Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi iris 2 na Athena ni tofauti?Jamani mwenye direct link ya IRIS 2 naomba.
Sina hakika...Hivi iris 2 na Athena ni tofauti?
za mjini sizipendagi kabsa
Napenda mapangaKama mimi aisee!
four GodsJamani nani anaweza kunipa majina ya series za kikorea ambazo zina..... romance. ...action...... Fantasy (uchawi uchawi) kama gu family book.... Kali kali........ Za kijijini.......
athena ni muendelezo wa IRISHivi iris 2 na Athena ni tofauti?
Hizi storica drama za Korea ni za kweli kabisa, zimeigizwa kutokana na kitabu cha matukio kinachoitwa A BOOK OF THREE HAN. Kwa hiyo kila anaigiza anachagua kipande fulani na kuigiza.
Taifa la Joseon ndilo lenye "drama" nyingi. Limeanzishwa baada ya kuanguka Goryeo.
Kama wanaJF wapenzi wa hizi "historical drama", historia ya Korea ni "drama" ya Jumong aliyeanzisha Taifa la Goguryeo. Liangushwa na Tang (Taifa la China) kwa kushiriana na Taifa la Silla - angalieni "Dae Jo Yeong" mwanzilishi wa Taifa la Balhae.
"Drama" za Goguryeo ni Jumong, The Kingdom of the Wind (Mfalme Yuri, mtoto wa Jumong), Princess Ja Myung Go (Mfalme Daemusin - Muyul, mtoto wa Yuri), The Legend, The Sword and Flower, na Yeon Gae Somun.
mkuu naomb link nzur ya kusoma historia ya korea mkuuMkuu kwa sie wananchi wazalendo wa taifa la GOGURYEO kutomuweka THE GREAT KING GWANGAETO umetufanyia uhaini mkubwa sana kiukweli.
Chonde Chonde bwana.
Ni wafalme wawili tu katika historia ya Korea waliopewa Posthumous tiltle ya Great King,
1. The Great King Gwangaeto.
2. The Great King Sejong.
"Today, King Gwanggaeto the Great is one of two rulers of Korea who were given the title 'Great' after their name (the other one being King Sejong the Great of Joseon, who created the Hangul)."
Usifanye hivyo mkuu bwana, mtu alipiga Mongolia,Japan, China,hadi Urusi alifika na akaiweka chini yake bwana huyu ni great, Tang na Silla kuungana kumpiga kwasababu mmoja mmoja hamna aliyeweza.
Shikamoo Gwangaeto!
mkuu naomb link nzur ya kusoma historia ya korea mkuu
Mh asante mkuu kwa Correction inawezekana nilielewa vibaya maelezo haya; "a book of three han, a chapter of jumongo au a chapter of hae mosu" . Pamoja sanaCORRECTION MKUU;
mimi ni mpenda historia na historia ya Korea ipo mkononi, pia hizi korean historical drama ama kwa jina lingine SAGEUKS sijawahi kuona wala kusikia kitabu kinachoitwa BOOK OF THREE HANS. Hilo ni jina lingine tu la Tamthilia ya JUMONG, ama prince of the legend.
Ni kweli ulivyosema kuwa hizi Sageuks zinatengenezwa kwa kutumia real historical events na real historical figures lakini vitabu ambavyo vinahusika sana ni hivi vifuatavyo.
1. SAMGUK YUSA
2. SAMGUK SAGI.
3. GORYEOSA.
4. OLD BOOK OF TANG.
5. NEW BOOK OF TANG.
Nimesoma Samguk Yusa na events zote from Jumong to Kim Yushin to Uija to Bidam zipo humo,folks, myths na kila kitu.
Hivyo vingine sijavipata na nina mpango wa kununua online.
Call Me KIM MO JO SAN
Mia MiaMh asante mkuu kwa Correction inawezekana nilielewa vibaya maelezo haya; "a book of three han, a chapter of jumongo au a chapter of hae mosu" . Pamoja sana
Fantasy;Jamani nani anaweza kunipa majina ya series za kikorea ambazo zina..... romance. ...action...... Fantasy (uchawi uchawi) kama gu family book.... Kali kali........ Za kijijini.......