Papaa Gx
JF-Expert Member
- Oct 10, 2016
- 11,097
- 17,929
Hahahhahaa unamkumbuka Yoo Seung Ho yule jamaa wa kwenye drama ya I'm Not A Robot. Nae kahusika ndani ya drama ya The Player kinacho nifurahisha zaidi vile vituko vyake kavihamishia huku. Bila kumsahau mzee mzima Won Hae Kim huyu alicheza pamoja na Song Seung Heon katika drama ya Black.