Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Now watching Moon Lovers: Scarlet Heart Ryeo [emoji12]
daebak
moja kati ya best historical drama.

R.I.P jo min ki
aliamini njia pekee ya kuondoa aibu kutokana na matendo yake maovu ni kujitoa uhai, humu ndani ameigiza nafasi ya mfalme wang guhn.
EXO katika ubora wao

 
daebak
moja kati ya best historical drama.

R.I.P jo min ki
aliamini njia pekee ya kuondoa aibu kutokana na matendo yake maovu ni kujitoa uhai, humu ndani ameigiza nafasi ya mfalme wang guhn.
EXO katika ubora wao

Aisee hii ni kali sana ipo tofauti sana na zingine na uwezi ku predict kinachofata
 
Any comedy Korea drama nzuri nipen update nataka nijichekeage peke yangu kama Waikiki...
 
EMPTY dongsaeng popote ulipo nakusalimia
hivi huyu jang hyuk neno kupumzika halielewi kiupande wake?

Jang Hyuk to turn into an MMA fighter for new drama 'Bad Papa'
'Bad Papa' is a story of the struggle of a man who chooses to become a bad man in order to become a good father.
Jang Hyuk acts as a Yoo Ji-chul, a former champion boxer who lost all his money and honor suddenly . In order to recover his life, he returns to the boxing ring. It is anticipated Jang Hyuk will showcase his acting skills once again through this touching family story and create another 'life character' for himself.

 
Hahahaha Ayo Maelezo Tuuh, Unaanza Cheka
Modern Farmer - AsianWiki
humu ndani unakutana na lee hong gi a. k.a mzee wa gwenchanah gwenchanah yaani ni vituko kwenda mbele. niliangalia episode 4 nikaamua kuachana nayo kwa muda ili yasinikute ya waikiki. ilifika wakati nilipokuwa naangalia waikiki nilipata ugonjwa wa kucheka njiani kama mwehu kwa kukumbuka vituko vya wajinga watatu.
nahumu ndani muna wajinga watatu waliokubuhu ujinga.

 
7 days to go
MR SUNSHINE DRAMA
drama ghali zaidi nchini korea kusini ($27.8 million USD)
mwanamama kim eun sook katika ubora wake
 
MR SUNSHINE DRAMA
new posters - Yoo Yeon Seok
mara yangu ya kwanza nimemuona kwenye drama ya romantic doctor teacher kim



 
MR SUNSHINE DRAMA
new posters - Kim Min jung
nilimpenda sana kwenye man 2 man drama pamoja na the merchant gaekju drama.
mrembo wa ukweli na macho yake kama..........


 
mr sunshine drama
lee byung hun
baada ya miaka 9 amerudi tena kwenye ulimwengu wa drama.
unaikumbuka IRIS 1?
tofauti yake kiumri na muigizaji mkuu wa kike ambae ni kim tae ri ni miaka 20.
heshima kwako sunbae
 
mr sunshine drama
lee byung hun
baada ya miaka 9 amerudi tena kwenye ulimwengu wa drama.
unaikumbuka IRIS 1?
tofauti yake kiumri na muigizaji mkuu wa kike ambae ni kim tae ri ni miaka 20.
heshima kwako sunbae
mpendwa nisaidie movie kama hizi napataje?
 
Kudownload Korean series
(1) ingia dl.ifkore.us
(2) ingia Korean series
(3) ingia mwaka iliyotoka
(4) ingia kwenye series husika baada ya kuiona
(5) anza kudownload episodes zako sasa.
Kama screen shots zinavyoonesha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…