Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Mi mwenyew UC imenipa sana shida lakin suluhisho ni simple sana download app moja playstore inaitwa ADM ( advance download manager hutajuta kamwe nimeotumia kama mwezi hivi chakufanya simple tu pakua episode yako kwa uc kama kawaida ikianza kudownload au hata kama iko zero kb cheki details copy file la URL then kapaste ADM start download aisee noma sana hutajuta ukishindwa nicheki tena
Sante Ngoja Nijaribu Hii Kitu Ubarikiwe Sana
 
Mchumba wangu Manse imekuwaje tena mbona anavaa miwani
annyeong haseyo Khantwe noona.
uwezo wake wa kuona umepungua ndio maana anavaa miwani, halafu upunguze kumpiga mchumba wako yaani umesababisha meno mawili ya mbele kung'oka. najua song manse ana tabia za kuchepuka ila unapaswa umvumilie.
si unajua tena mke mmoja hatoshi kwa utamaduni wa kwetu.
201708011427388590026_20170801142752_01_20170801142824768.jpg
 
Hahahahahahha, Damushin Umenifanya Nicheke Hatari Wakati Nasoma Aya Maelezo Ikabidi Niwe Nakumbuka Na Aya Matukio Jun Ki Ni Mweuuu Wa Mwisho Ana Ata Uzima Yaani, Ila Napenda Vile Anavyomajari Chawbacca,

Hii Drama Kuna Mtu Alishauri Uwe Unaangalia Peke Yako Maana Unaweza Kuonekana Chizi,
annyeong haseyo aminas noona
naomba unipe update kuhusiana na muendelezo wa drama ya waikiki.
nimeishi wiki mbili bila ya internet
jun ki ameongeza au amepunguza vituko?
grand prince drama bado inavutia?
 
aminas noona, EMPTY dongsaeng na Khantwe noona hii new couple inavutia au haina jipya?
kim bum (29) pamoja na mwanadada oh yeon soo (31).
01.jpg

ila ningelifurahi kama kim bum angeliendeleza uhusiano wake na yule dada kim so eun wa kwenye boys over flower drama, nilivutiwa sana na ukaribu wao.
edit1_400x400.jpg
 
Jang Hyuk transforms into a gangster debtor.
baada ya money flower drama hatimaye jang hyuk amethibitisha kushiriki drama inayoitwa Greasy Melo.waigizaji wengine waliothibitisha kushiriki kwenye drama hiyo ambayo itaonyeshwa na kituo cha SBS ni pamoja na mwanadada jung ryeo won na 2PM’s Junho.
jang hyuk sunbae ataigiza uhusika wa Doo Chil Sung ambaye ni gangster anayejishughulisha na kukusanya madeni kwa wadaiwa kimabavu pia anamiliki mgahawa unaopika vyakula vya asili ya china.
jang hyuk amenukuliwa akisema:
ni jambo la furaha kuigiza uhusika wa doo chil sung ambaye hafuati sheria na taratibu za nchi, itakuwa ni vizuri zaidi kwangu mimi kuchanganya uhusika wa mapenzi na mapigano (action) kwenye drama hii.
Greasy Melo itaanza kuonyeshwa mwezi MAY.
1_RX3_SZIXHJ_1.jpg
 
annyeong haseyo aminas noona
naomba unipe update kuhusiana na muendelezo wa drama ya waikiki.
nimeishi wiki mbili bila ya internet
jun ki ameongeza au amepunguza vituko?
grand prince drama bado inavutia?
Grand Prince IPO Patamu Sana kinoma Yaani

Uku Jun ki Keshadata kwa Chewbacca.

Naandika kwa Usngzi Kesho InshaAllah Ntaandika Vyema.
 
Back
Top Bottom