Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Naomba msaada namna ya kupata subtitles za series ya Kikorea bayo haina hizo maandishi
Simple way tumia mx player.
Wakati una play hiyo episode.
Gusa menu ya hiyo app utaona option ya ku download onlinesubtitles.
 
Simple way tumia mx player.
Wakati una play hiyo episode.
Gusa menu ya hiyo app utaona option ya ku download onlinesubtitles.
Mkuu hiv upande wa simu app gani nzuri kudownload Korean dramas.... Natumia dramania ila vipande vipande hadi sio poa maana episode 1 wameigawanya vipande 4 hadi 5...
 
hii DAE JP YOUNG mwenye nayo anisaidie, maana nimeitafuta sana bila mafanikio. mim ni mpenzi wa historical korean drama
 
annyeong haseyo
umebahatika kuziangalia episode za wiki hii za drama ya 100 days my prince?
kuna uwezekano mkubwa kichwa kibovu won deuk amesharudisha kumbu kumbu zake ila hajui aanzie wapi kumweleza hong shim au unaonaje?
jaribu kurejea tukio lile alilotumika kama ngao ya kurushiwa mishale na governor pamoja na mzee park.
mfalme nayeye amefanya tukio la ovyo sana la kuandaa wauaji wa kumuua vice prime minister wakati akielekea kijiji na sang joo baada ya kupata taaarifa za uwepo wa crown prince kwenye kijiji, ukiona mtu anakuzidi nguvu na ushawishi tafuta kwanza public support ndipo baadae ufanye mipango mengine ya kihuni. Naamini jamaa atakaporudi akiwa hai atamwaga damu kwenye royal family hususani familia ya malikia.

mhhhhhhh kuanzia saa 1 asubuhi hadi saa 6 usiku wajinga wawili hawa wamekaa pamoja wakitafuta jina mbadala la won deuk
hahahahahahahaaaaaa mwisho wa siku waliamua kutumia jina la YI DEWJI.
bogoshipda
 
Mkuu hiv upande wa simu app gani nzuri kudownload Korean dramas.... Natumia dramania ila vipande vipande hadi sio poa maana episode 1 wameigawanya vipande 4 hadi 5...
Tumia website au App moja ipo playstore inaitwa filechef yenyewe itakutafutia sites zenye direct link za hiyo Series.
 
Winners Of The 2018 APAN Star Awards
APAN Star Awards 2018 zimefanyika leo kwenye chuo kikuu cha Kyung hee na kushuhudia drama ya Mr. Sunshine ikichaguliwa kuwa drama bora kwa mwaka huu na lee byung hun kuchaguliwa kuwa muigizaji bora (daesang) na pia mwanadada kim tae ri amechaguliwa kuwa best new actress.

lee byung hun amesema: ningependa kuzungumza maneno mengi sana siku ya leo lakini najikuta kichwa changu kinazunguka zunguka. kiukweli Mr. Sunshine project ilikuwa na watu wengi sana walioshirikiana kwa pamoja ili kuifnaya iwe project bora ikiwemo team b na team c ambao tulishirikiana kwa pamoja, hivyo basi nawasilisha shukrani zangu za dhati kwa team nzima ya mr sunshine.
najisikia furaha kufanya kazi na waigizaji wakuu watano kwenye drama hii ambapo binafsi nilikuwa ndiye muigizaji mkuu na mwenye uzoefu zaidi ya wenzangu ila bado nilijiona sijakamilika, lee pia aliendelea kumshukuru director Lee Eung Bok na muandishi wa drama hiyo ambaye ni mwanamama kim eun sook kwa kazi ngumu walioifanya.


list of full winners
  1. Daesang (Grand Prize): Lee Byung Hun (“Mr. Sunshine”)
  2. Drama of the Year: “Mr. Sunshine”
  3. Top Excellence Award, Actor in a Miniseries: Park Seo Joon (“What’s Wrong with Secretary Kim?”)
  4. Top Excellence Award, Actress in a Miniseries: IU (“My Ahjussi”)
  5. Excellence Award, Actor in a Miniseries: Jung Hae In (“Pretty Noona Who Buys Me Food”)
  6. Best Writer: Lee Soo Yeon (“Life”)
  7. Best Supporting Actress: Kim Min Jung (“Mr. Sunshine”), Jang So Yeon(“Pretty Noona Who Buys Me Food”)
  8. Top Excellence Award, Actress in a Serial Drama: Shin Hye Sun (“My Golden Life“)
  9. Excellence Award, Actor in a Serial Drama: Jang Seung Jo (“Money Flower”)
  10. Best New Actor: Yang Se Jong (“Degree of Love“), Jang Ki Yong (“My Ahjussi”)
 
Tumia website au App moja ipo playstore inaitwa filechef yenyewe itakutafutia sites zenye direct link za hiyo Series.
Mkuu kwema. Pc inanisumbua kweli yaan wireless inakuwa connected lakini browser haifunguki nimejaribu google chrome, Mozilla, opera, internet explorer zote zimegoma
 
Nimeshaidownload yote Mr. Sunshine sasa nasaka muda wa kuiangalia...!!!
 
Jamani msaada site ya kudownload series imekuwa tatitizo kwangu,nilikuwa natumia drama nice na drama cool,baadaye zikazingua nikawa natumia dramaforever lkn na yenyewe imezingua,good drama ina parts kama 4 kwenye episode 1,plc site nzuri nishushe series
 
Mimi siku hizi nadownlodia kwenye Telegram.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…