Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Wapo vizuri sana na drama zao kuna kitu nakiangalia hapa kinaitwa powerfull opponent kipo poa sana
 
mimi hua naenda nao sawa.... kuna website ipo very updated kwa drama hizi za hivi karibuni!!

myasiantv.se

ukigoogle kwa kutumia "google chrome" inakuja site moja matata sana!! apo utakuta drama zote ambazo zinazoendelea asa hivi!!
 
Sema muhyool nae hafai, lakini kwa jamaa kachemka!
Ila badae muhyool angemuweza kama unakumbuka lile pambano la polin karpei had alishtuka huyu jamaa ni vp pale walivyokuta wakagongesheana mapanga sema iliisha vbaya nilitaka mwshon wapambane tuuone uwezo wake maana alipambna kidogo sana akafa...
 
Ila badae muhyool angemuweza kama unakumbuka lile pambano la polin karpei had alishtuka huyu jamaa ni vp pale walivyokuta wakagongesheana mapanga sema iliisha vbaya nilitaka mwshon wapambane tuuone uwezo wake maana alipambna kidogo sana akafa...
Yap! Lile pambano lingemaliziwa tungejua nani mkali, hiyo nafananisha na general Gweyu vs Dojin ktk land of wind!
 

Hiyo four gods ni nzuri ila haisisimui sana coz ya uchawi mwingi! Hata kwa watu kama mimi mpenda martial arts, action za humo wamechemka sana!
 
Umejitahidi Lakini Pia Umeniwahi Koz Nilikua Nina Compose List Kama Hii Na Maelezo Zaidi Kwa Wapenda History.
Ila Nilitaka Kukuongezea Hapo Katika Taifa La Goryeo/Koryo Kuna SOLDIER/GOD OF WAR;Kim Jun Aliyekuwa Slave Mpaka Kuwa Overlord Au Mangniji Kama Alivyokuwa YeonGae Somun Goguryeo.
Ni Nzuri Ingawa Anakuja Kufa Mwishoni
Kama Gyebaek Ninachopenda Ni Loyalty Yao Kwa Nchi Zao.
 
a
ahsante mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…