D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
Aisee Damushin sunbae nimeshtuka sana...but why [emoji24] [emoji24] [emoji24]kama tutakuwa ni wafuatiliaji wazuri wa taarifa zinazowahusu korean celebrities kwenye mitandao na hata kwenye thread yetu pendwa nakumbuka niliwahi kuweka tarifa zinazomuhusu jo min ki ambaye ni veteran actor na pia ni professor wa chuo kikuu kushutumiwa kutumia umaarufu wake na nguvu yake kwa kuwanyanyasa kingono wanafunzi wa kike wa fani ya uigizaji na hata wafanyakazi wa sanaa ya uigizaji. kwa mujibu wa taarifa za leo ni kwamba jo min ki amefariki dunia na mwili wake umekutikana storage room karibu na ghorofa ya maegesho ya magari kwenye apartment yake anayoishi.Breaking: Actor Jo Min Ki Found Dead
kwa mujibu wa taarifa ni kwamba wa kwanza kuuona mwili wa marehemu alikuwa ni mke wake na ndipo akaamua kuita polisi.
polisi hawajapata ushahidi wowote wenye kuonyesha ya kwamba jo min ki ameuliwa hivyo basi kuwepo uwezekano wa jo min ki amejiuwa lakini polisi bado wanaendelea na uchunguzi.
kupitia kampeni ya me too mnamo tarehe 20 february ndio zilipoanza shutuma za unyanyasaji wa kijinsia kwa jo min ki wakati alipokuwa ni professor wa chuo kikuu cha cheongju na licha ya kuwa alikanusha shutuma hizo lakini siku chache baadae muigizaji Song Ha Neul na wenzake walianza kusimulia matukio waliofanyiwa na jo min ki walipokuwa ni wanafunzi.
kwa mujibu wa taarifa za kituo cha polisi bwana jo min ki alipaswa kuhudhuria kituo cha polisi siku ya tarehe 12 machi kwa mahojiano juu ya kesi zinazomkabili.
Khantwe noona, aminas noona, EMPTY dongsaeng,Prishaz noona na wajoseon wengine tunapaswa leo tusahau mabaya yote aliyowahi kuyafanya marehemu na tumtakie kila kheri huko aendako, ni maumivu makubwa sana yanayowapata wanafamilia yake kwa kipindi hiki.
miongoni mwa drama nilizoziona ambazo ameshiriki jo min ki ni pamoja na
2 weeks
scarlet heart ryeo
queen seondeok
RIP JO MIN KI ahjussi.
Wooow am so happy. I hope Lee dong wook oppa will take a good care of this beautiful girl...Min Ho akwende zake huko anajiona handsomeBreaking: Lee Dong Wook And Suzy Confirmed To Be Dating
Love may be in the air for these two celebrities!
According to a report made on March 9 by news outlet TV Report, Lee Dong Wook and Suzy are reportedly dating. While they originally were just colleagues, their relationship recently progressed to a romantic one according to one source. Suzy had also previously named Lee Dong Wook as her ideal type back in 2012 during an appearance on SBS’s “Strong Heart.”
Various sources from the industry also shared that Lee Dong Wook fell for Suzy’s down-to-earth character. The couple are said to get along because of their similarly bright personalities, and have reportedly been spotted carefully going on dates together.
Both Lee Dong Wook’s and Suzy’s agencies — King Kong by Starship and JYP Entertainment – have stated they are currently checking with their respective artists.
kutokana na tofauti yao ya kiumri ninaamini uhusiano wao utadumu kwa muda mrefu na kutimiza malengo yao waliojiwekea.
aigoooo hizi habari sijui ni nzuri au mbaya kwa Khantwe na kachumba chake lee min ho.
ngoja tusubiri na tuone kama hii stori ina ukweli wowote au ni kama kick za mastar wa bongo movies
Hwayug imeisha? Mwisho episode ya ngap unniee ?Iyo Ya Juu Inaitwa A Korean Odyssey.
Iyo Ya Chini Inaitwa Grand Prince Ni Mpya Kabisaa
Rest well ahjuss[emoji30]kama tutakuwa ni wafuatiliaji wazuri wa taarifa zinazowahusu korean celebrities kwenye mitandao na hata kwenye thread yetu pendwa nakumbuka niliwahi kuweka tarifa zinazomuhusu jo min ki ambaye ni veteran actor na pia ni professor wa chuo kikuu kushutumiwa kutumia umaarufu wake na nguvu yake kwa kuwanyanyasa kingono wanafunzi wa kike wa fani ya uigizaji na hata wafanyakazi wa sanaa ya uigizaji. kwa mujibu wa taarifa za leo ni kwamba jo min ki amefariki dunia na mwili wake umekutikana storage room karibu na ghorofa ya maegesho ya magari kwenye apartment yake anayoishi.Breaking: Actor Jo Min Ki Found Dead
kwa mujibu wa taarifa ni kwamba wa kwanza kuuona mwili wa marehemu alikuwa ni mke wake na ndipo akaamua kuita polisi.
polisi hawajapata ushahidi wowote wenye kuonyesha ya kwamba jo min ki ameuliwa hivyo basi kuwepo uwezekano wa jo min ki amejiuwa lakini polisi bado wanaendelea na uchunguzi.
kupitia kampeni ya me too mnamo tarehe 20 february ndio zilipoanza shutuma za unyanyasaji wa kijinsia kwa jo min ki wakati alipokuwa ni professor wa chuo kikuu cha cheongju na licha ya kuwa alikanusha shutuma hizo lakini siku chache baadae muigizaji Song Ha Neul na wenzake walianza kusimulia matukio waliofanyiwa na jo min ki walipokuwa ni wanafunzi.
kwa mujibu wa taarifa za kituo cha polisi bwana jo min ki alipaswa kuhudhuria kituo cha polisi siku ya tarehe 12 machi kwa mahojiano juu ya kesi zinazomkabili.
Khantwe noona, aminas noona, EMPTY dongsaeng,Prishaz noona na wajoseon wengine tunapaswa leo tusahau mabaya yote aliyowahi kuyafanya marehemu na tumtakie kila kheri huko aendako, ni maumivu makubwa sana yanayowapata wanafamilia yake kwa kipindi hiki.
miongoni mwa drama nilizoziona ambazo ameshiriki jo min ki ni pamoja na
2 weeks
scarlet heart ryeo
queen seondeok
RIP JO MIN KI ahjussi.
Episode 20 Tu.Hwayug imeisha? Mwisho episode ya ngap unniee ?
aigooooo hii comment yako tokea juzi nilikuwa najifanya kama siioni, mian - hae noona.
Huyu jamaa namjuaaRest well ahjuss[emoji30]
Uzuri ni kuwa habar za hollywood zinatufikia hata tusipo zitaka.aigooooo hii comment yako tokea juzi nilikuwa najifanya kama siioni, mian - hae noona.
nilichojifunza ni kwamba watanzania tulichelewa kuvutiwa na utamaduni wa jamii ya wachina ndio maana wafuatiliaji wengi wa korean entertainment wanaonekana ni wa ajabu kwenye jamii.kwenye ishu ya kufuatilia taarifa za wakorea mimi naona hakuna tofauti yoyote na yule anayefuatilia taarifa za bollywood, hollywood, philipines na hata nollywood.
mara nyingi natumia tovuti ya soompi, soompi forum, dramabeans, allkpop kwa ajili ya kuangalia taarifa.ni mapenzi ya mtu juu ya anachokipenda wala sioni maajabu yoyote.
.Ooh too bad jamani namkumbuka sana kwenye Flames of desire na The great seer. Damushin noona anasema asante kwa taarifa anakutakia week end njemakama tutakuwa ni wafuatiliaji wazuri wa taarifa zinazowahusu korean celebrities kwenye mitandao na hata kwenye thread yetu pendwa nakumbuka niliwahi kuweka tarifa zinazomuhusu jo min ki ambaye ni veteran actor na pia ni professor wa chuo kikuu kushutumiwa kutumia umaarufu wake na nguvu yake kwa kuwanyanyasa kingono wanafunzi wa kike wa fani ya uigizaji na hata wafanyakazi wa sanaa ya uigizaji. kwa mujibu wa taarifa za leo ni kwamba jo min ki amefariki dunia na mwili wake umekutikana storage room karibu na ghorofa ya maegesho ya magari kwenye apartment yake anayoishi.Breaking: Actor Jo Min Ki Found Dead
kwa mujibu wa taarifa ni kwamba wa kwanza kuuona mwili wa marehemu alikuwa ni mke wake na ndipo akaamua kuita polisi.
polisi hawajapata ushahidi wowote wenye kuonyesha ya kwamba jo min ki ameuliwa hivyo basi kuwepo uwezekano wa jo min ki amejiuwa lakini polisi bado wanaendelea na uchunguzi.
kupitia kampeni ya me too mnamo tarehe 20 february ndio zilipoanza shutuma za unyanyasaji wa kijinsia kwa jo min ki wakati alipokuwa ni professor wa chuo kikuu cha cheongju na licha ya kuwa alikanusha shutuma hizo lakini siku chache baadae muigizaji Song Ha Neul na wenzake walianza kusimulia matukio waliofanyiwa na jo min ki walipokuwa ni wanafunzi.
kwa mujibu wa taarifa za kituo cha polisi bwana jo min ki alipaswa kuhudhuria kituo cha polisi siku ya tarehe 12 machi kwa mahojiano juu ya kesi zinazomkabili.
Khantwe noona, aminas noona, EMPTY dongsaeng,Prishaz noona na wajoseon wengine tunapaswa leo tusahau mabaya yote aliyowahi kuyafanya marehemu na tumtakie kila kheri huko aendako, ni maumivu makubwa sana yanayowapata wanafamilia yake kwa kipindi hiki.
miongoni mwa drama nilizoziona ambazo ameshiriki jo min ki ni pamoja na
2 weeks
scarlet heart ryeo
queen seondeok
RIP JO MIN KI ahjussi.
Hahahaa Sunbaeniiiiiim....kibabu cha wapi??? Mi simo kwa kweli. Ila mimi sijui kwa nini muziki wa Kikorea sijawahi kuvutiwa kuusikiliza. Wimbo pekee nilionao kwenye kisimu changu ni ule wa Jinsu How can I love you uliotumika kwenye drama ya Descendants of the sunhii risasi imepigwa juu lakini cha kushangaza muda huu kuna mtu imempata mgongoni, nadhani huyu sniper hana kosa lolote kwa sababu yeye amelenga juu.
bae suzy katika ubora wake na kadri wasichana wenzake wanavyozidi kumpiga majungu ya kwamba uwezo wake ni mdogo yeye ndio anazidi kujifunza na kurekebisha makosa yake na kuelekea kwenye mafanikio ya ahadi.
huu wimbo unaitwa “Midnight” unapatikana kwenye mini album inayoitwa “Faces of Love".
nadhani muda huu lee min ho huu wimbo bado ameendelea kuuweka kama ni ring tone yake pamoja na kachumba chake kinachoishi nchi ya kibabu cha chato kinachojua kila kitu.
ngoja namimi niuweke ringtone kwenye kijisimu changu cha tecno toleo la masikini wa kutupwa.
halafu mpigaji wa piano kwenye huu wimbo ni mchawi mmoja anayeitwa Yiruma (lee ru ma) ambaye amejifunza piano tokea ana miaka 5 na alipofikisha miaka 10 aliachana na taifa lake alilozaliwa na kuamua kwenda uingereza kujifunza zaidi maswala ya muziki, inamaana Yiruma ameshatimiza miaka 35 kwenye fani ya upigaji piano.
acha waliotuzidi waendelee kutuzidi kwa sababu ya ujinga wetu na maisha yote taifa linaloongozwa na wajinga............................................. (nissan nyeupe loading).hii lugha ya kiingereza bado inaendelea kunitesa natamani matangazo ya ajira yaandikwe kwa kiswahili hivyo basi munivumilie na tafsiri yangu uchwara.
ninashindwa kupata usingizi
ila sidhani kama na wewe unapata usingizi
kama mwezi unavyoondoka
na wewe pia uliamua kuniacha
tabia yangu mbaya pekee ni kuwa na subira
kila siku, bila ya kuelewa sababu naendelea kuumia
ninajaribu kukabiliana na hili tatizo
lakini umeniachia zawadi ya kutokwa na machozi.
Good night, sleep for me, instead of me
I can’t sleep again today, just in case
Good night, sleep for me, and good bye
I can’t sleep again today so I can’t even dream about you
nimekuwa nikiendelea kusubiri
kila siku, bila ya kujua sababu, naendelea kujutia
kwa sababu ulikuja kwangu kiurahisi
na umeniacha kiurahisi zaidi
ninashindwa kupata usingiziGood night, sleep for me, instead of me
Because I don’t even dare dream of you coming back
Good bye, go peacefully, farther away today
Only your heart left before but now, you’re really leaving
ila sidhani kama na wewe unapata usingizi
kama mwezi unavyoondoka
na wewe umeniacha