Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

niliwahi kuandika ya kwamba baada ya kuonyesha uwezo wa hali ya juu sana kwenye drama ya MONEY FLOWER muigizaji JANG HYUK amekuwa akitafutwa kila sehemu na madirector kuanzia variety show, drama na hata movies.
kwa muda huu jang hyuk anaigiza drama inayoitwa WOK OF LOVE ambayo imeanza jumatatu ya wiki hii lakini cha kushangaza leo hii amepata ofa nyengine ya kuigiza kwenye drama inayoitwa BAD PAPA itakayoonyeshwa na kituo cha MBC kuanzia mwezi september.
ni drama itakayozungumzia maisha ya kijana wa makamo (ahjussi) ambaye anapitia kwenye hali ngumu ya kimaisha na ukorofi ili kufanikisha azma yake ya kuwa baba bora.
Yoo Ji Chul ni mpiganaji mstaafu wa ulingoni (boxer) ambaye ana mke na mtoto.
baadae maisha yake yanakuwa magumu na yasiokuwa na matumaini.
NB:
Jang hyuk hajawahi kuniangusha kwenye martial artist na ni mpenzi mkubwa sana wa boxing.
 
Au Nafasi Ya Pili So Nzuri Etii
inategemea na mwenye nafasi jinsi anavyoichukulia, wapo wengine wameshikilia nafasi ya pili lakini jninsi walivyo na nidhamu na uwajibikaji wanawashinda waongozaji jadweli.
 
tvN drama series “Wife That I Know” is now set to begin airing August, 2018 in South Korea (will air Wednesdays and Thursdays at 9:30 after "What's Wrong With Secretary Kim.")

 
[HASHTAG]#Lawless[/HASHTAG] Attorney main poster:
12/05/2018 = saturday
1st episode
daebakkumbe mzee choi min soo ndani ya nyumba
kwenye warrior baek dong sooo alikuwa na balaa akikutana na sword saints.
nikipata nafasi inshaallah nataka niiangalie a man who dies to live
EMPTY dongsaeng nakumbuka comment yako ulipokuwa unaizungumzia drama ya suit ulitamani tuwe na wanasheria wenye uwezo, vipi tanzania haihitaji wanasheria watemi kama Bong Sang-Pil?
hahahahahaaaaa ukimletea balaa ni kipigo kama spika wa bunge fulani alipomchapa mwenzake.

 
Mabishoo tupa kuleee, Ni mwendo wa wakongwe/maveterani kutesa sasa.
Yes! Nahisi KDrama niliyoijua inaanza kurejea.
 
Girls’ Generation’s Seo hyun, Red Velvet, And More Meet President Moon Jae In At Lunch Following Performances In North Korea

President Moon Jae In invited South Korean artists who recently performed in North Korea to a special luncheon to thank them
The group of artists who performed in Pyongyang in late March and early April for the special series of concerts included Cho Yong Pil, Lee Sun Hee, Choi Jin Hee, Yoon Do Hyun, Baek Ji Young, Jung In, Ali, Girls’ Generation’s Seohyun, and Red Velvet. They were directed by singer and producer Yoon Sang.

On May 11, president Moon Jae In hosted a formal lunch for the artists, and photos were shared by the Blue House from the event.
According to the Blue House’s official social media accounts, president Moon Jae In said to the artists, “Please think of this as the country treating you with lunch out of gratitude because you all performed a very important role for the country.
 

nimebahatika kuiangalia wok of love drama episode 4 za mwanzo bahati mbaya episode 2 za mwanzo zipo too slow kwa mtazamo wangu.
pia nimeshangazwa sana kuona jang hyuk amepewa screen time ndogo sana ukilinganisha na muigizaji mkuu wa kike labda ni kwa sababu kwa jinsi drama inavyokwenda jang hyuk ni second lead actor baada ya 2PM junho.
episode ya 3 kidogo ilianza kuchangamka na kuifanya drama kuvutia.
pia sijafurahishwa na kitendo cha mwanamama lee mi sook kupewa screen time ndogo sana wakati kwenye money flower kwa kushirikiana na jang hyuk waliifanya iwe on fire.
ila yote tisa jang hyuk ana uwezo wa kuzuia mafuriko ya pale jangwani makao makuu ya ............​
  • jang hyuk ana uwezo wa kuwawezesha wanafunzi wote kupata mikopo hata kama wazazi wao wana leseni za kuendeshea biashara. baadhi ya nukuu zake
  • Don't get married. Divorce is so hard
  • You won't have a chance to have me tomorrow website
kwa kuwa nimepata mualiko kutoka kwa aminas nihudhurie futari basi ngoja niendelee kujifunza mapishi kupitia drama hii ili nipate kujua ni chakula gani napaswa niwekeshe oda na mapema.​
 
tvN confirms EXO Chanyeol will join the cast of upcoming drama 'Memories of Alhambra Palace' Fantasy romance genre drama starring Hyun Bin and Park Shin Hye Broadcast expected in November
to act as Younger brother of Park Shin Hye's character, he'd be a genius programmer
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…