Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa kweli uje haraka...hiyo sina ya kucheka kwenye ile fated to love you ndo inaudhi sema sababu ya maradhi inabidi nielewe lol
 


LAUGHTER IN WAIKIKI CO-STARS LEE YI-KYUNG, JUNG IN-SUN CONFIRMED TO BE DATING

Si Ndani Ya Waikiki Tuu, Mpaka Nje Na Wako Kwenye Uhusiano Mwaka Sasa.
 


LAUGHTER IN WAIKIKI CO-STARS LEE YI-KYUNG, JUNG IN-SUN CONFIRMED TO BE DATING

Si Ndani Ya Waikiki Tuu, Mpaka Nje Na Wako Kwenye Uhusiano Mwaka Sasa.
hongera kwao kwa kuamua kuweka hadharani mahusiano yao ya kimapenzi, nimebaki najiuliza maswali muda huu inamaana lee jun ki alikuwa hamuonei wivu mpenzi wake alivyokuwa yupo karibu na dong soooo.
eeh mungu kwa nini awe jun ki na asiwe dong sooooo.
gwenchanah gwenchanah.
 


Scene Ya Kudance Na Kobe Lol!!
hii scene alinichekesha mpaka nikaazima hakiba ya kicheko kwa majirani.lakini anaonekana ni mdoli na si kobe wa ukweli au ni macho yangu.
nina huzuni leo waikiki ndio imemaliza.
gwenchanah gwenchanah
 
hii scene alinichekesha mpaka nikaazima hakiba ya kicheko kwa majirani.lakini anaonekana ni mdoli na si kobe wa ukweli au ni macho yangu.
nina huzuni leo waikiki ndio imemaliza.
gwenchanah gwenchanah
Kuna comedy nyengine ya muda kidogo nayo inasifiwa kuwa ni nzuri,inaitwa modern farm.
 
Kazi Na Mahusiano Waliyaweka Mbali Na Madai Yao Ni Kuwa Hawakutaka kuharibu Kazi Yao.

Tena Hasa Zile Scene Za Kiss Duu!

Lakini Unaona Vile Ambavyo wanayaelezea Kuwa Na Uhusiano Na Mtu Maarufu, Shida Anayoipata Sa Ivi Chewbacca Na Jun Ki, Jun Ki Yupo Mkweli Lakini Bacca Anajitahidi Kumuamini Ila Anashindwa.
 
hii scene alinichekesha mpaka nikaazima hakiba ya kicheko kwa majirani.lakini anaonekana ni mdoli na si kobe wa ukweli au ni macho yangu.
nina huzuni leo waikiki ndio imemaliza.
gwenchanah gwenchanah
Tutaimis Ni Kati ya Drama Amabayo Kiukweli Ilikuwa Inanisahaulisha Ya Dunia Ikiisha Narudi Tena Kuyafikilia Ya Dunia

Ni Drama Tamu Sana Kiukweli. Kuna Siku Niko Mahala Naingalia kwenye ile Scene ya Yule Muandishi Wa Vitabu Jun ki Alipoenda Fanya Mahojiano Naye We Nilikuwa Nacheka Bila Kuangalia Nipo Wapi. Ilikuwa Inanipa Uchizi Kidogo
 
Anyeohaseyo! Jamani namtafuta No Polmo na Lady Susuhno, sijafanikiwa kuwapata. Aigoooo...
 
hahahahahahaaaaaaaaa jamaaa alikuwa anasimulia hadithi za matukio ya zamani kama alikuwepo na hachoki kuzungumza utadhani amefungwa machine.
episode ya 19 jun ki amenichekesha sana alipoambiwa aandike saini yake ili ajaze mkataba wa kusajiliwa kwenye kampuni itakayomsimamia kwenye kazi zake za sanaa ya uigizaji.
leeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
junnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnn
kiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
하하하 하하하하하하 하하하하하하 하하하하하하 하하하

nimeamua kutumia picha yako.
 
Hahahhahahahahahahahah

Jun ki Ni Mweu hatari Nahisi Alikuwa Anmgeza Yule Mtu wake Pale Yoon Alipomuomba Sig Kama Watu Maarufu Wanavyoombwa Hahahah ikabdi Wamkimbie Hahahah Yoon Mpka Akalala Kuamka Hahhaah Kakuta Bado Ikabdi Nayeye Tuuh Amkimbie Hahhahaah Jun ki Ni Chizi Wa Mwisho
 
Ila uchizi Wake Wote Kwa Bacca Ageuzi
 
EMPTY dongsaeng unaionaje drama ya the miracle we met mpaka ilipofikia episode ya 6?

  • song hyun chul wapo wawili na wote wamezaliwa siku moja na wote wanapata ajali ya gari siku moja.
  • na wanapatiwa matibabu hospital moja, mmoja anamiliki mgahawa na mwengine ni manager wa bank.
  • mmoja hana mahusiano mazuri na mke wake na mwengine muda wote hushirikiana na mke wake kwa ajili ya kujitafutia riziki ilikuendesha familia yao.
  • balaa gream reaper anafanya makosa alipokuwa kwenye majukumu ya kazi.
  • mwili ni wa song hyun chul anayefanya kazi benki lakini roho ni ya song hyun chul anayefanya kazi ya mgahawani.
  • balaaa si dogo akienda upande wa aliyekuwa mke wake haaminiki kwa sababu sura si ya kwake japokuwa roho ni ya kwake.
  • kivyovyote analazimika azihudumikie familia zote mbili,aigoooo wakati mwengine namuonea huruma jinsi anavyohangaika kuudhihirisha ukweli kwenye jamii.
Episode 5 - imeangaliwa nchini korea 11.5%.
bado inaendelea kuongoza kuangaliwa zaidi nchini korea.


ahsante sana dongsaeng kwa wakati huu ambao waikiki imemaliza acha niendeleee kuitazama hii drama.
hawa waigizaji maveterani wamerudi kwa speed ya makombora ya hwasong.

 
Eeeehhh!!! Ingizo Jipya Niingie Ama!??? Maana Baada ya kuisha Waikiki Nimebakiwa na Grand prince Tuuh
 
Eeeehhh!!! Ingizo Jipya Niingie Ama!??? Maana Baada ya kuisha Waikiki Nimebakiwa na Grand prince Tuuh
kwangu mimi naona ipo vizuri kwa sababu hadithi yake huwezi kuitabiri muelekeo wake.
pia ipo drama nyengine inaitwa should we kiss first?
nayo pia ipo vizuri sana na hata rate yake iliwahi kuvuka 2 digit nayo pia nimeanza kuiangalia leo asubuhi lakini baadae umeme ulizimwa.
ni hadithi inayozungumzia maisha ya watu wanne ambao wamepoteza matumaini kwenye maisha yao ya kimapenzi.
lakini main cast wote ni waigizaji maveterani.


vile vile ipo drama nyengine inaitwa my mister (my ahjussi) ambayo muigizaji mkuu wa kike ni IU nayo pia inafanya vizuri sana na inaonyeshwa na kituo cha tvN.


kwa drama zinazoendelea hizo ndio ninazoziangalia.
Grand prince nimeiacha episode ya 10.
 
Anha Okay My Mister Nilishaianza Ila UC Ilivyoanza Kunizingua Kudownload Nikaipotezea Ngoja Nijaribu Kuiangalia.

Maveterani ndo Nini??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…