amin amin aminHahahahaha Jamanii.
Heri ya Kuzaliwa Harabuuujiii, Miaka Mingi Ujaaliwe Uone Vitukuu Vyakoo Na Wakwe Zako InshaAllah.
Ile Ftari Yako Ndo Naona Itafaa Kuwa Leo. Unitaarifu Nakupataje
Amiin,amin amin amin
kuhusu futari sijui hata itakuwaje ila nakushukuru kwa offer yako hivyo basi naomba uniwakilishe kwa niaba yangu.
utapofuturu wewe huku ukiwa na furaha nitajihisi kama na mimi tulifuturu pamoja.
mchana mwema agassi.
Hahahahahhahahahuu wimbo hauna uhusiano wowote na hii comment niliyoinukuu.
sabah salum
limeniathiri huba la fulani.
Sunbae-nim, 생일 축하해!06/06
daebak daebak
siku inayofanana na tarehe ya leo na muda kama huu miaka X iliopita nilibahatika kuuona mwanga wa ulimwengu baada ya mwaka mmoja kufichwa kwenye tumbo la mama yangu mpendwa.
aigooo miaka 20 ijayo nitakuwa ahjussiiiiiii.
miaka 40 ijayo nitakuwa harabujiiiiiiiii.
nafahamu ya kwamba siku moja jua litazama na kuondoka moja kwa moja ila kwangu mimi upendo kwa wazazi wangu hautaondoka, wamepitia changamoto ngumu sana mpaka kunifanya kufikia umri huu niliofikisha siku ya leo na mpaka leo bado hawajachoshwa na mimi sasa
kwa nini mimi nichoshwe na wao?
saeng il chuk ha ham ni da
saeng il chuk ha ham ni da
sarang ha neun -- Damushin shi
saeng il chuk ha ham ni da
Jang Hyuk na mie kama pete na chanda.EMPTY Umeiona Wok Of Love Ya Jang Hyuk??
Utakuwa Umeiona Sema Umeidharau Kama Kawaida Yako,!
Sababu Ilivyoanza Mwanzoni Kama Ya Kitoto Ila Ni Kati ya Drama za kujifunza Sana, Naona Wanaelezea Maisha Kabisa Vijana Tunayokumbana Nayo Na Ata Jinsi Mtu Unavyopitia Majaribu Na Mitihani Ya Dunia. Sema Wameiweka Kitoto Toto Sana.
bogoshipoo dada yangu mpendwa,
Yaani Nimejikuta Natabasamu APA mpaka Jino la mwishobogoshipoo dada yangu mpendwa,
siku 21 zilikuwa kama miaka 3000
sijui hata tuanzie wapi
Mambo yamekuwa Mengibogoshipoo dada yangu mpendwa,
siku 21 zilikuwa kama miaka 3000
sijui hata tuanzie wapi