SangaweJr
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 2,986
- 2,664
Simple way tumia mx player.Naomba msaada namna ya kupata subtitles za series ya Kikorea bayo haina hizo maandishi
Wakati una play hiyo episode.
Gusa menu ya hiyo app utaona option ya ku download onlinesubtitles.