Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kim Hae Sook
nimezoe mara nyingi kumuona akiigiza uhusika wa ukorofi ila ananifurahisha sana uhusika wake kwenye hii drama ya About time inayoonyeshwa na tvN na uhusika wake anatumia jina la Oh So Nyeo.
ni mtu wa karibu sana na mwanadada choi mika ambaye jina lake halisi ni lee sung kyung, nimejikuta nikivutiwa zaidi na nukuu zake hususan zinazohusu ushauri kwa mwanadada choi mikael.

  • naomba uwe muangalifu sana choi mika, maisha ni mafupi sana , kwa kuwa bado ni kijana unajiona una muda mrefu sana wa kuishi si ndio? hutakiwi kuwa na mawazo hayo,mambo yote unayoyaona yapo kwenye himaya yako ambayo unayathamini sana yanaweza kukuponyoka muda wowote na kukuacha ukiwa kwenye mshangao mkubwa sana.
  • baada ya choi mika kukundua ya kwamba kaka yake Lee Do Ha hana muda mrefu atapoteza maisha alijikuta akiwa kwenye wakati mgumu sana na kujilaumu kwa nini amebarikiwa kuwa na uwezo wa kuona saa ya mwandamu yenye kuonyesha muda wa kuishi. choi mika alitamani awape taarifa familia ya lee do ha kutokana na ugonjwa wa mtoto wao ndipo mzee oh so nyeo akamshauri Don’t do anything; just stay beside him. Let everything flow as it will, and stay your place to help him through it. akimaanisha ya kwamba aendelee kuishi na kaka yake lee do ha huku akijifanya kama hafahamu ya kwamba jamaa amebakiwa na siku 20 tu kabla hajafariki.
  • baada ya mzee park kufariki mwanamama oh so nyeo alikuwa kwenye nyakati ngumu sana na ndipo alipomtaka choi mika kuhudhuria kwenye mazishi, wakati choi mika akiendelea kumliwaza mzee aliendelea kujifanya jasiri na kumwambia choi mika its okay, unadhani ni muda gani alibakisha mr park wa kuendelea kuishi, nilifikiri machozi yangu yameshakauka ila nashangaa bado naendelea kutokwa na machozi, kwa umri huu nilionao nimeshuhudia countless farewells. But I can’t seem to do anything about the heartache. nimempenda bure huyu ahjumma na hizi nukuu zake zenye kujenga, hivi ni mimi peke yangu ninayeangalia drama ya About time?
 
Dharau ni mbaya sana, ogopa hii tabia. Ni bora kama hupendi ukae kimya tu kuliko kuwadharau namna hii. Hii tabia ya kudharau ndio ilifanya......... Basi tu ngoja nikae kimya nisije andika visivyo takiwa.
Nilikuwa Shabiki Wa Hizi Movie Zetu Kabla Kuingia Kwa Wakorea, Unasema Naweka Dharau,(Siwezi Kataa Kwani Icho Ndo Ulichokielewa Kupitia Maandishi) Ila Kiukweli Tuongeee Ukweli Tasnia Yetu Unaona Iko Sawa? Unaona Wanafanya Sawa? Kwa Nini Unajikita Kuisubiri Mr.Sunshine Kwa Hamu Kubwa Yote Hiyo Tena kwa Kuona Bajeti Yake Wakati Ndani Yake Hujuhi Ipoje! Ni Huwa Unafanya Ivyi Na Kwa Movie Za Hapa Tanzania Pia.?

Au Tuu Nawe Unataka Andika Maigizo Yaliyo Ndani Ya Maigizo.
 
Umeelewa nilicho kiandika lakini ama umesoma tu bila kuelewa na uka reply bila ya kuelewa chochote kile. Pointi ni kwamba we wadharau lakini usionyeshe wazi. Sawa mm naisubiri kwa hamu kubwa mno hiyo Drama najua ni sababu zipi zimenifanya hivyo. Sasa hiyo isiwe ndio sababu eti na mm nadharau Bongo movies. OK tuseme basi naidharau ni wapi nimeonyesha wazi??? Anyway tuachane na hiyo ishu
 
kuhusu ubora wa drama wala usiwaze jaribu kuvuta picha drama ya goblin na descendent of the sun.
At the production press conference"
 
Hii kitu we acha tu naisubiri sana, pia nimeona new actor wengi kidogo. Jamaa umri umekwenda balaa
kuhusu ubora wa drama wala usiwaze jaribu kuvuta picha drama ya goblin na descendent of the sun.
At the production press conference"
 
Mbona nilokuuliza ujajibu!?? kusubiri kwako kwa sunshine nimekuleta baada yaa kuuliza Yale maswali uloshindwa kujibu.

Nakwanza mbona unekwazika Sana mi kuisema Tasnia Ambayo Mi pia Inanihusu Vipi Kwani!???
 
Dharau ni mbaya sana, ogopa hii tabia. Ni bora kama hupendi ukae kimya tu kuliko kuwadharau namna hii. Hii tabia ya kudharau ndio ilifanya......... Basi tu ngoja nikae kimya nisije andika visivyo takiwa.
naona umefika mahala pakooo
 
mr sunshine drama
lee byung hun
baada ya miaka 9 amerudi tena kwenye ulimwengu wa drama.
unaikumbuka IRIS 1?
tofauti yake kiumri na muigizaji mkuu wa kike ambae ni kim tae ri ni miaka 20.
heshima kwako sunbae
Kim Tae Hee
 

hivi ni mimi peke yangu ndiye ninayeangalia drama ya LIFE ON MARS inayoonyeshwa na kituo cha OCN?
huyu dada Go Ah-sung anazungumza taratibu sana basi hujisikia furaha ninaposikia sauti yake kuliko hata ninapoona tabasamu lake. Natumai atakuwa ndiye girlfriend wa han tae joo kwenye ulimwengu huu wa mwaka 1988.
hizi location walizotumia zinakufanya uamini ya kwamba matukio ya drama hii yametokea miaka 30 iliopita.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…