The constitution states in Article 39, "All citizens shall have the duty of national defense under the conditions as prescribed by Act."
iyo sheria haijaweka kwa ajili ya celebrities peke yao ila ni kwa wanaume wote. Celebrities na wanamichezo wanapaswa kutumikia shughuli za kijeshi kabla hawajatimiza miaka 30 ila wengineo mpaka miaka 35 ndio mwisho.
Na si kwamba wote wanakwenda special force pia vipo vikosi vyengine kama polisi, marine cops, navy wengine wanachaguliwa kwenda huko.
kama una matatizo ya kiafya unaweza kufanya kazi za kijamii kwa mfano
lee min ho.
Na kibaya zaidi hujui ni siku gani utatakiwa kutumikia shughuli hizo mpaka pale utakapotumiwa barua kutoka idara kuu ya ulinzi.
unaweza ukalala na asubuhi yake ukakuta amri imeshatoka mwezi ujao uwende jeshini.
na uzuri wa sheria yao haiangalii heshima ulionayo kwenye jamii.
If athletes can dodge military service in South Korea, why canβt pop stars?
miongoni mwa mjadala unaoendelea kwa kasi sana kwenye media ni kuhusiana na sheria hii kuwapa faida wanamichezo pindi pale wanapoiletea heshima taifa wanapewa nafasi ya kutokutumikia jeshini na mfano mdogo tumeona juzi baada ya korea kuchukua medali za ASIAN GAMES wachezaji wamepewa heshima hiyo akiwemo
son wa tottenham ambaye kama korea wasingelibeba ubingwa basi alitakiwa aende jeshini kwa miezi 21.
According to a law (link in Korean) enacted in 1973, men who have βraised the national image on a global stage and enriched the culture and sports sectorsβ are allowed to avoid military conscription.
baadhi ya wachangiaji wanahoji kwa nini nafasi hiyo wapewe wanamichezo tu na si wengineo?
kwa nini waimbaji wa kpop na wao wasipewe nafasi hii wakitolea mfano mafanikio ya BTS kwenye muziki ni makubwa sana kwenye dunia hii.
There are even online petitions (link in Korean) submitted to the presidential Blue House calling for K-pop group BTSβwhose album recently topped the US Billboard chartβto be exempt.
- South Korean government to review military exemption policies after Son Heung-Minβs Asian Games gold
- If athletes can dodge military service in South Korea, why canβt pop stars?
- BTS Returns to No. 1 on Billboard Artist 100 Chart
- Should K-pop go bang? South Korean stars BTS caught in conscription debate