Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

DDE_9884.jpg

Hii Drama Lol!!
 
Ukiacha wise prison life na defendant drama gani nyingine imeigiziwa mazingira ya gerezani?

Nimependa magereza ya kikorea,sijui na yetu yapo hivyo!?daah
 
EMPTY Bogoshipo Chinguya
Damushin Bogoshipo Oppa

Nina Tatizo Na Kudownload Browser Nayotumia Inanipa Shida Sana Amabayo ni UC Aitaki Kudownload Kabisaa Sijajua Shida Nini Na Najaribu Pia Kuitumia Chrome Lakini Pia Nayo Ainipi Option Ya Download Msaada Wenu Pleez Naitumia MyAsian
 
wakuu naombeni kujua tofuti kati ya kim nana na kim so hyun ni mmoja au ni tofauti (msisitizo kim so hyun ni wa kike sio yule wa kiume ambae ni kim soo hyun.
Wako Tofauti Kabisaa Kim Nana Jina Lake Halisi Ni Park Min Young (Alocheza Kwenye City Hunter) na So Hyun Ni So Hyun.
 
EMPTY Bogoshipo Chinguya
Damushin Bogoshipo Oppa

Nina Tatizo Na Kudownload Browser Nayotumia Inanipa Shida Sana Amabayo ni UC Aitaki Kudownload Kabisaa Sijajua Shida Nini Na Najaribu Pia Kuitumia Chrome Lakini Pia Nayo Ainipi Option Ya Download Msaada Wenu Pleez Naitumia MyAsian
Mi mwenyew UC imenipa sana shida lakin suluhisho ni simple sana download app moja playstore inaitwa ADM ( advance download manager hutajuta kamwe nimeotumia kama mwezi hivi chakufanya simple tu pakua episode yako kwa uc kama kawaida ikianza kudownload au hata kama iko zero kb cheki details copy file la URL then kapaste ADM start download aisee noma sana hutajuta ukishindwa nicheki tena
 
Back
Top Bottom