DAEMUSHIN
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,428
- 120,464
Kim Hae Sook
nimezoe mara nyingi kumuona akiigiza uhusika wa ukorofi ila ananifurahisha sana uhusika wake kwenye hii drama ya About time inayoonyeshwa na tvN na uhusika wake anatumia jina la Oh So Nyeo.
ni mtu wa karibu sana na mwanadada choi mika ambaye jina lake halisi ni lee sung kyung, nimejikuta nikivutiwa zaidi na nukuu zake hususan zinazohusu ushauri kwa mwanadada choi mikael.

- naomba uwe muangalifu sana choi mika, maisha ni mafupi sana , kwa kuwa bado ni kijana unajiona una muda mrefu sana wa kuishi si ndio? hutakiwi kuwa na mawazo hayo,mambo yote unayoyaona yapo kwenye himaya yako ambayo unayathamini sana yanaweza kukuponyoka muda wowote na kukuacha ukiwa kwenye mshangao mkubwa sana.
- baada ya choi mika kukundua ya kwamba kaka yake Lee Do Ha hana muda mrefu atapoteza maisha alijikuta akiwa kwenye wakati mgumu sana na kujilaumu kwa nini amebarikiwa kuwa na uwezo wa kuona saa ya mwandamu yenye kuonyesha muda wa kuishi. choi mika alitamani awape taarifa familia ya lee do ha kutokana na ugonjwa wa mtoto wao ndipo mzee oh so nyeo akamshauri Don’t do anything; just stay beside him. Let everything flow as it will, and stay your place to help him through it. akimaanisha ya kwamba aendelee kuishi na kaka yake lee do ha huku akijifanya kama hafahamu ya kwamba jamaa amebakiwa na siku 20 tu kabla hajafariki.
- baada ya mzee park kufariki mwanamama oh so nyeo alikuwa kwenye nyakati ngumu sana na ndipo alipomtaka choi mika kuhudhuria kwenye mazishi, wakati choi mika akiendelea kumliwaza mzee aliendelea kujifanya jasiri na kumwambia choi mika its okay, unadhani ni muda gani alibakisha mr park wa kuendelea kuishi, nilifikiri machozi yangu yameshakauka ila nashangaa bado naendelea kutokwa na machozi, kwa umri huu nilionao nimeshuhudia countless farewells. But I can’t seem to do anything about the heartache. nimempenda bure huyu ahjumma na hizi nukuu zake zenye kujenga, hivi ni mimi peke yangu ninayeangalia drama ya About time?