Yuko Tumikia Jeshi Kama Sheria Yao Inavyowaamrisha. Mpka Mwakani Nahisi Ndo Anarudi.Hivi lee min ho hana project yoyote ya miaka hii ya karibuni?, manake nilisikia ataachia mzigo 2k19 ni kweli au?
Shukrani, Huyu kiumbe anatupa shida sana mashabiki wake kwasabu si mtu wa mitandao sanaYuko Tumikia Jeshi Kama Sheria Yao Inavyowaamrisha. Mpka Mwakani Nahisi Ndo Anarudi.
Mkuu nimekuelewa sana naona sijakosea kuku-Follow upo vizuri sana.nahisi unataka niizungumzie korea kihistoria yake kuanzia harakati zao za kudai uhuru dhidi ya wajapani mpaka kupata uhuru na kujikuta wakiingia vitani wenyewe kwa wenyewe, .bahati mbaya mimi si mfuatiliaji mkubwa wa matukio ya kihistoria hivyo basi sina uelewa mkubwa na siasa ya korea kwa hilo nakuomba radhi rafiki (mianhae chinguya).
Ila Wasanii Wengi Wa Korea Si Watu Wa Mitandao Kabisaa Hasa Waigizaji Bora Kidogo Waimbaji Tu Utakuta Wanaaccount Za Kijamii Ambazo Nao Kupost Kwao Ni Kwa Nadra Sana.Shukrani, Huyu kiumbe anatupa shida sana mashabiki wake kwasabu si mtu wa mitandao sana
Amesahau ya kwamba wakorea wengi hawatumii lugha ya kiingilishi kwenye shughuli zao.Ila Wasanii Wengi Wa Korea Si Watu Wa Mitandao Kabisaa Hasa Waigizaji Bora Kidogo Waimbaji Tu Utakuta Wanaaccount Za Kijamii Ambazo Nao Kupost Kwao Ni Kwa Nadra Sana.
Mkuu nimekuelewa sana naona sijakosea kuku-Follow upo vizuri sana.
Nakufananisha na member flani anajiita EMPTY yupp jukwaa la jf store..
I bet upo vizuri kwenye masomo ya Computer
Hahahahha! Mtunuku Mtu Pale Ambapo Yu Hai,Usisubiri Keshatangulia Ndo Uanze Msifia Kwani Izo Sifa Hazitamfikia.
- kwa kuwa mimi ni mshamba japokuwa sina migomba kichwani naomba unipe faida moja unayoipata unapoamua kumfuata mtu kwenye account yake.(follow).
- dah umenifananisha na mzee wa busy schedular kama CPU, EMPTY atabaki kuwa ni empty na siwezi kumfikia kiuwezo alionao japokuwa ananilazimisha nimwite dongsaeng.
- sina utaalamu wa masuala ya computer na uwezo wanngu mkubwa ni kutumia google.
- aminas hivi ndio umeamua kunikutanisha na prosecutor kutoka mji wa seoul?
- kwa kuwa mimi ni mshamba japokuwa sina migomba kichwani naomba unipe faida moja unayoipata unapoamua kumfuata mtu kwenye account yake.(follow)
- dah umenifananisha na mzee wa busy schedular kama CPU, EMPTY atabaki kuwa ni empty na siwezi kumfikia kiuwezo alionao japokuwa ananilazimisha nimwite dongsaeng
[*]sina utaalamu wa masuala ya computer na uwezo wanngu mkubwa ni kutumia google.
[*]aminas hivi ndio umeamua kunikutanisha na prosecutor kutoka mji wa seoul?
Kweli kabisa mpe mtu sifa zake pale anapostahili angali hai, nimemkubali huyu mkorea wa kibantuHahahahha! Mtunuku Mtu Pale Ambapo Yu Hai,Usisubiri Keshatangulia Ndo Uanze Msifia Kwani Izo Sifa Hazitamfikia.
Na Hata Kwenye Mahusiano Na Watu Tuwapendao Tunashauriwa Kuwa Ni Watu Wakufurahia Zaidi Na Kujitahidi Kufanya Yale Ndani Ya Uwezo Wetu Kwa Wenza Wetu (Walonao), Hata Pale Ikitokea Mmetengana Aina Haja Yakujuta Na Kujilaumu Muda Wote Na Kutamani Kupewa Nafasi Nyengine.
Da'Vinci Ndo Anachokifanya Kwako Anakupa Tunu Unayostahili Na Unastahili Pia Na Wote Tunaona Kuwa Unastahili,Tunaokuelewa
하하하하 하하하하Kweli kabisa mpe mtu sifa zake pale anapostahili angali hai, nimemkubali huyu mkorea wa kibantu
dah ahsante sana beautiful ladyHahahahha! Mtunuku Mtu Pale Ambapo Yu Hai,Usisubiri Keshatangulia Ndo Uanze Msifia Kwani Izo Sifa Hazitamfikia.
Na Hata Kwenye Mahusiano Na Watu Tuwapendao Tunashauriwa Kuwa Ni Watu Wakufurahia Zaidi Na Kujitahidi Kufanya Yale Ndani Ya Uwezo Wetu Kwa Wenza Wetu (Walonao), Hata Pale Ikitokea Mmetengana Aina Haja Yakujuta Na Kujilaumu Muda Wote Na Kutamani Kupewa Nafasi Nyengine.
Da'Vinci Ndo Anachokifanya Kwako Anakupa Tunu Unayostahili Na Unastahili Pia NaTunaona Kuwa Unastahili,Tunaokuelewa
Dah!! Napokea Hii Muda Huu Tangu Asubuhi!dah ahsante sana beautiful lady
Saranghaeyo
Na Ukweli Wanajitahidi Sana Hawa Vijana Na Sababu Ni Wakati Wao Pia, Nakumbuka Niliwaonaga Kwenye Kipindi Cha ELLEN THE SHOW'' Nikaona Sasa Hawa Watoto Wamefika Mbali, Kumbe Izi Band Zinawapa Nafasi Sana Vijana.BTS Predicted to Have a $1 Billion Impact on the South Korean Economyni kwa mujibu wa tathmini iliotolewa na waziri wa utamaduni michezo na utalii nchini korea kusini muheshimiwa Do Jong Hwan
ameendelea kusema ya kwamba wakati PSY(gangnam style) alipokuwa kwenye ubora wake economic impact effect wa nchi ya korea ulifikia thamani ya 1 trillion won ($896 million).
pia ameendelea kusema ya kwamba anategemea BTS watavuka kiwango cha 1 trillion won mwaka huu, ila amesikitishwa kwa kuona serikali imeshindwa kuonyesha kuguswa kwake na kitendo cha BTS kushika nafasi ya kwanza kwenye billboard. waziri huyo ameendelea kusisitiza ya kwamba serikali ni lazima iwajibike kwenye kulea na kuthamini vipaji vya wananchi wake.
bwana do jong hwan pia alikumbushia mafanikio ya muigizaji bae yong joon na choi ji woo kupitia drama inayoitwa winter sonata ambapo thamani ya uchumi ilifikia rekodi ya won trillion 3 mnamo mwaka 2003
daebak hii drama wajapani waliinunua kama njugu nchini kwao, kazialiyoifanya bae yong joon ilikuwa na thamani zaidi kuliko msafara wa kidiplomasia.
Huyu waziri amesahau ya kwamba rais aliandika barua ya kuwapongeza BTS kwa mafanikio yao walioyapata au alitaka waalikwe ikulu wakale wali kwa maharage.
kutumbuliwa loading..........
ㅋㅋㅋ ㅋㅋㅋ ㅋㅋㅋ 하하 하하 하하 하하