Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Hahahhahaa unamkumbuka Yoo Seung Ho yule jamaa wa kwenye drama ya I'm Not A Robot. Nae kahusika ndani ya drama ya The Player kinacho nifurahisha zaidi vile vituko vyake kavihamishia huku. Bila kumsahau mzee mzima Won Hae Kim huyu alicheza pamoja na Song Seung Heon katika drama ya Black.
 
  1. Bad Papa at Dramanice
  2. Two Lives One Heart at Dramanice
  3. Terius Behind Me at Dramanice
  4. The Beauty Inside (Korean Drama) at Dramanice
  5. The Third Charm at Dramanice
  6. The Smile Has Left Your Eyes at Dramanice
  7. The Player (2018) at Dramanice
  8. Where Stars Land at Dramanice
zote hizi zimeanza mwezi huu na nimeshaziangalia episode za mwanzoni ila cha ajabu nimeshindwa kufanya maamuzi sahihi ya kuziacha baadhi ya drama.
mhhhhhhhhhhhhh hizi drama zote zimeanza vizuri sana sijui hata niiache ipi
mwezi october umezua balaaaa kwa wapenzi wa korean drama
bila ya kusahau jana imeanza hii inayoitwa room no 9 drama
Room No. 9 at Dramanice
malaika wa mitandao ni bora ateremke ili atuokoe sisi wajoseon tuliopotea mwezi huu
 
King Gwanggaetto the Great ni dude la Kibabe
 
Miye nimeirudia the Great King mara 5 sasa ni ya 6 wameipa jina la Land of war
 
Acha zote ila usije fanya kosa ukaicha The Player
 
Gummy And Jo Jung Suk Revealed To Be Already Married

kwa mujibu wa label ya C-JeS Entertainment ambayo ndio wanamsimamia muimbaji gummy wamethibitisha taarifa za wawili hao kufunga ndoa ambapo sherehe ya ndoa ilihudhuriwa na wanafamilia wa karibu.
wawili hao wameahidiana kuendelea kuheshimiana, kuwa pamoja wakati wa shida na raha kwa maisha yao yote yaliobakia.
wawili hao walianzisha mahusiano yao mnamo mwaka 2013 na waliamua kupiga picha zao za maandalizi ya harusi kwenye kisiwa cha jeju
hongera kwao kwa kufunga ndoa sisi wengine mpaka tutimize miaka 70 ndio pengine tutafikiria kufunga ndoa.


duniani kuna wanadada wengi mno wenye sauti za kuvutia zilizojaa hisia ndani yake ila gummy nayeye ana sehemu yake kwenye nafsi yangu.
 
Mmmm
 
Waoooo
 
Naomba msaada namna ya kupata subtitles za series ya Kikorea bayo haina hizo maandishi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…