Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kizuri kisifie!
Hebu tuambizane kwa wale walioichek great queen seondoek hivi ni nani aliyefunika ki uchezaji? Kwangu mimi ni Field Marshall Munno, na Yushin, je wewe?
 
Kizuri kisifie!
Hebu tuambizane kwa wale walioichek great queen seondoek hivi ni nani aliyefunika ki uchezaji? Kwangu mimi ni Field Marshall Munno, na Yushin, je wewe?

Hadithi na mikasa yote inamzunguka huyo binti kwa jinsi alivyo navipaji ukiachia cha kushiriki kama mwanaume muda mrefu wa maisha yake. 'scene' za mapigano kwa hakika Yushin yuko juu.
 
Hapa mimi naona Bidam ndio mwenye mapigo ya hatari angalia hata kifo chake alivyopambana yushini alikaa ikabidi mishale itumike.
 
Hapa mimi naona Bidam ndio mwenye mapigo ya hatari angalia hata kifo chake alivyopambana yushini alikaa ikabidi mishale itumike.

Ina maana kwa upande wako wewe ukiambiwa upambanishe bidam na jilsuk unadhani bidam angeshinda?
 
Ingetegemea maana mbabe wa jilsuk ndio alikua Master wa bidam

Kumbuka mpambano wa jilsuk na munno ulikuwa mkali sana, mwanzoni jilsuk alikuwa hawezi kitu kwa munno, ila aliporudi capital tena alikuwa na kiwango cha hali ya juu!!
 
FAHAMU:zipo tamthilia nyengine zinazoelezea historia ya nchi ya Joseon ambazo sijaziweka kwenye listi, mfano the night watchman,the moon that embrace the sun ambayo inasemekana stori yake ni fiction (ya kutunga),scholar who walk in the night, the jackpot, the great merchant, the three musketers, iljimae, return of iljimae, the duo, jung yi(goddess of fire) rooftop prince, the immortal admiral Yi soo shin, hong gil dong ,gu family book, arang and the magistrate, n.k
mwana umenikosha sana mimi mpenzi sana wa tamthiria zinazohusu JOSEON baadhi nimeona hapo nyingne nitazitafuta

je ile bridal mask ni history ya kweri au ni ya kutunga tu naipenda sana ile tamthiria ingawaje DONG YI ndo naikubari sana
 
Taifa la Joseon ndilo lenye "drama" nyingi. Limeanzishwa baada ya kuanguka Goryeo.

Kama wanaJF wapenzi wa hizi "historical drama", historia ya Korea ni "drama" ya Jumong aliyeanzisha Taifa la Goguryeo. Liangushwa na Tang (Taifa la China) kwa kushiriana na Taifa la Silla - angalieni "Dae Jo Yeong" mwanzilishi wa Taifa la Balhae.

"Drama" za Goguryeo ni Jumong, The Kingdom of the Wind (Mfalme Yuri, mtoto wa Jumong), Princess Ja Myung Go (Mfalme Daemusin - Muyul, mtoto wa Yuri), The Legend, The Sword and Flower, na Yeon Gae Somun.
 
Asante mkuu kwa hii historia nzuri.
 
Post hii nimeiweka kwa ajili ya wale wote wanaovutiwa na Korean historical drama,watu wengi sana wanafikiri kuwa hizi historical drama ni za kutunga na si stori za kweli.Pia watu wengi wanapata tabu sana kujua na kutofautisha tamthilia zinazozungumzia taifa moja na jengine,kwa mfano mtu anashindwa kutofautisha nchi kama goguryeo na Joseon matokeo yake mtu anaweza kusema Jumong ndie muanzilishi wa Joseon dynasty.kama wewe ni mgeni wa historical drama basi nakushauri kwanza anza kuangalia tamthilia zinazozungumzia taifa la Goguryeo kuanzia kuanzishwa kwake mpaka kuanguka kwake.Kwa ufupi goguryeo ni taifa lililotawaliwa na wafalme 28

TAMTHILIA ZINAZOZUNGUMZIA TAIFA LA GOGURYEO NA WAFALME WAKE

1) King Chumo (37-19 BCE) : JUMONG DRAMA
View attachment 344227

2) King Yuri 19 BCE-18 CE (MTOTO WA JUMONG): KINGDOM OF THE WIND DRAMA

View attachment 344228
3) King Muhyool Daemusin 18-44 (MTOTO WA YURI): PRINCESS JAMYUN GO NA KINGDOM OF THE WIND.
View attachment 344229

4) King Gogug-won 331-371(SAYU) Alikuwa mfalme wa 16 : KING GEUNCHOGO DRAMA
View attachment 344230

5) - King Gwanggaeto 391-413 Alikuwa mfalme wa 19:THE GREAT KING GWANGGAETO DRAMA NA LEGENDS(The Story of the First King's Four Gods DRAMA)

maxresdefault.jpg

damdeok8.jpg

6) King Yeong-nyu 618-642 Alikuwa mfalme wa 27 ambaye aliuliwa na General Yeon Gaesomun: SWORD AND FLOWER DRAMA NA YEON GAESOMUN DRAMA
View attachment 344231View attachment 344232

7) King Bojang 642-668 Alikuwa mfalme wa mwisho ambaye utawala wake uliangushwa na TANG NA SILLA: YEON GAESOMUN DRAMA NA DAE JOYOUNG DRAMA.

View attachment 344233
50183184432114168_086b008c_c2x.jpg

TAMTHILIA ZINAZOZUNGUMZIA TAIFA LA BAEKJE

Taifa hili lilianzishwa na mfalme ONJO ambaye alikuwa mtoto wa pili wa SOSEONO na mtoto wa tatu wa JUMONG.

1) Biryu 304–344
- Gye 344–346
- Geunchogo 346–375

Wote maisha yao yameelezwa kwenye : KING GEUNCHOGO DRAMA

2) Muryeong 501–523 Alikuwa mfalme wa 25: KING DAUGHTER DRAMA
View attachment 344234

3) Seong 523–554
- Wideok 554–598
- Hye 598–599
- Beop 599–600
- Mu 600–641

20140524_220441.jpg

Wote maisha yao yamezungumziwa kwenye drama ya :BALLAD OF SEO DONG

KING UIJA 641–660 : GYE BAEK DRAMA
c592dc83f2bd434d6ccd44b40c0c03bc1323198851_full.jpg

TAMTHILIA ZINAZOZUNGUMZIA TAIFA LA SILLA (SHILLA)

BALLAD OF SEO DONG

EMPEROR OF THE SEA NA THE KINGS DREAM
View attachment 344237View attachment 344238

TAIFA LA BALHAE

DAE JO YOUNG DRAMA

TAIFA LA GORYEO

Taejo 918–943

Emperor Wang Gun (Drama)
27342310.jpg

Jeongjong 945–949
- Gwangjong 949–975

Shine or Go Crazy (Drama)
View attachment 344239

Mokjong 997–1009: EMPRESS CHUNCHU DRAMA

View attachment 344240
Gojong 1213–1259: AGE OF WARRIORS DRAMA

Gongmin 1351–1374: Faith (Drama)
View attachment 344241

Jeong Do Jeon (Drama)

Jung-Do-Jun-1.jpg

Shin Don (Drama)
View attachment 344242

The Great Seer (Drama

View attachment 344243
U 1374–1388: Ndiye mfalme wa mwisho wa GORYEO

Six Flying Dragons (Drama)

View attachment 344244
BAADA YA KUANGUKA GORYEO LILIANZISHWA TAIFA LA JOSEON
Asante sana kwa kutujuza mkuu uko vizuri. Sijasoma uzi toka mwanza, ila kwa uelewa wangu Sosuno na Jumong hawakupata mtoto, Onjo ni mtoto wa Wutae si wa Jumong. Kama sijakosea
 
Asante sana kwa kutujuza mkuu uko vizuri. Sijasoma uzi toka mwanza, ila kwa uelewa wangu Sosuno na Jumong hawakupata mtoto, Onjo ni mtoto wa Wutae si wa Jumong. Kama sijakosea
ahsante mkuu ila mtoto wa mkeo ni wako pia japo kuwa hukumzaa
Taifa la Joseon ndilo lenye "drama" nyingi. Limeanzishwa baada ya kuanguka Goryeo.

Kama wanaJF wapenzi wa hizi "historical drama", historia ya Korea ni "drama" ya Jumong aliyeanzisha Taifa la Goguryeo. Liangushwa na Tang (Taifa la China) kwa kushiriana na Taifa la Silla - angalieni "Dae Jo Yeong" mwanzilishi wa Taifa la Balhae.

"Drama" za Goguryeo ni Jumong, The Kingdom of the Wind (Mfalme Yuri, mtoto wa Jumong), Princess Ja Myung Go (Mfalme Daemusin - Muyul, mtoto wa Yuri), The Legend, The Sword and Flower, na Yeon Gae Somun.
umesahau na the great king gwaggaeto na hata king geunchogo
 
ahsante mkuu ila mtoto wa mkeo ni wako pia japo kuwa hukumzaa

umesahau na the great king gwaggaeto na hata king geunchogo

Ni kweli kwa Gwaggaeto lakini Geuchogo ni Baekje enzi za utawala wa Gegyuro na vita yao ilikuwa kubwana wakati huo Baekje ilikuwa imara. Tatizo ndani ya falme hizi kulikuwa na kugombea ufalme
 
Bora : CHUNO THE slave hunters
aina : vijijini
kinanivutia ACTION
.msanii bora
dae-gil (chuno,iris ,shine &go crazy)
iljimae (iljimae,joseon gunman ,scholar who wall @nyt, arang)

yeo un (warrior dong soo, great queen ,arang & magnistrate)

jumong .

sky lord ( warrior dong soo, flower & petal)

crazy horse ( strongest chil wool & sunghyunkwan scandal)

BIdam (great queen seon deok)

drama ya kwanza ni JUMONG

naitafuta sunghyun kwan scandal
 
Gu family book ni nzuri,nimependa uhusiano wao kati ya bwana mdogo kang chil (lee seung gi) na mdada bae suzy.wakati wanaigiza hii drama 2011 kama sijakosea bae suzy alikuwa na miaka 18.bae suzy ndie mchumba wa handsome actors wa korea Lee min ho ambae pia ni mwimbaji kama alivyo demu wake amecheza drama kama faith,city hunter,boys over flower,personal taste na the heirs.kinachonivutia kwa lee seun gi ni uwezo wake wa kuigiza na pia sauti yake katika kuimba,katika kimeo changu nimejaza nyimbo zake pamoja na lyrics.ila jamaa tutamkosa kwa miaka miwili kwa sababu anatakiwa kutumikia jeshi. Nakushauri bidada prishaz ukimaliza gu family book itafute tamthilia yake nyengine king to heart,my girlfriend is gumiho na you are all surrounded. Endelea kuenjoy hiyo drama kwa sababu stori ni nzuri. Na nyimbo pia ni kali ktk gu family.taeyon,bae suzy na lee seung gi wameng'arisha katika ost za hiyo drama
bae suzy c kaigiza warrior dong soo kama jin ju
man called God ,IRIS
 
Am Korea series fan ila suala la kukariri majina hata ya series zenyewe ni kazi kweli. Sasa mnapokua mnakariri hadi majina yao na hadi their real names naona mko juu zaidi yangu.
Imagine hata jumong tu sijui jina lake halisi[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom