Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Parting-Left.jpg

Ni drama inayokwenda kwa jina la Goodbye to Goodbye a.k.a Parting Left.
Nimetoka kuiangalia na hadi ilipofikia ep ya 4, imenipa mzuka wa kuifatilia.

Pia, kama ilivyokuwa kwa Moorim School, kuna actor mwenye asili ya Wakanda.
 
Ushaanza Lol! Auishi Sababu
Teh te hehe! Na ile drama uliyokuwa unaisuburi kwa hamu Lawless Lawyer , nasikitika kukutaarifu kuwa mambo yamekuwa ndivyo sivyo.

Nimeamua kuendelea kuitazama kwa sababu moja tu: Seo Ye Ji.
Why? she's my Julia Roberts (kwa waliofahamu tu).
Seo-Ye-Ji.jpg
 
Ahsanteh mkuu ubarikiwe sana kiongozi je nikitaka mwenyewe kupakuwa movies nyingine kwa quality hii na zenye less MB natumia njia gani maana huwa nikiingia hii site nakutana na movies zenye MB nyingi ambazo si rafiki nami kwa upande wa STORAGE na MBs.
Chungulia JF Store! Kuna uzi special kwa ajili ya movies, series downloads.
 
President Moon Jae In Congratulates BTS And ARMY For Achieving No. 1 On Billboard 200
BTS wameendelea kuushangaza ulimwengu baada ya album yao inayoitwa Love Yourself: Tear kushika nafasi ya kwanza kwenye chart za billboard 200 jambo ambalo limemfanya rais wa korea kusini kuwapongeza vijana hao pamoja na mashabiki wa group hilo kwa mafanikio yao na kwa kuzidi kuitangaza korean kpop.
ni kwa mara ya kwanza album ambayo si ya kiingereza kushika nafasi ya kwanza baada ya miaka 12 na pia ni mara ya kwanza kwa album ya muziki wa korea kushika nafasi ya kwanza.
BTS7.jpg

rais moon jae in ameandika maneno yafuatayo kwenye barua yake kwa ufupi;
"natoa shukrani zangu za dhati kwa vijana hawa saba wanaopenda muziki wanaoitwa BTS army, vijana wengi duniani wanajisikia furaha kutokana na muziki wa BTS pamoja na dance performance wanayoionyesha.
kiukweli BTS ni vijana wa ajabu sana kutokana na jinsi wanavyoweza kuigeuza huzuni na kuwa furaha kwa njia tofauti.
ni jambo lililowazi ya kwamba muziki wetu umezidi kusonga mbele na kutambulika zaidi duniani na hii yote imechangziwa na BTS.
Nitawaunga mkono vijana hawa ili washike nafasi ya kwanza kwenye billboard chart 100 na wapate kushinda tunzo ya grammy, kufanya show kwenye viwanja vikubwa duniani na pia kuwa wanamuziki wenye mafanikio duniani.
nitayakumbuka majina ya vijana hawa saba Jin, Suga, J-Hope, RM, Jimin, V, na Jungkook kwenye maisha yangu na naamini huu ni mwanzo tu wa mafanikio.
ahsanteni sana kwa kushare nasi furaha kwa taifa letu na watu wote duniani kwa ujumla.

May 28, 2018.
“President Moon Jae In.”

DeSN88yVMAAim3Q.jpg


kweli nimemini hakuna lugha nyepesi duniani kama lugha ya muziki
hata kama mutaimba kwa lugha ya chato na kipemba kama muziki wenu ni mzuri basi ipo siku utapendwa na kupata mafanikio.
EXO, bigbang na wengineo wakae pembeni kwanza wawaache majeshi ya BTS wakinukishe.
ni mimi Damushin mkorea mweusi aliyezaliwa nchi inayopitisha bajeti ya kilimo kwa 5%.

kweli nimeamini mkono wa mtu mpumbavu ndio huazimwa kwa ajili ya kupimia urefu wa shimo la nyoka aina ya koboko (black mamba).

fake love
 
First script reading for tvN drama series “Familiar Wife,” starring Ji Sung & Han Ji-Min, took place at Studio Dragon in Sangamdong, Seoul, South Korea
DeVaLssU0AU54qe.jpg

kama ndio mimi kituo changu kinashindana na TnN ningeliwapa likizo wafanya kazi wote.
hawa jamaaa ni shidaaaaa.ningelikuwanaishi korea hii cable tv ningeliilipia kwa prepaid
hongera kwao kampuni ya CJ&EM
second half drama (7- 12)
memories of alhambra = hyun bin na park shin hye
mr sunshine = lee byung hun, kim tae ri
familiar wife = ji sung na han ji min.
huyu binti nilimpenda sana kwenye cain and abel drama kwa jinsi alivyokuwa akimjali sana so ji sub
 
kama ndio mimi kituo changu kinashindana na TnN ningeliwapa likizo wafanya kazi wote.
hawa jamaaa ni shidaaaaa.ningelikuwanaishi korea hii cable tv ningeliilipia kwa prepaid
Sunbae,
TnN ndio nini? hihihihi!
 
Dah! Nyie Jamaa Damushin EMPTY aminas
Nawengine Ambao Mnaufanya Uzi Huu Kusonga Mbele Yaani Ikitokea Siku Moja Kuwa Wana JF Wanapewa Zawadi Ninyi Mtakuwa Wakwanza Haki Ya Mungu!
aigoooooo, balozi wa korea kaskazini nchini Tanzania nahisi umetupa heshima kubwa sana na kwa upande wangu sina budi nizipokee pongezi zako kwa mikono miwili.
당신에게 건배
dangsin-ege geonbae
cheers to you
0d75ea78d0e728400f8b951a6999acdf--gemini--calendar.jpg
 
aminas Hivi Kuangalia Drama Kwenye Computer Kwa Kutumia internet Huwa Unaweka Gb Ngapi Kwa Epsode 01 Kwa Mfano Epsode 01 Ina Dakika 50
Dear Mimi Huwaga Naangalia Kwenye Simu au Nadownload Kwenye Simu, Kabla Nilikuwa Napewa 3GB Nampendwa Voda kwa Wiki kwa 2000 Lakini Siku Hizi Wametengeneza Maisha Magumu Sana Kwangu Hata Kudownload Nimepunguza.

Mara Nyingi Huwaga Naangalia Ongoing Drama na Huwaga Natumia MyAsian Wana MB Kuanzia 200 Mpka 500 Kutokana Na Quality Ya Video Kwa Episode 1
 
aigoooooo, balozi wa korea kaskazini nchini Tanzania nahisi umetupa heshima kubwa sana na kwa upande wangu sina budi nizipokee pongezi zako kwa mikono miwili.
당신에게 건배
dangsin-ege geonbae
cheers to you
0d75ea78d0e728400f8b951a6999acdf--gemini--calendar.jpg
Geonbaeee!!
 
1200616_1365095260234_full.jpg

heri ya kuzaliwa iwe juu yake pamoja na baraka teleeeee
mwanadada im yoona
Birthdate: May 30, 1990
Member of K-pop group "Girls' Generation".
Drama Series
king in loves
k2
love rain
cinderella man
Movies
confidential assignments
Awards
 
YoonA_during_%22Cooperation%22_showcase_in_January_2017_01.jpg

heri ya kuzaliwa iwe juu yake pamoja na baraka teleeeee
mwanadada im yoona
Birthdate: May 30, 1990
Member of K-pop group "Girls' Generation".
Drama Series
king in loves
k2
love rain
cinderella man
Movies
confidential assignments
Awards
aminas noona bado yoona anandelea kuwa mke mwenza kwa lee seung gi sunbae au tayari umeshampindua na kubaki peke yako?
ㅋㅋㅋㅋㅋㅋㅋㅋㅋㅋㅋㅋㅋㅋㅋ
Hongera zako sunbae! Nimependa jinsi ulivyopangalia bandiko lako kwa kuweka links & uka-bold.
Gwaenchana! Gwaenchana!
 
Back
Top Bottom