Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Hapana
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Majibu Mazuri.

Ila Nimekupa Pole!
 
Yaani Nacheka Apa Na Jang Hyuk Hatari, Umu kicheko Chake Kama Kimekuwa Kingi Sana, Lol!!!
 
Episode ya Wiki Hii Sijaangalia Nipo Bizee Na Hyuk.

Nikimaliza Nitarudi Life.
 
ila unapoona vita ni ngumu kiupande wako si vibaya kukimbia
hahahahahahahaaaaa
chezea kifo
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Dah!! Kwaiyo Unahisi Vita Ni Ngumu Upande Wangu!
 
nilikuona kwenye thread ya manchester na povu lako
😑😑😑
Hahahahaha!! Sijajua Ata kwanini Nilikuwa Mule, Wakati Mi Huwa Napitga Kwa kusoma Tuuh.
Ila Subira Iliishinda Nafsi Nikjikuta Povu la Toss,

Nilikubaliana Na Mtu kuwa Tutashinda Ila Nafsini Nikiona Kabisa Kushinda Hapa Hakuna, Nikabaki Najaa tuuh
 
humu ndani kavuka mipaka
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Siezi Cheka Kimya Kimya lol!
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Siezi Cheka Kimya Kimya lol!
ni balaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…