Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

tvN Responds To Report That Lee Byung Hun Is Being Paid 150 Million Won Per Episode Of “Mr. Sunshine”
Lee-Byung-Hun.jpg

tvN wamewaambia the Seoul Economic Daily Star ya kwamba huwa hatuangalii ni kiasi gani ambacho muigizaji anachopokea.
kwa mujibu wa stori za vibarazani ni kwamba lee byung hun amelipwa usd 134,700 kwa kila episode aliyoshiriki kwenye mr sunshine na pia inakadiriwa ya kwamba malipo ya jumla kwa episode 24 ni won billion 3.6 ambazo ni sawa na dollar million 3.2 na pia ni sawa na billion 7.2 kwa pesa za JPM.
pia imegundulikana ya kwamba gharama zote za uzalishaji zilizotumika kwenye drama ya mr sunshine ni won billion 40 ambazo ni sawa na $35.9 million au billion 80 za kitanzania.
Mr. Sunshine ni historical drama inayozungumzia maisha ya kijana mmoja wakikorea anayeamua kurudi nyumbani kwao kama mwanajeshi wa marekani baada ya kukimbilia nchini humo mnamo mwaka 1871.
 
karaoke moments
hahahahahaaaaa hii ndoto niliyoota muda huu imenifanya nijicheke mimi mwenyewe kwanza.
wakorea hunifurahisha sana wanapokwenda karaokee ni full kujiachia. balaa uwe hujui hata wimbo mmoja kichwani mwako mhhhhhhhhhh.
ngoja nilale tena huenda nikaota nimeteuliwa kuwa waziri mkuu.

38a7f2860e272c63536c0cdeeeb57b03097d54f1_hq.gif

proxy
cuteGifFH.gif
tumblr_lls9dinq4X1qajpm9o1_400.gif
kss27.gif
 
tvN Responds To Report That Lee Byung Hun Is Being Paid 150 Million Won Per Episode Of “Mr. Sunshine”
Lee-Byung-Hun.jpg

tvN wamewaambia the Seoul Economic Daily Star ya kwamba huwa hatuangalii ni kiasi gani ambacho muigizaji anachopokea.
kwa mujibu wa stori za vibarazani ni kwamba lee byung hun amelipwa usd 134,700 kwa kila episode aliyoshiriki kwenye mr sunshine na pia inakadiriwa ya kwamba malipo ya jumla kwa episode 24 ni won billion 3.6 ambazo ni sawa na dollar million 3.2 na pia ni sawa na billion 7.2 kwa pesa za JPM.
pia imegundulikana ya kwamba gharama zote za uzalishaji zilizotumika kwenye drama ya mr sunshine ni won billion 40 ambazo ni sawa na $35.9 million au billion 80 za kitanzania.
Mr. Sunshine ni historical drama inayozungumzia maisha ya kijana mmoja wakikorea anayeamua kurudi nyumbani kwao kama mwanajeshi wa marekani baada ya kukimbilia nchini humo mnamo mwaka 1871.
B7 Jamani Kwa Drama Moja Yenye Episode 24 Inayochukua Miezi Kazaa Tuuh Kumalizika....Haya Alafu Mtu Anasema Unaidharau Tasnia Yetu, Ni Lini Tutakuja Kufikia Izi Level Kwa Muigizaji Mmoja Kulipwa Ivi!, Ni Lini Tutafikia Level Ya Wao Wakorea Kuangalia Nasi Kazi Zetu Wakatujua!.
 
B7 Jamani Kwa Drama Moja Yenye Episode 24 Inayochukua Miezi Kazaa Tuuh Kumalizika....Haya Alafu Mtu Anasema Unaidharau Tasnia Yetu, Ni Lini Tutakuja Kufikia Izi Level Kwa Muigizaji Mmoja Kulipwa Ivi!, Ni Lini Tutafikia Level Ya Wao Wakorea Kuangalia Na Siye Kazi Zetu Wakatujua!.
Eti Hujaona Bongo Movie Wameanza Kurusha Season Za Kibongo Kama HUBA [emoji23] Haha!
 
  1. unatakiwa kujitambua binafsi wewe ni nani na nini unataka katika maisha yako yaani unataka nini duniani, shabaha yako ni nini? Usisubiri kupewa ruhusa ndiyo uanze kujitambua kwenye maisha yako, usisubiri kupigiwa chetezo au kengele kwenye maisha yako amka na jitambue wewe ni nani kwani muda hausubiri mtu rafiki na muda ni ukuta hatuwezi kupigana nao au kushindana nao. mpaka leo hii hakuna upande wowote ambao umeonyesha dalili ya kujitambua si serikali wala wahusika wa sekta ya sanaa na burudani nchini kwetu.
  2. jaribu kufikiria kama tunashindwa kutenga bajeti ya maana kwenye kilimo ambacho ndio chanzo kikuu cha ajira unadhani nchi hii inaweza kuwekeza kwenye sanaa na utamaduni? never ever hatuwezi na bahati mbaya wadau wa sanaa wote akili zao hazina tofauti na makalio, utalikuta jitu linapumbazwa na mwanasiasa yule yule ambaye anashindwa kuisogeza mbele tasnia ya sanaa na utalii ya nchi yetu eti kisa ameahidiwa million 30 za kampeni.
  3. waafrika weusi tunaridhika mapema tunapopata kidogo tofauti na jamii nyengine, inashangaza sana kuona celebrity kama wema sepetu anashikiwa akili na wanasiasa na watu wengine wasio na muelekeo hata wa maisha.wema sepetu alipaswa awe maarufu zaidi ya lupita nyongo lakini nani anajali? ikiwa yeye mwenyewe hajali unadhani na mimi Damushin nitajali? never.
  4. ukijaribu kuangalia hizi drama za kizamani za korea ndipo utagundua wapi hawa jamaa wametoka na wapi wanaelekea, hivyo basi hawajaridhika na hiki wanachokipata sasa hivi.kwa sisi watu weusi kulipwa bilion 7 ndio tutaziona nyingi kwa sababu hatukujipanga kutengeneza kiwango kikubwa cha fedha kama hicho ila naamini miaka 5 ijayo wakorea watakuwa mbali zaidi ya hapa walipo.
  5. KBS, MBC, SBS wametoka mbali sana sana na leo hii wanavuna matunda yao ya uvumilivu, nidhamu, kujituma na kuwajibika, waliamini ya kwamba ipo siku watapata faida ambayo wanaiota kuitengeneza na kufikia malengo makuu ya kuwa shirika la umma linalojiendesha kwa mapato binafsi. sisi watu weusi wajinga tunataka faida ya papo kwa papo haliyakuwa kuwekeza hatuwezi.
  6. kuna ladha fulani ya uandishi wa hizi korean drama huwezi kuipata popote hata kama ni hollywood na ndio maana ukiingia kwenye ulimwengu wa korean drama ni kama umeingia kwenye ulimwengu wa uchawi.. ni ngumu mno kutoka hata kama utajifanya kuchukua likizo kama EMPTY dongsaeng.
 
YOUR HOUSE HELPER DRAMA
Your-House-Helper-tp1.jpg

July 4, 2018 --Wednesday and Thursday 22:00
kim ji woon amezaliwa kwenye familia ambayo baba yake ni mwanasheria na mama yake ni daktari. mwanzoni alikuwa akifanya kazi kwenye makampuni makubwa lakini baadae aliamua kuacha kazi kwa sababu ya kutokufurahishwa na maisha ya kwenye kampuni jambo lililopelekea kutokuwa na mahusiano mazuri na familia yake.
baadae alifanikiwa kukutana na mwanamke na kuamua kuishi nyumbani kwa msichana na huyo hivyo basi aliamua kufanya kazi za nyumbani kwenye nyumba tofauti,pia alikuwa akipenda sana kusikiliza na kuwapa ushauri majirani, marafiki na hata wateja juu ya matatizo yao ya kila siku wanayokumbana nayo kwenye maisha.
duh hii drama sisi wanaume wa mikoani itatushinda kuangalia, haiwezekani mwanamme mwenzio afanye kazi za ndani halafu wewe bado umekaa kwenye sofa unamuangalia.
lakini mimi nitaiangalia naamini nitajifunza kitu humu ndani.
si unajua my role models wangu ni song il kook na choi soo jong sunbae kwenye maisha ya ndoa.
wala hakuna aibu yoyote kwa mwanamme kufanya kazi za ndani, kumsaidia mwenza wako kazi za ndani si ufala ila ni zaidi ya upendo.
your house helper fighting.....

Ha Suk Jin as Kim Ji Woon
05_1_s_1.thumb.jpg.3751f01195b1ce4c854803ee1af56793.jpg
is the wealthy son of an assemblyman father and a doctor mother. He began a career at a major conglomerate but chose to protect his pride and ended up getting cut off from his family, and somehow ends up working as a housekeeper. He’s got a gruff personality but finds satisfaction in creating order out of chaos.
Lee Ji Hoon as Kwon Jin kook
05_3_s_1.thumb.jpg.3b021a05a0c2f59b62c989ade270e9ea.jpg

ni msomi wa sheria na mwenye kila kitu ambacho mwanadamu anapaswa kuwa nacho kwenye maisha lakini ana tatizo moja tu nalo ni kutokuwa na uzoefu kwenye maisha ya mahusiano, ina maana yupo kama mimi kutokana na tabia yake ya kuogopa kumtamkia msichana hadharani ya kwamba saranghaeyooooooooooooo.
Go Won Hee as Yoon Sang-Ah
05_4_s_1.thumb.jpg.5bb2c1fedaa1640e7d0a28ef9655564f.jpg

my friend chewbacca wa kwenye waikiki drama,ndiye mmiliki wa nyumba mbayo amerithi kutoka kwa baba yake, ni mwanamke mcheshi sana anapokuwa nyumbani kwake.
Jeon Soo-Jin as Kang Hye-Joo
05_5_s_1.thumb.jpg.82b3ea428c5960ec51418c32f4882115.jpg
accessory seller ambaye ana mahusiano mabaya sana na mpenzi wake
Seo Eun Ah as Han So Mi
05_6_s_1.thumb.jpg.a72d4f5a5377de1cb4d32b76cbb9717c.jpg

a nail shop owner ambaye amejikuta akiwaogopa sana wanaume kutokana na matukio ya hatari aliyowahi kukutana nayo.
Bona as Im Da Young
05_2_s_1.thumb.jpg.655af9e8c3ec1b43bb025db20897bbe5.jpg
Im Da-young is an ambitious intern at an ad agency trying to make up for her lack of specs and land a permanent job, whose friendly and placating demeanor gets mistaken for flirting by her colleagues.
13398454_1228883847152242_1983918155_n.jpg
[Current Drama 2018] Your House Helper 당신의 하우스헬퍼 - Ha Suk Jin, Bona, Lee Ji Hoon, Go Won Hee - Wed & Thu @ 22:00 KST - Premiere Tonight

wakati huu ambao vyuma vimekaza naishukuru sana serikali ya CCM kwa kuwawezesha wakorea kunipa wazo la kufanya kazi za ndani.
Your-House-Helper.jpg

aminas, noona musihangaike kutafuta wafanyakazi wa ndani wa kike haliyakuwa sisi wanaume tupo.
 
Hahahahah Hana Uzoefu Kama Wewe!

Kwaiyo Wote Ao Wanaishi Nyumba Moja?
 
DcuAmbZVAAA9NMn.jpg

DdH3YDUV4AA2a6M.jpg

Are You Human Too? Ni On Going Drama Nayo Iko Poa Na Ni Kati Ya Drama Ninazo Angalia Kwa Wakati Huu!
 
Whats-Wrong-With-Secretary-Kim-p001.jpg

006kRk8kgy1fsyw8wto52j31kw11xqde.jpg

What's Wrong with Secretary Kim, Nayo Ni On Going Drama Ni Kati Ya Drama Poa Sana Iko Na Vituko Vingi Sana Za Maboss Watata! Nayo Ninaitazama.
 
WE78086021_ori.jpg

Wok of Love, Wakati Naanza Kuiangalia Sikujua Kama Itanifanyia Ivyi, Ni Drama Nzuri Sana Hasa Uhalisia Wao,Umu Ndani Ni Utajifunza Na Kuburudika Pia, Nayo ni Ongoing Drama, Pia Nayo Ninaitazama.
 
2018043018025218309-540x810.jpg

restmb_jhidxmake.php

restmb_jhidxmake.php

restmb_jhidxmake.php

Inaitwa Investigation Couple au Partners For Justice au Legal Investigation Man and Woman,Ni Ongoing Drama.

Hii Drama Ni Ya Tofauti Sana Kwanza Aina Zile Mambo Za Mahusiano kwa Sana Hii Imejikita Zaidi kwenye Vifo, Vile vya Haki na Vya Batili,Jinsi Wanavyofanya Zile Autopsy Zao Na Mambo Mengi Yanayoendelea Nyuma Ya Maiti.

Ni Nzuri Sana Na Ndo Inayoongoza Kwa Ratings, Ni Bora Mtu Aitafute Nayo Ninaitazama.
 
Back
Top Bottom