Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

nahisi unataka niizungumzie korea kihistoria yake kuanzia harakati zao za kudai uhuru dhidi ya wajapani mpaka kupata uhuru na kujikuta wakiingia vitani wenyewe kwa wenyewe, .bahati mbaya mimi si mfuatiliaji mkubwa wa matukio ya kihistoria hivyo basi sina uelewa mkubwa na siasa ya korea kwa hilo nakuomba radhi rafiki (mianhae chinguya).
Mkuu nimekuelewa sana naona sijakosea kuku-Follow upo vizuri sana.
Nakufananisha na member flani anajiita EMPTY yupp jukwaa la jf store..
I bet upo vizuri kwenye masomo ya Computer
 
Shukrani, Huyu kiumbe anatupa shida sana mashabiki wake kwasabu si mtu wa mitandao sana
Ila Wasanii Wengi Wa Korea Si Watu Wa Mitandao Kabisaa Hasa Waigizaji Bora Kidogo Waimbaji Tu Utakuta Wanaaccount Za Kijamii Ambazo Nao Kupost Kwao Ni Kwa Nadra Sana.
 
Ila Wasanii Wengi Wa Korea Si Watu Wa Mitandao Kabisaa Hasa Waigizaji Bora Kidogo Waimbaji Tu Utakuta Wanaaccount Za Kijamii Ambazo Nao Kupost Kwao Ni Kwa Nadra Sana.
Amesahau ya kwamba wakorea wengi hawatumii lugha ya kiingilishi kwenye shughuli zao.
hata kama utamfuatilia kwenye social media utapata madhila ya kutafuta google translate kila anapoweka taarifa kwenye account yake.
 
Mkuu nimekuelewa sana naona sijakosea kuku-Follow upo vizuri sana.
Nakufananisha na member flani anajiita EMPTY yupp jukwaa la jf store..
I bet upo vizuri kwenye masomo ya Computer
  • kwa kuwa mimi ni mshamba japokuwa sina migomba kichwani naomba unipe faida moja unayoipata unapoamua kumfuata mtu kwenye account yake.(follow).
  • dah umenifananisha na mzee wa busy schedular kama CPU, EMPTY atabaki kuwa ni empty na siwezi kumfikia kiuwezo alionao japokuwa ananilazimisha nimwite dongsaeng.
  • sina utaalamu wa masuala ya computer na uwezo wanngu mkubwa ni kutumia google.
  • aminas hivi ndio umeamua kunikutanisha na prosecutor kutoka mji wa seoul?
 
Hahahahha! Mtunuku Mtu Pale Ambapo Yu Hai,Usisubiri Keshatangulia Ndo Uanze Msifia Kwani Izo Sifa Hazitamfikia.

Na Hata Kwenye Mahusiano Na Watu Tuwapendao Tunashauriwa Kuwa Ni Watu Wakufurahia Zaidi Na Kujitahidi Kufanya Yale Ndani Ya Uwezo Wetu Kwa Wenza Wetu (Walonao), Hata Pale Ikitokea Mmetengana Aina Haja Yakujuta Na Kujilaumu Muda Wote Na Kutamani Kupewa Nafasi Nyengine.

Da'Vinci Ndo Anachokifanya Kwako Anakupa Tunu Unayostahili Na Unastahili Pia Na Wote Tunaona Kuwa Unastahili,Tunaokuelewa
 
  • kwa kuwa mimi ni mshamba japokuwa sina migomba kichwani naomba unipe faida moja unayoipata unapoamua kumfuata mtu kwenye account yake.(follow)
  • Mkuu kila mtu hua na sababu zake anapoamua kumfollow mtu, mimi hua nina vigezo vyangu viwili vikuu vinavyofanya nimfollow mtu.. 1. Kama ni mtu niliyemzoea sana hadi kufahamiana humu JF 2. Michango ya mtu. Jinsi anavyochangia mada, uwezo wa kujenga na kuelezea hoja, kusaidia watu wanapokua wanataka kufahamu kitu fulani. (Wewe upo kundi 2). Faida nayopata ni kua karibu na michango yake humu jamvini pia imfolo mtu nachukulia kama tuzo ya heshima niliyompatia
  1. dah umenifananisha na mzee wa busy schedular kama CPU, EMPTY atabaki kuwa ni empty na siwezi kumfikia kiuwezo alionao japokuwa ananilazimisha nimwite dongsaeng
  1. nimeona mnafanana jinsi mnavyowapatia watu links zq vitu mbalimbali
    [*]sina utaalamu wa masuala ya computer na uwezo wanngu mkubwa ni kutumia google.
    [*]aminas hivi ndio umeamua kunikutanisha na prosecutor kutoka mji wa seoul?
Vizuri sana mkuu nimefurahi unavyosaidia wenzako humu unapaswa kusifiwa kwa kazi nzuri mkuu Salute
 
Hahahahha! Mtunuku Mtu Pale Ambapo Yu Hai,Usisubiri Keshatangulia Ndo Uanze Msifia Kwani Izo Sifa Hazitamfikia.

Na Hata Kwenye Mahusiano Na Watu Tuwapendao Tunashauriwa Kuwa Ni Watu Wakufurahia Zaidi Na Kujitahidi Kufanya Yale Ndani Ya Uwezo Wetu Kwa Wenza Wetu (Walonao), Hata Pale Ikitokea Mmetengana Aina Haja Yakujuta Na Kujilaumu Muda Wote Na Kutamani Kupewa Nafasi Nyengine.

Da'Vinci Ndo Anachokifanya Kwako Anakupa Tunu Unayostahili Na Unastahili Pia Na Wote Tunaona Kuwa Unastahili,Tunaokuelewa
Kweli kabisa mpe mtu sifa zake pale anapostahili angali hai, nimemkubali huyu mkorea wa kibantu
 
Kim Ah Joong
huyu dada kuna watu waliopungukiwa heshima na maadili wamemzushia taarifa za kufariki dunia siku ya leo.
King Entertainment ambao ndiyo wanamsimamia kazi zake wamekanusha taarifa hizo na kuthibitisha ya kwamba mteja wao ni mzima wa afya na anaendelea kutimiza majukumu yake ya kila siku.
926de86e22d04135a00b65ea6cfd1760.jpeg

pia nikimnukuu mtumiaji mmoja wa fans thread yake kupitia mtandao wa soompi ni kwamba chombo kimoja cha habari kinachoitwa Sport seoul wamezungumza naye na kuwathibitishia ya kwamba ni mzima wa afya na kila siku anahudhuria shule maalum kwa ajili ya mafunzo ya upiganaji kwa ajili ya kujiandaa na project inayoitwa bad guy na amedhamiria kuchukua hatua za kisheria dhidi ya wale waliosambaza taarifa za uongo.

huku kwetu tungeliita ni kick ya kutafutia tension kwenye jamii kama yule aliyefunga ndoa juzi.
hivi ile ndoa ya jackline wolper imeshafungwa?
aigoooo nimesahau kutoa pole kwa wana bongo movies kwa kupata msiba mzito sana, ni wapi nitaipata thread yao nitoe rambirambi?
 
Kweli kabisa mpe mtu sifa zake pale anapostahili angali hai, nimemkubali huyu mkorea wa kibantu
하하하하 하하하하
ahsante sana brother kwa heshima ulionipa inanipasa nizipokee kwa moyo mkunjufu pasina kinyongo..
unajua binadamu hawezi kuwa mkalifu kwa kila jambo ndio maana pakawepo na chain kwa dhumuni kuu la kusaidiana ili kuyakabili maisha kwa urahisi zaidi.
msingi mkuu wa kuyafurahia maisha ni kupenda kila ambacho kinaleta mwangaza kwenye nafsi yako na kwangu mimi kwa miaka hii 5 ukiachana na football kitu pekee kinachonivutia ni kufuatilia korean wave entertainment.
na sababu kubwa hii ndio starehe pekee isiyoniletea athari kwenye kiwiliwili changu.
nitakapovutiwa na kitu chengine cha kuondoa stress zaidi ya korean drama basi nitaachana na series za Asia.

upande wa pili hata wewe upo vizuri baadhi ya maeneo ambayo mimi sina uelewa nayo mkubwa na inafika wakati najiuliza maswali kama wewe
je ninaweza kuwa mfuatiliaji mzuri wa masuala ya dunia, imani, historia kama Da'Vinci ?
unaweza ukawa na dhana ya kwamba nakudharau au kukukejeli lakini ndio ukweli, ninayoyaeleza yana ukweli kutoka ndani ya kiwiliwili changu kilichohai muda huu na kimaarifa.

japokuwa inavyoonekana tuna tofautiana kiimani lakini hainizuiii mimi kusoma maandiko yako yenye maudhui ya dini unayoiamini unayoyaweka kwenye jukwaa la intelijensia na kiukweli nimekuwa nikijifunza mambo mengi sana kupitia kwako.
pia kupitia andiko lako linalomuhusu leonardo davinchi nimejifunza mambo mengi sana yanayomuhusu genius wa kitaliano aliyeishi karne nyingi zilizopita lakini uwezo wake wa kufukiri ulikuwa ni kama mwanadamu wa karne hii ya ARTIFICIAL INTELLIGENCE
maisha yote anayechagua sehemu ya kujifunza hawezi kuwa msomi mahiri katika ulimwenguu huu wa sasa.
nami pia nikushukuru hyung nim /dong saeng / ahjussi / harabuji kwa uwepo wako hapa JF.
 
Hahahahha! Mtunuku Mtu Pale Ambapo Yu Hai,Usisubiri Keshatangulia Ndo Uanze Msifia Kwani Izo Sifa Hazitamfikia.

Na Hata Kwenye Mahusiano Na Watu Tuwapendao Tunashauriwa Kuwa Ni Watu Wakufurahia Zaidi Na Kujitahidi Kufanya Yale Ndani Ya Uwezo Wetu Kwa Wenza Wetu (Walonao), Hata Pale Ikitokea Mmetengana Aina Haja Yakujuta Na Kujilaumu Muda Wote Na Kutamani Kupewa Nafasi Nyengine.

Da'Vinci Ndo Anachokifanya Kwako Anakupa Tunu Unayostahili Na Unastahili Pia NaTunaona Kuwa Unastahili,Tunaokuelewa
dah ahsante sana beautiful lady
Saranghaeyo
flat,550x550,075,f.u4.jpg
 
BTS Predicted to Have a $1 Billion Impact on the South Korean Economy
ni kwa mujibu wa tathmini iliotolewa na waziri wa utamaduni michezo na utalii nchini korea kusini muheshimiwa Do Jong Hwan
https%3A%2F%2Fhypebeast.com%2Fwp-content%2Fblogs.dir%2F6%2Ffiles%2F2018%2F08%2Fbts-world-tour-love-yourself-2018-k-pop-001.jpg

ameendelea kusema ya kwamba wakati PSY(gangnam style) alipokuwa kwenye ubora wake economic impact effect wa nchi ya korea ulifikia thamani ya 1 trillion won ($896 million).

pia ameendelea kusema ya kwamba anategemea BTS watavuka kiwango cha 1 trillion won mwaka huu, ila amesikitishwa kwa kuona serikali imeshindwa kuonyesha kuguswa kwake na kitendo cha BTS kushika nafasi ya kwanza kwenye billboard. waziri huyo ameendelea kusisitiza ya kwamba serikali ni lazima iwajibike kwenye kulea na kuthamini vipaji vya wananchi wake.

bwana do jong hwan pia alikumbushia mafanikio ya muigizaji bae yong joon na choi ji woo kupitia drama inayoitwa winter sonata ambapo thamani ya uchumi ilifikia rekodi ya won trillion 3 mnamo mwaka 2003

daebak hii drama wajapani waliinunua kama njugu nchini kwao, kazialiyoifanya bae yong joon ilikuwa na thamani zaidi kuliko msafara wa kidiplomasia.

pyh2007123100140001300_p1.jpg
Huyu waziri amesahau ya kwamba rais aliandika barua ya kuwapongeza BTS kwa mafanikio yao walioyapata au alitaka waalikwe ikulu wakale wali kwa maharage.
kutumbuliwa loading..........
DeSS3JxV0AAPDf6.jpg
 
Na Ukweli Wanajitahidi Sana Hawa Vijana Na Sababu Ni Wakati Wao Pia, Nakumbuka Niliwaonaga Kwenye Kipindi Cha ELLEN THE SHOW'' Nikaona Sasa Hawa Watoto Wamefika Mbali, Kumbe Izi Band Zinawapa Nafasi Sana Vijana.
 
8251eecely1fu9271tbakj20u00w8wpn.jpg

Naanza Kuangalia Hii Drama, Japo Nimekuwa Na Tabia Yakutozimalizia Medical Drama Mpka Mwisho Nilofanikiwaga Kuimaliza ni Doctors Ya Kim Rae Won na Park Shin Hye. Natamni Na Hii Nifike Nayo Mbali kama Siyo Mwisho
 
photo993387.jpg

Damushin Hivyi Huyu Pembeni ya Wook Ni Mzimu Ama??
ㅋㅋㅋ ㅋㅋㅋ ㅋㅋㅋ 하하 하하 하하 하하
ni mdogo wake alipata ajali ya gari akiwa na baba yake ndio akawa mlemavu wa miguu.
lile tukio limempa athari kubwa sana wook kiasi ambacho baadhi ya wakati anajihisi anamuona kwenye maeneo ambayo kiuhalisia hayupo.
 
Back
Top Bottom