Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Baada Ya Kupaste Hii Link Kushindwa Nikaanza Kudownload Yenyewe Sijuhi Ata Nilibonyeza Wapi Na Wapi
Sasa Naona Imegoma Kati Kati
Link itakuwa ime-expire tayari.
Chakufanya nenda tena website ulipoi-download hiyo ep then ipakue tena.
Hiyo link mpya itakayokupa ndio ufuate step za kuipaste.
Subiri kidogo kisha bofya UPDATE.
IMG_20180404_132157.jpg
 
aminas noona, EMPTY dongsaeng na Khantwe noona hii new couple inavutia au haina jipya?
kim bum (29) pamoja na mwanadada oh yeon soo (31).
01.jpg

ila ningelifurahi kama kim bum angeliendeleza uhusiano wake na yule dada kim so eun wa kwenye boys over flower drama, nilivutiwa sana na ukaribu wao.
edit1_400x400.jpg
Iko poa sana
 
annyeong haseyo Khantwe noona.
uwezo wake wa kuona umepungua ndio maana anavaa miwani, halafu upunguze kumpiga mchumba wako yaani umesababisha meno mawili ya mbele kung'oka. najua song manse ana tabia za kuchepuka ila unapaswa umvumilie.
si unajua tena mke mmoja hatoshi kwa utamaduni wa kwetu.
201708011427388590026_20170801142752_01_20170801142824768.jpg
Aisee mbona shida hii. haha kupigwa muhimu mpaka ajue kubaki njia kuu
 
nimemaliza kuangalia drama ya innocent defendant, uhm ki joon yupo vizuri sana anapoigiza nafasi ya ukorofi.
223F12405887579A03944B

huyu mtoto Shin Rin-Ah ni hodari zaidi katika kuigiza kuliko muigizaji bora wa kike nchini Tanzania (wema sepetu)
Shin_Rin-Ah-p2.jpg
aigoooo wenzetu wanajua kuheshimu mikataba,ukiangalia kwa umakini hii drama ya defendant utagundua 90% ya gari walizotumia zimetengenezwa na kampuni ya chevrolet hususan aina ya cruze 2017, na pia walikuwa wanatumia subway sandwiches ambao pia walikuwa ni miongoni mwa wadhamini wa kila episode.
itapendeza zaidi kama na sisi kupitia sanaa ya uigizaji wafanya biashara wakatangaza biashara zao.

Baek Ji Young Talks About Performing In North Korea
Baek Ji Young was one of 160 South Korean artists who recently performed in North Korea.
South Korean singers and performers held special concerts in Pyongyang from March 31 to April 3. The star-studded line-up included Cho Yong Pil, Lee Sun Hee, Yoon Do Hyun, Jung In, Ali, Red Velvet, and GIrls’ Generation’s Seohyun.
Baek Ji Young said, “I couldn’t believe it even when I was singing in Pyongyang. I heard that they especially like my song ‘Like Being Shot by a Bullet.’ It meant a lot to be together and it was a profound moment.”
The singer performed at the East Pyongyang Grand Theatre on April 1 and at the Pyongyang Arena on April 3.
baek-ji-young1.jpg

Her ballad “Like Being Shot by a Bullet” was reported to be popular amongst young North Korean men for its lyrical melody and sad lyrics.
After watching her perform on April 1, North Korean leader Kim Jong Un reportedly showed interest in the singer’s performance. Art director and head of South Korea’s Minister of Culture, Sports, and Tourism, Do Jong Hwan, said, “Since Baek Ji Young sang passionately, [Kim Jong Un] asked if it was a new song and what kind of singer she was. He was very interested in South Korean songs and singers.”
Baek Ji Young said, “The thing I remember the most is the facial expressions of the audience members who were enjoying the performance. I think we were able to have a successful performance because North and South Korea worked together. Every moment was moving. I sincerely hope that more diverse forms of cultural exchange can happen.”

Screen_Shot_2014-02-13_at_9.20.33_PM.png

aigoooooo kila la kheri kwa ndugu hawa wawili katika harakati zao za kurudisha uhusiano uliobora na wenye manufaa kwa pande zote mbili.
hii habari imenishangaza sana, hahahahahahahahaaaa kim jong un inaonekana hana hata muda wa kufuatilia muziki wa korea kusini.
huu wimbo wa baek ji young unaoitwa Like Being Shot by a Bullet aminas noona unanikumbusha drama ya my love from another star, do min joon alipomwambia cheo song yi wapendane ndani ya mwezi mmoja tu kwa sababu anataka kurudi kwenye ulimwengu wake wa asili alipotokea.
cheon song yi ikamlazimu anukuu mashairi ya wimbo huu kwa uchungu akiwa kwenye gari ya mpinzani wake.
 
tokea nianze kufuatilia korean drama nimebahatika kuangalia drama moja tu yenye mandhari ya kifamilia ambayo ni my fairy lady (oh my geum bi)
leo nimeanza kuangalia family drama nyengine inayoitwa my father is strange na ina jumla ya episode 50.
kupitia drama hii muigizaji veterani kim young chul alifanikiwa kushinda tunzo ya kbs daesang 2017,
daebak ni miezi minne imepita tokea nizidownload episode 5 za mwanzo lakini ndio naanza kuiangalia siku ya leo.
Father-is-Strange-Poster1.jpg
 
Ipo nyingine man who set the table ya kifamilia nayo nzuri sana ina vipande 50
 
Nimeipenda Signature Yako.
 
Sijajua nini hasa tatizo. Jitutumie nipate screenshot chingu!
Hi
Nikuambie Tuuh Ukweli Mi Siezi Kuweka Umu Izo Screenshot Ndomana Unaona Kimya Nimejitutumua Mpaka Nimekata Matumaini
 
Mbona Mi Hainiletei Iyo Start?
Yani ukifungua tu ADM unagusa alama ya + then unapaste file la url kwenye link automatic hapo chini itakuletea start.. hata kama hlo file ulilocopy lilikuwa halijaanza kudownload ila file lake limekuja pind ulipoclick download ina kubali

Jaribu hivi kabla ya kupaste hapo kwenye editor kuna vidot 3 click then shuka chini utakutana na kitu user agent then select android stock afu jaribu tena
 
tokea nianze kufuatilia korean drama nimebahatika kuangalia drama moja tu yenye mandhari ya kifamilia ambayo ni my fairy lady (oh my geum bi)
leo nimeanza kuangalia family drama nyengine inayoitwa my father is strange na ina jumla ya episode 50.
kupitia drama hii muigizaji veterani kim young chul alifanikiwa kushinda tunzo ya kbs daesang 2017,
daebak ni miezi minne imepita tokea nizidownload episode 5 za mwanzo lakini ndio naanza kuiangalia siku ya leo.
Father-is-Strange-Poster1.jpg
Uyo Mama Mwenye Red Nishamuona Kwenye Movie Ya RV. Resurrected Victims Ambayo Kim Rae Won Nae Kacheza, Nilimpenda Mule ndani Amecheza Vizuri Sana. Nahisi Ata Umu Yupo Vizuri
 
Yani ukifungua tu ADM unagusa alama ya + then unapaste file la url kwenye link automatic hapo chini itakuletea start.. hata kama hlo file ulilocopy lilikuwa halijaanza kudownload ila file lake limekuja pind ulipoclick download ina kubali

Jaribu hivi kabla ya kupaste hapo kwenye editor kuna vidot 3 click then shuka chini utakutana na kitu user agent then select android stock afu jaribu tena
Duuuh Huu Undezi Mi Maelezo Yako Yananipa Nyota Zaidi!
 
Back
Top Bottom