Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Wakorea ni noma wapo fasta hasa kwenye company dinner,wananishangaza wanaokataa kuhudhuria kwenye mnuso kwa sababu binafsi ukiangalia sababu zenyewe hazina umuhimu kama utamu wa msosi husika. Bongo movie wanaishia kunywa juisi na wali nyama napo kwa wanaoigiza kitajiri tu ila ugali ni kwa maskini tu wa bongo movie tena anakula huku kakunja uso kama kanyeshwa kwinini bila kupenda
Bila kusahau zile skonzi za subway. Khaa mtu ana njaa kali eti lunch skonzi na juisi wakorea bana wanajua kujipigia promoㅋㅋㅋㅋㅋㅋㅋㅋㅋㅋㅋㅋㅋㅋㅋ
하하하하 하하하하
gwenchanh gwenchanah,
hawa wakorea wana utamaduni wa ajabu sana yaani utamkuta mtu hachelewi kumwambia mwenziwe nitakununulia chakula au kinywaji wakati huku kwetu offer ya kununuliwa paketi ya diamond karanga huipati.
au hamjashuhudia tukio kama hilo munapoangalia drama?
shikamoo wakorea.
hivyo basi usijali nitakununulia pork ribs, soju na bakuli moja la jajangmyeon.
hii drama ya wok of love wanapigia promo sana hiki chakula cha jajangmyeon, nathubutu kusema episode zote chakula hiki kimepikwa.
sijui na huku kwetu ugali unaliwa kwenye bongo movies za mandhari ya kitajiri?