Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Anhaa Kumbe Mi Nilifikili Unajisikia.
 
jumamosi ep 15
jumapili ep 16
Banah Bana Zile Atua Zetu Tulizokuwa Tunaziandika.Kinachofata Sasa Ni Kutambulishana kwa Babu Ae Sin Kampleka Choi Kwa Mzee Lol!! Nguvu Ya Kike.

Pale Unapovuka Bahari Kwenda Nyamagana Kutambulishwa 😉
 
Nilikuaga Sielewi Ule Msemo Wao Wa Silver Spoon Now Ndo Nimeelewa
 
Hii kutofautiana Mbona Kama Sikumbuki!
 
Banah Bana Zile Atua Zetu Tulizokuwa Tunaziandika.Kinachofata Sasa Ni Kutambulishana kwa Babu Ae Sin Kampleka Choi Kwa Mzee Lol!! Nguvu Ya Kike.

Pale Unapovuka Bahari Kwenda Nyamagana Kutambulishwa 😉
ni kweli unayoyazungumza kwa njia ya maandishi?
ngoja nizisubirie mpaka kesho au kesho kutwa nipate kuzidownload episode za mr sunshine, life, voice 2, your honor.
inshaallah.
 
Niliombaga ya Kizamnii Niiadd Kwenye Hizi Nazoangalia Naona Kimya
 
Hii Ya Kwako au Yakwangu!???
 
Hii kutofautiana Mbona Kama Sikumbuki!
hahahahaaaa hatukutofautiana kivita ila kimtazamo
ulimpenda sana grand prince hui kwa sababu hakupenda madaraka ila mimi nilimpenda sana dikteta jin yang mwenye tamaa za kuiongoza joseon.
 
Niliombaga ya Kizamnii Niiadd Kwenye Hizi Nazoangalia Naona Kimya
historical drama zipo nyingi sana hivyo basi ingelipendeza zaidi kama ungeliweka list ya drama ulizoziangalia halafu ingependeza zaidi kama ungeliniambia unapenda historical drama za aina gani.
 
Za Zamani.
 
Bado.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…