Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Mi Siyo Ahjumaa Mbona Unanilizimishaaa!

Duuh Kwaiyo Kesho Niangalie Nini??

Maana Sa Ivi Sina Drama Etii Kutoka Nne Kwa Wakti Mmoja Mpaka Moja Kwa Wiki.

Nipe Drama Basi Harabeoji
 
Kuna Clip Moja Nimeiona Kama Wankufa Wote Mwishoni Etii??
 
Afu kama kuna aliwahi kuiangalia IRIS ONE NA TWO, kama sikuielewa vizur!
Sehemu ya iris one sehem ya 20 inaonekana Kim yanjan anapigwa risasi wakati anaenda kumvisha Pete mchumba wake, lkn wakati huo bakisan akiwa amefungwa gerezeni

Maswali yangu binafsi, je, Kim yanjan alikufa? Kim sohwa aliishia wapi?

Lakini iris two sehemu ya 20 inaishia pale yule jamaa anaamua kuondoka Na ndege yenye Bomu Na ghafla mlipuko mkubwa unatokea na ndge inaangukia baharini,

Hata hivyo IRIS , ATHENA, SPY zinaendelea kuwa movie zangu tatu zisizoweza kufutika katika akili yangu
 
Kuna Clip Moja Nimeiona Kama Wankufa Wote Mwishoni Etii??
ni kweli unayoyaandika?
ila kwenye ule mripuko wa glory hotel mwanadada kudo hina kuna uwezekano akafariki au unaonaje?
Gun, Glory, Sad Ending
 
  1. majibu yako yote yanapatikana kwenye IRIS 1 na IRIS 2 ambazo wewe mwenyewe umetamka hadharani kupitia comment yako yakuwa umeziangalia.
  2. ndio kim hyun jun (lee byung hun) alifariki dunia baada ya kushambuliwa kwa risasi na member wa IRIS anayeitwa Ray (david mclnnis). Huyu (david mclnnis) ndiye aliyeigiza uhusika wa kyle kwenye drama ya Mr Sunshine.
  3. kwenye athena goddess of war mwanadada Kim Seon Hwa uhusika wake nakumbuka alionyeshwa yupo nchi ya switzerland akiwa na familia yake, siku aliotembelewa na rafiki yake ambaye ni Kim Ki-Soo alishambuliwa na askari wa korea kaskazini na kumpoteza mume wake na mtoto wake sijui kama na yeye alikufa? nimeshasahau kiukweli.
  4. kwenye IRIS 2 alikuwemo mdogo wake wa kike ambaye aliitwa Kim Yeon-Hwa na alikuwa ni mwanachama wa IRIS.baadae nakumbuka kim seon hwa alionyeshwa akikutana na mdogo wake ambae na ndipo wakashambuliwa na agents wa korea kaskazini na kukimbia.
  5. pia kuna nadharia inasema ya kwamba lee byung hun alikataa ofa ya kushiriki kwenye season 2 ndio maana uhusika wake ukalazimika kufutwa.


 
Swadata, unakumbuka kwenye iris 2 Kim ki-Seon alimshambulia kwa risasi captain wake! Afu mwishowe wote wanakuja kuonekana ni dhaifu sana kwa wanawake, sio baksani, Ray, Kim ki-seon na Kim hyun jun wote walikuwa dhaifu sana! Ila Mr black mwenyewe ndio alikuwa ngangari!
 
Mkuu unafatilia sana movie za kikorea, basi kama kuna nyingine yenye mahadhi kama haya ya kijasusi jasusi usisite kunitag mkuu
 
ni kweli unayoyaandika?
ila kwenye ule mripuko wa glory hotel mwanadada kudo hina kuna uwezekano akafariki au unaonaje?
Gun, Glory, Sad Ending
Mbona umemtaja Hina tu Ae Sin je!???

Ila Sijpenda kutoziweka Wikii hii!! Itakuwa wiki ngumu Sana Hii!
 
Mbona umemtaja Hina tu Ae Sin je!???

Ila Sijpenda kutoziweka Wikii hii!! Itakuwa wiki ngumu Sana Hii!
chuseok day ni mapumziko nchini korea
starring hawezi kufa mapema labda ingelikuwa ni final episode ndiye pangelikuwepo uwezekano wa ae shin kufariki
ni maoni yangu lakini......
 
chuseok day ni mapumziko nchini korea
starring hawezi kufa mapema labda ingelikuwa ni final episode ndiye pangelikuwepo uwezekano wa ae shin kufariki
ni maoni yangu lakini......
Polee Unaonekana Umepoaa
 
Mkuu unafatilia sana movie za kikorea, basi kama kuna nyingine yenye mahadhi kama haya ya kijasusi jasusi usisite kunitag mkuu
na wewe tatizo lako ndio kama la wenzako wengi wanaohitaji msaada,inapendeza zaidi kama ungeliweka list ya drama ulizoziangalia
jaribu hizi ukipata nafasi.
  1. life on mars
  2. voice season 1
  3. voice season 2
  4. black
  5. tunnel
  6. secret forest
  7. criminal mind
  8. signal
  9. partners for justice
  10. bad guys 1
  11. bad guys 2
  12. phantom
  13. duel
  14. incarnation of money
  15. pied piper
  16. sign
  17. mad dog
  18. innocent defendant
  19. Healer
  20. Come and Hug Me
  21. city hunter
 
Polee Unaonekana Umepoaa
Kupitia Mwandiko na Majibu
  1. katikati ya wiki simba walikunyima furaha ila manchester united walikupa furaha
  2. leo hii nasikia simba wamekupa furaha ila manchester united wamekunyima furaha
kama ni mtihani wa darasani alama zako ni 50%.

yap nimejikuta napata mapumziko ya kuangalia korean drama bila ya kutarajia, wiki inamalizika nimeangalia episode 6 tena kwa siku moja jambo ambalo ni nadra kutokezea.
natamani hii hali ninayokumbana nayo wiki hii iendelee kiupande wangu japo kwa wiki moja nyegine.
dah huwezi amini nimeamua kufukua makaburi muda huu humu ndani ila bahati nzuri marehemu wote wamebaki vile vile na harufu yenye kuvutia, inaonekana safari yao ni mapumziko ya peponi kama wafiwa wa mv nyerere.

july 5 / 2017 ndio ilikuwa ni mara ya kwanza kusoma comment zako, daebak. Ni mwaka mmoja na miezi 2 tokea nikufahamu japo kwa maandishi ila umekuwa zaidi ya rafiki ambaye tunaonana kila siku.
unazikumbuka hizi comment zako?
  • Yaani naomba uangalie iyo Queen of Seven days ni Nomaaa yaani utaichoka inasisimua balaa,Na ina Ost nzuri sana kam ni mpenzi wa zile nyimbo
  • Hivi na lee seung gi naye bado ajatoka ???
  • Uyo alocheza kwenye bridal Mask si ndo anacheza now kwenye My sassy girl....
  • Naombeni Muangalie FIGHT FOR MY WAY Hii drama kama kurelax na kuenjoy yaani apa ndo mahala pake, Ina vichekesho sana na ni nzuri pia, Forever Korean Drama
kupitia comment ya mwanzo ulinifanya na mimi niitafute hii drama ya queen for seven days na sikujutia maamuzi yangu.

naomba uondoe khofu kwenye nafsi yako,namshukuru Mungu ni mzima wa afya mpaka muda huu
ahsante sana kwa kuwa zaidi ya rafiki dada yangu.
utabaki kuwa ni malikia wa kila siku tofauti na yule malikia wa siku 7
jeongmal gomabseubnida
ahsante sana
 
Oooh! Chozi
Daebak!

Eeh Mola Wangu!

Unajua Tabasamu la Kicheko na Chozi!
Aksante Ma Lovely Friend.

Kiukweli Ntaja Siku shusha Gazetii Umu.

Ila Wewe Pia Ni Mmoja Kati Yawanjf Mlo Ndugu Kwangu! Maandishi na Jf Imefanya Tufahamiane Ivi InshaAllah itajakuwa Zaidi.

Sante Tena na Tena Kwa Hili.
Ubarikiwe Zaidi!

Na Nishuklani kma upo Salama Maandishi Yalinishitua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…