EMPRESS KI or EMPRESS GI LIFE.
Ana Majina Mengi Sana Yuan Walimfahamu Kwa Jina La
Oljei Khutuk (Ili Jina Nilakimongol,Waliamua Kumbatiza kutokana na Umaarufu Wake),
Lady Ki,
Ki Nyang, Royal Consort Ki, na Mengineyo kama Jamii ya Mongol Walivyombariki, (Hii Nafasi Amecheza Ha Ji Woon kwenye Empress ki),.
Kazaliwa Mwaka 1315 ( Yaani Apa Ata Bibi Mzaa Bibi Mzaa Bibi Mzaa Bibi Na Kuendelea Sidhani Kama Walikuwa Wamezaliwa), Na Kupotea Mwaka 1370, Kwani Aijulikani Kama Alikufa au Kama Alikufa Aijulikani Alikufa Kwa Mazingira Gani Ila Historia Inasema Alipotea Mara Baada ya Mumewe Ambaye Anajulikana Kwa Jina La
Toghon Temur Khan kwa Jina Maarufu Au Hye Jong ( Hii Nafasi Kacheza Jichangwook kwenye Drama ya Empress ki) Kufariki Mwaka 1370.
Amezaliwa Koryeo au Goryeo Sa Ivi Inajulikana Kama Korea, Akiwa Ni Mtoto Wa Kike Pekee Baba Yake Anafahamika Kwa Jina La
Ki Ja-o (Nafasi Hii Kacheza Kim Myung Soo) na Alikuwa Na Kaka Pia Alieitwa Gi Cheol au Ki Chul, Japo Inasemekana Alikuwa na Makaka Wengine Ila Uyu Ndo alikuwa Anafahamika Sana.
Maisha Aloishi Koryeo Yalikuwa Yachini Sana Au Yakifukara Sana Na Alikuwa Miongoni mwa Mabinti Waliochukuliwa kama Slave Kwa Ajili Ya Kwenda kuwa Concubines Wa Mfalme Yuan (Ila Hii Naona Ilibadirisha Maisha Yake kiujumla),Alikuwa Ahitaji kuiacha Familia Yake nakwenda kuwa bidhaa ya Yuan Ila Alikuwa Hana Jinsi kwani walikuwa wanachukuliwa kwa Lazima,Baada ya kufika Yuan katika mji Wa Daidu Kwa Sasa Unaofahamika kama Beijing kwa Sa Ivi.
Aliiamua kuweka Utofauti Kati yake Na Wenzie, Ye Alikuwa Bora Zaidi Kwenye Kucheza,Kuongea,Kuimba Na Mashahiri, Na Apa Aliamua Kujitofautisha na Wenzie Ila Awe Bora Kwa Mfalme, Na Baada ya Kupata Msaada kutoka kwa Eunuch Go Yong Bo Ambae Alikuwa ndo Eunuch wa Mfalme na Inafahamika Uyu Bwana Bo Pia Naye Alitokea Koryeo, Alimsaidia kwa Vitu Vingi Sana Hasa kumuweka karibu na Mfalme Kumpangia Kazi Za Kwa Mfalme na Hata Kumpigia Debe.
Kidogo kidogo akaanza kumvutia Mfalme Na Mwishowe Kuwa kipenzi cha Mfalme Na Mfalme ambaye ni Toghon Akaamua Kuamisha Majeshi Kwa Ki na Kumuacha Mkewe wa Kipindi Kille Mkewe Alikuwa Banashiri Mtoto wa Guh - Kwan
Tanasiri Alocheza Kama
Banashiri,
Mwaka 1335, Banashiri Alinyongwa Kutokana Na Rebellion Aloifanya Kaka Yake Tanqish Ikapelekea Familia Yake Yote Kuuliwa, Hii Kidogo Ilimpa Uhai Ki Nakuona Sasa Ni Nafasi yake yakutawazwa na kuwa Empress Wa Yuan Ila Kitendo Hicho kilipigwa Vikali na Aliyekuwa Regent Muongolian Alotukuka Aneitwa Bayan, Kukataa Na Kutokubali kabisaa kwa Ki kuushika Ufalme Kwani yeye Alikuwa Ni Kijakazi na Ni Mkoryeo, Hitaji lake Lilifanikiwa kutokana Na Kipindi Icho alikuwa na Nguvu Sana, Na Kuamua Kumuweka Mtoto wa Dada yake anaenda kwa jina la Bayan Khutug Akawa Empress.
Mwaka 1339 Ki Alijifungua Mtoto Wa Kiume Anaenda kwa jina la Ayushiridari Aliienda kuwa Crown prince na Baada ya Baba yake Kufa alitwaa kiti cha baba yake Kabla ya Mongolian Yuan Dynasty Kutolewa na kuingia Ming Dynasty,
Mapigano Bado yaliendelea baina ya Ki Pamoja na Viongozi wa Yuan Hasa Bayan,
Mwaka 1940 Ki Alitwanza Na Kuwa Empress Baada ya Umauti Ulomkuta Regent Bayan pamoja na Mpwa wake Kuuliwa, Bayan Aliuliwa na Mtoto alomlea mwenyewe anaenda kwa Jina La Toghtogha Lakini Mpwa Wake aijulikani Alikufaje.
Na Ndani ya Uo Mwaka Lady Ki Alijipatia Kiti Chake Na Kuwa Kati Ya Empress Walopendeka Sana.
Alibadirisha Mfumo Mzima Wa Uvaaji Ndani ya Palace Alitengeneza Mitindo ya Nywele ya kwao na Aliiamrisha kila Binti Aweke Staili Hiyo, Akabadirisha Mfumo Mzima Wa Uongozi Na Kuwekaa Watu wa Alikozaliwa, Ichi Kitendo ndo kiliwafanya wanajamii wengi wa Mongolion Kumjia Juu,
Nchini Koryeo Alimsimika Baba Yake Mzee Ki Ja O Na Kuwa King na kumpa Nafasi Kaka Yake Ki chul Katika Uongozi Wa Yuan.Japo Historia Inadahi Walikuwa na Madaraka Mabaya Sna.