTY dongsaeng,Prishaz noona na wajoseon wengine tunapaswa leo tusahau mabaya yote aliyowahi kuyafanya marehemu na tumtakie kila kheri huko aendako, ni maumivu makubwa sana yanayowapata wanafamilia yake kwa kipindi hiki.
miongoni mwa drama nilizoziona ambazo ameshiriki jo min ki ni pamoja na
2 weeks
scarlet heart ryeo
queen seondeok
scarlet heart ryeo
queen seondeok
RIP JO MIN KI ahjussi.