Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

waikiki-15-featured.png

Hii Ni Ile Scene Ya Hide and Seek,
Hahahahhahha Dah Hii Drama..

Note: Kwa Ambaye Hana Drama Ya Kuangalia, Naomba Tafuta Hii Kitu
 
Yani ukifungua tu ADM unagusa alama ya + then unapaste file la url kwenye link automatic hapo chini itakuletea start.. hata kama hlo file ulilocopy lilikuwa halijaanza kudownload ila file lake limekuja pind ulipoclick download ina kubali

Jaribu hivi kabla ya kupaste hapo kwenye editor kuna vidot 3 click then shuka chini utakutana na kitu user agent then select android stock afu jaribu tena
Ona Ninaenda Mpka Pale Kwenye Alama Ya + kwa Chini Pembeni Pale Inakuja Iyo Sehemu ya Editor Zinakuja Mistari Miwili Moja Ya Link Nyengine Ya Name Nafanya Kama Ulivyoniambia Naanza Na + Then Nina Paste Ile Url nakuja Kwenye Name Nafanya Ivyo Then Nikienda kwenye Start Inaniletee Aya Maneno (ADM.Unsupported Protocal (http;//) ndo Naishia Apo.
 
tokea nianze kufuatilia korean drama nimebahatika kuangalia drama moja tu yenye mandhari ya kifamilia ambayo ni my fairy lady (oh my geum bi)
leo nimeanza kuangalia family drama nyengine inayoitwa my father is strange na ina jumla ya episode 50.
kupitia drama hii muigizaji veterani kim young chul alifanikiwa kushinda tunzo ya kbs daesang 2017,
daebak ni miezi minne imepita tokea nizidownload episode 5 za mwanzo lakini ndio naanza kuiangalia siku ya leo.
Father-is-Strange-Poster1.jpg
 
Ona Ninaenda Mpka Pale Kwenye Alama Ya + kwa Chini Pembeni Pale Inakuja Iyo Sehemu ya Editor Zinakuja Mistari Miwili Moja Ya Link Nyengine Ya Name Nafanya Kama Ulivyoniambia Naanza Na + Then Nina Paste Ile Url nakuja Kwenye Name Nafanya Ivyo Then Nikienda kwenye Start Inaniletee Aya Maneno (ADM.Unsupported Protocal (http;//) ndo Naishia Apo.
Chingu,
Sikia. Copy hiyo link unitumie/paste humu kama hutojali.
 
tokea Asubuhi nimeshindwa kupata huduma ya jamiiforums kupitia computer yangu ila namshukuru Mungu youtube tutorial zimenisaidia.
sitaki niandike habari za korean drama siku ya leo kwa sababu nilipotembelea youtube kwa ajili ya kutafuta soundtrack nimekutana na kiumbe cha ajabu, nimezoea kusikiliza sound track za kenny g, richard clayderman, yiruma pianist, spanish romantic soundtrack,gheorge zamphir, chinese soundtrack n.k.
Leo Rojas mwanadamu mwenye asili ya nchi ya ecuador jinsi anavyotumia panflute amenifanya muda huu nijitafakari mimi binafsi je nina kipaji gani?
hivi kweli kila mwanadamu ana kipaji au tunadanganyana?
inawezekana mimi Damushin kipaji changu ni kufuga wadudu aina ya kunguni lakini sijifahamu.
C17OYEB9f8S._SL1000_.png

Nimeipenda Signature Yako.
aigooooo ni maneno ya mwanaphilosophia wa kichina anayeitwa lao tzu ambaye amefariki 533 BC.
Lao-Tzu.jpg

  1. He who knows that enough is enough will always have enough.
  2. Mastering others is strength. Mastering yourself is true power.
  3. A man with outward courage dares to die; a man with inner courage dares to live.
  4. Those who know do not say. Those who say do not know.
  5. Knowing others is wisdom, knowing yourself is Enlightenment.
  6. When the best leader’s work is done the people say, ‘We did it ourselves.’
  7. A good traveler has no fixed plans, and is not intent on arriving.
  8. If you do not change direction, you may end up where you are heading
  9. Do the difficult things while they are easy and do the great things while they are small. A journey of a thousand miles must begin with a single step.
  10. Life is a series of natural and spontaneous changes. Don’t resist them – that only creates sorrow. Let reality be reality. Let things flow naturally forward in whatever way they like.
 
Leo Rojas mwanadamu mwenye asili ya nchi ya ecuador jinsi anavyotumia panflute amenifanya muda huu nijitafakari mimi binafsi je nina kipaji gani?
hivi kweli kila mwanadamu ana kipaji au tunadanganyana?
inawezekana mimi Damushin kipaji changu ni kufuga wadudu aina ya kunguni lakini sijifahamu.
Nimerudia rudia kuisoma hiyo sentensi lakini bado sijang'amua kitu.
Una maana gani kusema hivyo, sunbae?
 
Ona Ninaenda Mpka Pale Kwenye Alama Ya + kwa Chini Pembeni Pale Inakuja Iyo Sehemu ya Editor Zinakuja Mistari Miwili Moja Ya Link Nyengine Ya Name Nafanya Kama Ulivyoniambia Naanza Na + Then Nina Paste Ile Url nakuja Kwenye Name Nafanya Ivyo Then Nikienda kwenye Start Inaniletee Aya Maneno (ADM.Unsupported Protocal (http;//) ndo Naishia Apo.
Aaah ok kwenye link na name, kwenye name inabidi usibadili chochote
Mana ukibadili itakwambia unsupported format so ni vizuri baada ya kudownload hamishia kwa pc then badili jina
 
EMPTpost: 26593299 said:
Duuh! Yana ukweli hayo usemayo, mkuu?

aminas, najua unaiangalia. Leta mrejesho basi chingu.
Mi sijazoea ona historical drama za makiss ya live live ivi ujue mkuu.
 
Duuh! Yana ukweli hayo usemayo, mkuu?

aminas, najua unaiangalia. Leta mrejesho basi chingu.
Wala Ina Kiss Za Kawaida Tuuh Wala Aina Mambo Ya Kiivyo, Labda Pale Jin Yang au Lee Kang Alipokuwa Anamtokea Yule Gisaeng Kuna Kitu Walifanya Pale Lakini Si Chakutishaa Kivilee.

Ila Tuuh Sababu Siku izi Hizi Historical Wanazifanya Kisasa Zaidi.
 
Inaitwaje niisake
 
Back
Top Bottom