Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

ok,unajua baadhi ya wakati hufikia wakati najiuliza
hivi humu ndani ni watu wawili tu ndio wanaofuatilia korean drama kipindi hiki?
ukija humu ndani unakuta wachangiaji ni watu wawili na wengineo wanapita na kuondoka. Ndio maana nataka nijaribu je inawezekana kuendelea kufuatilia korean drama kama wengineo munavyofanya lakini nikawa siandiki chochote kwenye thread hii?
binafsi sifanyi hivyo nionekane najisikia mbele ya wenzangu
hapana hapana hapana.musije mukawa na dhana kama hizo.
Anhaa Kumbe Mi Nilifikili Unajisikia.
 
jumamosi ep 15
jumapili ep 16
Banah Bana Zile Atua Zetu Tulizokuwa Tunaziandika.Kinachofata Sasa Ni Kutambulishana kwa Babu Ae Sin Kampleka Choi Kwa Mzee Lol!! Nguvu Ya Kike.

Pale Unapovuka Bahari Kwenda Nyamagana Kutambulishwa 😉
 
nina wasi wasi jamaa huenda akajiingiza kwenye harakati za siasa siku za mbeleni, si unajua kuna msemo wanadai ya kwamba maji hufuata mkondo.
ila natamani aendelee kuwa na msimamo alionao muda huu wa kutokujihusisha na harakati za siasa.
unakumbuka siku tulio tofautiana kwa mara ya kwanza humu ndani kuhusiana na grand prince jin yang na grand price Hui?
nilikwambia unapozaliwa kwenye royal family basi ukae ukijua ya kwamba umezaliwa kwa ajili ya kuwaongoza watu upende usipende.
nikatoa mfano wa makongoro nyererere, ridhiwan kikwete, january makamba, karume family n.k.
KIM JWA JIN
Kim-Jwa-jin.jpg
Navy_20130813_Article_04.jpg
hii submarine 1,800-ton, 214 imepewa jina la kim jwa jin na uzinduzi wake ulihudhuriwa na rais yule aliyekuwa madarakani kabla hajaondolewa na kufungwa (president park), waziri wa ulinzi na viongozi wengine pamoja na mjukuu wake aliyevaa nguo yenye rangi kijani.
  • historia yake ya maisha ilianzia (December 16, 1889 – January 24, 1930)
  • ni mmoja kati ya watu muhimu sana sana kwenye historia ya kupigania uhuru nchini korea dhidi ya japan japokuwa aliuawa miaka 15 kabla ya korea hawajapata uhuru wao.
  • alipofikisha miaka 18 aliziacha huru familia 50 za kitumwa ambazo walikuwa wanamilikiwa na familia yao na pia kuzichoma moto document zote zenye kuonyesha umiliki wa watumwa hao na pia kila familiia aliamua kuipa ardhi kwa ajili ya kuanzia maisha yao kama watu huru. jaribu kuangalia hizi drama za kikorea unakuta familia moja inamiliki watumishi zaidi ya 15 kwenye nyumba sasa yeye kaziachia huru familia 50 na kawapa na ardhi, walikuwa ni matajiri sana wa roho na mali.
  • mwaka 1905 alihamia mji wa seoul kwa dhumuni la kuhudhuria shule zinazotoa mafunzo ya kijeshi, miaka miwili baadae alirudi maeneo ya HyangrI na kuanzisha shule inayoitwa Namyeon School na aliamua kutoa makaazi ya nyumba 90 kwa ajili ya shughuli za kielimu
  • pia alianzisha taasisi nyengine nyingi za kielimu, kijeshi na kizalendo kwa ajili ya kuwapa motisha vijana wapiganie haki zao za msingi dhidi ya wakoloni wa kijapani.
  • licha ya kuwa alitokea familia zenye utajiri mkubwa lakini hakuchoka kuipigania korea kifedha na kimwili na aliongoza vita iliowapa ushindi mkubwa sana korea dhidi ya wajapani(cheongsari) na kuchochea hamasa ya kuwa korea tuna uwezo wa kupambana na japan akiwa na righteous army.
  • baadae aliluliwa na jamaa msaliti anayeitwa Park Sang-sil, kabla ya kifo chake ilipoanzishwa taasisi ya Korean General Association aliteuliwa kuwa raisi.
  • familia yake mpaka kipindi hiki wanaongoza matembezi ya cheongsari ambapo wanafunzi hutembelea maeneo ya kihistoria yanayomuhusu shujaa huyu kim jwa jin.
  • pande zote mbili za korea zimeendelea kumpa heshima kim jwa jin na kila ifikapo mwezi october kuna sherehe maalum za kumuenzi kim jwa jin.
  • wakati wa uhai wake alimzaa kim du han
  • historia yake ni ndefu sana
kim du han
quote-do-you-know-what-is-really-embarrassing-and-makes-your-pride-hurt-lacking-some-skill-kim-du-han-58-40-15.jpg

  • maisha yake yalianzia (1918–1972)
  • ina maana alifariki wakati ambao mjukuu wake ambaye ni song il kook amesha zaliwa
  • tofauti na baba yake yeye alikuwa ni kiongozi wa kikundi cha wahuni wa mtaani ambao walikuwa wakipambana na wajapani na inasemekana jamaa alikuwa ni mbabe mnoo kipindi hicho hakuna ambaye alikuwa anamuweza kwa ngumi.
  • baadae alijiunga na chama cha bwana syngam rhee ambaye ndiye raisi wa korea kusini wa kwanza na kuchaguliwa kuwa kiongozi vipindi viwili tofauti bungeni.
  • zipo movie na drama zinazomzungumzia maisha yake mbabe huyu
  • wakati wa uhai wake alimzaa mwanamama kim eul dong.
kim eul dong.

  • amezaliwa September 5, 1945 na ana watoto wawili ambao ni song il kook na mwanamama song song yi.
  • mwanzo alikuwa ni muigizaji mashuhuri nchini korea na ndipo baadae akafuata nyayo za babu, baba na kujiingiza kwenye harakati za siasa.
  • hivyo basi yeye na baba yake wameweka rekodi ya kuwa familia ya kwanza mtu na mwanawe kuchaguliwa kwenye National Assembly
00585695_2.jpg
2013020800896_0.jpg

sasa tukija kwa mwanawe ambaye ni song il kook naye huko mbeleni unadhani haitowezekana kujiingiza kwenye siasa?
  • mkewe ni msomi wa sheria
  • watoto wao ndio gumzo korea nzima na nje ya korea wanafahamika
  • mwaka 2016 kuna baadhi ya vyombo vya habari vilivumisha ya kwamba jamaa anataka kuingia kwenye siasa lakini akakanusha.
  • japokuwa wakorea ni wa siri sana kwenye maisha yao ya kifedha ila kwangu mimi sishangai kumuona jamaa anakaa miaka 4 bila ya kuigiza, anaweza kutumia fedha zinazotengenezwa na watoto wake kwenye mikataba ya biashara. hahahahahahaaaaaaa
hivi unadhani kuna kampuni isiyotaka kuingia mkataba na song triplets?
kuna watu wamezaliwa wakiwa na vijiko vya dhahabu mdomoni na wengine wamezaliwa wakiwa na vijiko vya shaba mdomoni.
8-15_triplets_2.jpg

daehan-minguk-mansae_20170128_180759.jpg
Nilikuaga Sielewi Ule Msemo Wao Wa Silver Spoon Now Ndo Nimeelewa
 
Hii kutofautiana Mbona Kama Sikumbuki!
 
Banah Bana Zile Atua Zetu Tulizokuwa Tunaziandika.Kinachofata Sasa Ni Kutambulishana kwa Babu Ae Sin Kampleka Choi Kwa Mzee Lol!! Nguvu Ya Kike.

Pale Unapovuka Bahari Kwenda Nyamagana Kutambulishwa 😉
ni kweli unayoyazungumza kwa njia ya maandishi?
ngoja nizisubirie mpaka kesho au kesho kutwa nipate kuzidownload episode za mr sunshine, life, voice 2, your honor.
inshaallah.
wallpaper-love-u-so-much-in-great-demand-i-love-you-korean-pinterest-of-wallpaper-love-u-so-much.jpg
 
Niliombaga ya Kizamnii Niiadd Kwenye Hizi Nazoangalia Naona Kimya
 
Hii Ya Kwako au Yakwangu!???
 
Hii kutofautiana Mbona Kama Sikumbuki!
hahahahaaaa hatukutofautiana kivita ila kimtazamo
ulimpenda sana grand prince hui kwa sababu hakupenda madaraka ila mimi nilimpenda sana dikteta jin yang mwenye tamaa za kuiongoza joseon.
grand-prince-poster-drama.jpg
 
Niliombaga ya Kizamnii Niiadd Kwenye Hizi Nazoangalia Naona Kimya
historical drama zipo nyingi sana hivyo basi ingelipendeza zaidi kama ungeliweka list ya drama ulizoziangalia halafu ingependeza zaidi kama ungeliniambia unapenda historical drama za aina gani.
 
Za Zamani.
 
jung yi Goddess of Fire
hii umeshaangalia aminas
mwanamke wa mwanzo kwenye historia ya joseon kufanya kazi za ufinyazi (kutengeneza vyombo vya kigae (porcelain)
anaitwa Yoo Jung kwenye karne ya 16.
sisi mpaka leo vyombo vya hivi tunaagiza nchi za nje
starring
moon geun young
kim bum
lee sang yeon
Jung-Yi%2C_The_Goddess_of_Fire-p1.jpg

Boone_group%2006.jpg
Bado.
 
Back
Top Bottom