mkuu mimi naomba msaada hasa nikipewa torrents link ya kuweza ku-download korean drama kama utakua nayo ntashukuru sana maana napata taabu sana kuangalia online tena youtube..niliwahi kupewa link ila ikawa ni ya kuangalia tu na siyo kupakua ...msada mkuu
ndio mwisho wa kutembelea hii thread kwa kipindi hiki ila si mwisho wa kutembelea JF.
ndiyo maana family drama zinanishinda njiani kwa sababu ni ndefu na hadithi zake zinaanza taratibu kama tamthilia za ITV.Best family drama baadhi
Rich family's son
My golden life
Sister is alive
Marry me now
Zote zina episode moja hadi 50