하하하 하하아아아 yaani kila tukio litakuacha na kicheko, heshima kwake muandishi na msimamizi wa hii project kwa kazi nzuri wanayoifanya, hivi kwa hali hii watatimiza ndoto zao walizojiwekea kwenye maisha?Sunbae,
Fanya kuangalia eps zilizobaki hutojutia. Idiots watatu wamekutana humo ni full kuvunja mbavu! Nipo ep ya 8.
flower in prison wakati inaonyeshwa kwenye kituo cha mbc nilikuwa naifuatilia lakini baadae niliishia njiani, hivi baadae anakuja kuwa na heshima gani yule msichana ok nyeo.Sunbae, kumbe huyo noona ndiye muhusika mkuu kwenye Grand Prince?
Sura yake sikuwa nimeitazama vizuri ila hilo smile limerudisha kumbukumbu kwa kweli! LOL!
aminas,
Naamua rasmi kufuta uamuzi wangu wa kutoiangalia hiyo drama. Huyo noona namkubali kupita maelezo.
Baadhi ya dramas alizoshiriki ambazo nimeziona ni "Doctor Stranger" & "The Flower in Prison".
Sasa si nitakuwa naharibu kwa ambao bado hawajaiona! Acha hizo sunbae we fanya kuimalizia utaona. LOL!flower in prison wakati inaonyeshwa kwenye kituo cha mbc nilikuwa naifuatilia lakini baadae niliishia njiani, hivi baadae anakuja kuwa na heshima gani yule msichana ok nyeo.
Mbona zipo!Mbona mnanitamanisha jamani eeh...hivi Jf haina button ya kuignore uzi?
NafanyajeMbona zipo!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] umenifanya niangue kicheko. Kwani watu wanapata wapi muda wa kumfuatilia Diamond Platnumz hadi boxer aliyovaa?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
You guys in this thread, mnapata wap time ya kuwafuatilia wakorea hadi vyumba wanavyo lala?
Khaa!
Hahaha[emoji23] [emoji23] [emoji23] umenifanya niangue kicheko. Kwani watu wanapata wapi muda wa kumfuatilia Diamond Platnumz hadi boxer aliyovaa?
Sijasema wewe ndio unafuatilia...namaanisha kuwa interested na mastaa unaoangalia kazi zao ni kitu cha kawaida. Suala la access nadhani tumuulize Damushin sunbae na aminasHahaha
Imebid niongeze
I just ment access sina maana ya time kwa maana ya muda. Mi huwa nangalia drama zao tuu maisha yanasonga
Sijawahi mfuatilia diamond kavaa boxer gani, may be umechanganya watu.
Aaah
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Aaah
Humu ndani kuna watu wamezidi jaman.
Sema tunatofautina hobbie [emoji23].
Mimi napenda drama zao tuu. Ila majina yao yenye kushika kazi. Ila hapa kuna ntu anajua mpaja wamezali kijiji gani huko Korea! Mweeh!
Ni simpo tu! Unabofya neno "Unwatch thread".Nafanyaje
HiNi simpo tu! Unabofya neno "Unwatch thread".
Hey!
Itatoka kwenye list ya subscribed ila sitaiona kabisa?Ni simpo tu! Unabofya neno "Unwatch thread".