anakusalimia jang hyuk sunbaenim
nafikiri mi. goni mwa watu wanaochukia kuza Dwa kwenye noble family ni kim hename sung.
inaonekana amechukizwa sana na maisha wanayoishi familia yake hususani kuanzia babu yake ambaye alikuwa ni mkatili sana kwa watumishi wake.
ukiachana na hisia za kimapenzi anaonekana kama ni mtu ambaye hapendi kuweka wazi ndoto zake na hatimaye kujifanya kama ni mwanadamu asiye na malengo yoyote.
"I’m afraid of the blood running through my veins. If given the power it might be wielded inappropriately
kama ni wewe unafikiri ungeliishi maisha gani?
ikiwa dhambi ya babu yako ya kuwatesa watumwa unabebeshwa wewe na choi eugene.
ikiwa dhambi ya noble family kuishi kama wapo peponi unabebebeshwa wewe na dongmae.
acha tu aendelee kuishi hotelini ili ajiweke mbali na uchafu wa noble family.
je ni kweli hajali yanayoendelea ndani ya nchi yake?
hata teja aliyeathirika na madawa ya kulevya anajali yale yote yanayoendelea ndani ya nchi yake na ndio maana hata ukimuuliza mlevi rais wa tanzania ni nani?
atakujibu ni magufuli.
sijui huko mbele kitatokezea kitu gani ila ninamuona kim hee sung naye akivutwa na sumaku ya mwanadada Ae sin.
- pindi japan watakapoivamia joseon huenda akawa ni pro japan pamoja na familia yake, kivyovyote kwa akili za baba yake na mama yake zilivyo hawawezi kuiunga mkono joseon pindi wajapani watakapoikalia kimabavu.
- au huenda akawa mfanya biashara ambaye atakuwa anawaunga mkono anti japan.nyuma ya pazia. kwa kuwa amesoma japani basi wajapani watamuona ni mtumwa wao kumbe ni kinyume chake.
kwa jinsi hii drama inavyoendelea nahisi muigizaji mkuu ni mwanadada Ae shin.
eugene + dongmae + kim hee sung = lady go aesin
ila wanawake muna tabia moja ya ajabu sana, munakumbuka episode ya 3 walipokuwa kwenye boti eugene na ae sin walipokuwa wanatoka kwa mzee anayetengeneza vyombo.
ae sin akampa siri choi eugene ya kwamba yeye ndiye aliyemshambulia kiongozi wa marekani kwenye hoteli.
하하하 하하하하하 하하하하하 하하
mapenzi yenu yanavuka kiwango cha phd mpaka munatoa siri za ndani.
,mhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh